Kwanini ni lazima nioe?

Kwanini ni lazima nioe?

Mkuu, kuoa sio lazima.

Ukioa utaishi na kufa, na usipoa utaishi pia na utakuja kufa.

Lakini machoni pa Mungu, Na machoni pa waliostarabika ndoa ni kitu muhimu katika kukuza ustawi wa familia na jamii Kwa ujumla.

Kama ulilelewa katika namna inayofaa sidhani Kama utashindwa kuona umuhimu wa ndoa.

Hayo yote uliyoandika Hapo juu kwamba unaweza kuzaa pasipo kuoa, ni kweli unaweza Ila Kwa watu waliostarabika sio vyema.

Hasara ni nyingi usipooa kuliko faida.

Kwakuwa tunaishi dunia yenye watu wenye akili na mitazamo tofauti, basi fanya vile unavyoona ni sahihi kwako.

Sababu Imani yako Kwa Mungu ni Haba, heshima yako Kwa jamii inayokuzunguka ni ndogo mno.

Kama akili yako inakwambia usioe,uzae hovyo basi ni sahihi kwako na uwe tayari Kwa chochote kitakachotokea kulingana na maamuzi yako.
 
Kuchapiwa aisee Mungu asaidie tu. Umesema ukweli mtupu, kuna ndugu yangu kachapiwa na Muarabu asiyemjua, mkewe kazaa mtoto muarabu. Jamaa kaamua kukubali tu ila sisi ndo tunashangaa.

Kuchapiwa aisee Mungu asaidie tu. Umesema ukweli mtupu, kuna ndugu yangu kachapiwa na Muarabu asiyemjua, mkewe kazaa mtoto muarabu. Jamaa kaamua kukubali tu ila sisi ndo tunashangaa.
Nikuwa makini tu uchapiwe ila usiletewe magonjwa , katika watu kumi wa 5 ni +
 
Mwanaume lazima uishi kimafia,
Mezani Tunakula na wanetu skuhizi,
Akiweka sumu anamkosa na mwanae[emoji4]
Aisee sijui majitu kama Hitler na Fidel Castro sijui yalikwepa vipi mitego ya wanawake kutoka CIA. Putin naye ndiyo balaa tupu.

Kuna manzi alikuwa anahojiwa anasema aliwahi kutana na Putin akiwa mlinzi, anasema hakuwahi kuongea naye hata neno moja.

Manzi alikuwa msanii, so Putin alikuwa anamlinda (Putin alikuwa bodyguard wa kwenye meli), manzi akisema 'thank you' Putin hajibu chochote.

Daaah aisee kuna miamba kaka!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom