Kwanini ndege haiwezi kufikia anga ya bluu?

Kwanini ndege haiwezi kufikia anga ya bluu?

Hapo jikite atmospheric level, troposphere,stratosphere,mesosphere&meterosphere.Hivo air bus fly at troposphere kutokana anga zingine kuna uvutano

samahani mkuu unaweza kuchambua kimoja kimoja kwa faida ya wengi humu jf?
 
Inaonekana kiwango chako cha uelewa wa science ni kidogo. Ubluu ni mwisho wa upeo wa macho yako. Hata ukienda na chombo kama apolo ubluu utauona, hauna mwisho.
 
samahani mkuu unaweza kuchambua kimoja kimoja kwa faida ya wengi humu jf?

K4 LIFE, We need to search some materials on this concept bt apart frm troposphere.there are chaotic air in wch ndege haiewez kuhimili eg nguvu y uvutano, temperature inversion etc mkuu tusome coz mambo mengi
 
Wakuu kuna una uzoefu wa kusafiri kwa ndege, hivi ulishawahi kujiuliza kwa nini ndege ina uwezo wa kufikia mawingu meupe ya mvua lakini haina ubavu wa kufikia anga/mawingu ya bluu? Why?


Una maana ndege mnyama au kitu gani? Kama una maanisha ndege ya kusafiria basi ni dhahiri hujawahi kusafiri kwa chombo hicho kwa masafa marefu.

Ni vema ungeuliza hiyo blue inayokuwaga juu ya mawingu meupe ni nini kabla hujasema ndege hazivuki mawingu meupe.
 
Inaonekana kiwango chako cha uelewa wa science ni kidogo. Ubluu ni mwisho wa upeo wa macho yako. Hata ukienda na chombo kama apolo ubluu utauona, hauna mwisho.

mkuu weka picha tuona kama kweli
 
K4 LIFE, We need to search some materials on this concept bt apart frm troposphere.there are chaotic air in wch ndege haiewez kuhimili eg nguvu y uvutano, temperature inversion etc mkuu tusome coz mambo mengi

sawa mkuu nimekupata
 
Una maana ndege mnyama au kitu gani? Kama una maanisha ndege ya kusafiria basi ni dhahiri hujawahi kusafiri kwa chombo hicho kwa masafa marefu.

Ni vema ungeuliza hiyo blue inayokuwaga juu ya mawingu meupe ni nini kabla hujasema ndege hazivuki mawingu meupe.

haya tuambie hiyo blue ni nini?
 
hapana mkuu sio masihara bana mimi hili jambo linasumbua sana akili yangu ndo maana nimelileta hapa kwa magreat thinker

Sasa kwanini unakuwa mbishi bafala ya kutulia ueleweshwe
 
Wakuu,

Kama una uzoefu wa kusafiri kwa ndege, hivi ulishawahi kujiuliza kwa nini ndege ina uwezo wa kufikia mawingu meupe ya mvua lakini haina ubavu wa kufikia anga/ mawingu ya bluu? Why?

ndege inatumia hewa ya oxygen anga ya blue inainsufficient oxygen
 
Mkuu ni ndege kubwa kama air bus 300+ au boing 747 generally hupaa juu umbali wa futi elfu 36 kutoka ardhini nikama kilometa 10 hivi...au umbali wa kutoka Dar posta mpya na kukaribia ubungo shekilango.....nahusafiri masafa.....

nia ya kusafiri kimo hicho, katika kimo hicho nguvu ya upepo kinzani-air resistance ni ndogo kwahiyo wanasevu mafuta

kumbuka pia ndege husafiri na kubalance angani kwa nguvu ya upepo, upepo unaopita chini ya bawa ambako ni flat una nguvu kuifanya ndege ielee kadri inavyoongeza speed, upepo unaopita juu ya bawa ambako kuna kituta mwanzoni unatiririka fasta kuisababisha ndege kwenda speed......

wing.jpg


kwahiyo ndege itaenda katika kimo ambacho ita balance upepo kwa ajili ya speed na kuelea napia kusevu mafuta, in some areas... kimo kimewekwa kisheria kufatana na routes ku control air traffic.

Rangi ya bluu angani ni uwezo wa macho yetu kuona....hata unaivyoiona bahari bluu sometimes..ila ukichukua yale maji ukaweka kwenye glass ..rangi ni tofauti.....kuna wadau wameshasema kuwa mwanga umegawanyika kama unavyoona rainbow- upinde wa mvua.....
sky4.en.png


Kinacho tufanya tuione rangi ya bluu kuliko zingine, moja ya sababu ni kuwa rangi ya bluu inasambaa kwa haraka inapokutana na molecule za gesi tofauti angani kuliko rangi hizo nyingine...Pia huwa tunaona rangi nyekundu au ya chungwa jioni jua linapozama pia

sky6.en.png



....rangi hizo zote zikisafiri katika mstari mmoja ndio tunaona mwanga mweupe....

Prism huugawa mwanga
sky5.en.png

Rocket hupaa angani na kwenda space tofauti na ndege inavyopaa......ukichukua pulizo au puto na kulijaza upepo bila kubana upepo na kuliachia...kile kinachotokea pale ndio roketi inavyochomoka vile.....

delta_launch.jpg
 
Dogo hebu lejea darasani maana naona hujui hata unachokisema
 
Unachokiona blue ni maji yaliyoko juu jinsi bible inavyoeleza,ndege haiweze kufika,wala vyombo vyote vya anga ni mbali sana,maji hayo yanatenga mbingu ya kwanza na ya pili
 
Kimsingi hakuna anga la blue

Ndege haishindani na anga. Kama efficiency yake inakuwa at maxmum ktk level fulani kwa nini izidi kwenda juu?


Pili jua unavyozidi kwenda juu kuna vitu vingi vya kuangalia kuanzia nguvu uvutano, kiwango cha hewa yaani oxygen na vitu vingine

Tatu ili ndege ikae hewani intakiwa kubalance vitu kadhaa ambapo mlingano huo unazidi kuachana kulingana na ukubwa, uzito wa ndege na speed. Jinsi ndege inavyozidi sana kwenda juu mgandamizo unaoifanya ndege kuelea angani unapungua sana na kusababisha hali inayoitwa aeriodynamic stall ambapo ndege inapoteza uwezo wa kuelea angani na kuanza kushuka chini kidogo kidogo na mara nyingi ndege ikiingia katika hali hiyo ni ngumu ku-recover na mwisho wa siku ni kuanguka. Kumbuka ndeg ya Ufaransa ilikumbwa na dhoruba rubani akajaribu kwenda juu kosa ambalo liliwaingiza ktk hiyo hali ya stall ambapo walikufa wanajiona bila kujua cha kufanya ndege ilishuka kidogo kidogo mpaka ikatua baharini


Pia jua kwamba nguvu ya uvutano wa dunia imeweka mpaka ambapo ukivuka hapo hauwezi kuvutwa kurudi duniani sikumbuki ni umbali gani kutoka duniani. Ukishavuka hapo ule ukuta ambao kimsingi auonekani ni ukuta wa kiuvutano jinsi unaporusha kitu juu kinarudi chini ukivuka hapo huo ukuta unakuzuia kurudi katika anga ya dunia. Kwa wataalamu wa anga za juu waita point of negative return. Roketi zinazotoka duniani wakati wa kurudi hilo ndo huwa eneo hatari sana kwani kuna nguvu pinzani kubwa sana kiasi kwamba kunakuwa na uwezekano mkubwa wa chombo husika kuwaka moto. Ukuta huu ndo unazuia vitu hatari kuja duniani kirahisi kama mawe ya moto na vitu vingine vinavyopoteza mwelekeo ktk anga la nje
 
Back
Top Bottom