Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,875
- 2,202
BAADA ya muda utauliza kwanini ndege hazigongani angani
BAADA ya muda utauliza kwanini ndege hazigongani angani
Hii thredi yako ni utani sio?
Mkuu hakuna anaeweza kufikia anga la bluu.. Wala hakuna chombo ktakachofika hapo.. Kila ukilifuata, unaliona kama unavyoliona ukiwa chini ardhini.
mkuu utani tena? wakati watu wanashuka points
mkuu naona wasomi bado wanaendelea kushusha vitu
aya mimi nasubili hitimisho.