Kwanini ndege haiwezi kufikia anga ya bluu?

Kwanini ndege haiwezi kufikia anga ya bluu?

mkuu usitake kutulazimisha tukubaliane nawe sawa, weka hapa ushahidi wa kutosha kama kweli ni ukomo wa kuona wa binadamu, sio unatuletea hoja nyepesi nyepesi na zisizo na mashiko yoyote.

Taratibu naaza kukudharau mkuu
 
Mambo mengine kwa akili za kibinadamu ni vigumu kufahamu ila kwa wale wasomaji wa Biblia watakubaliana na mimi kuwa ile wanayo inona bluu kule juu ni maji.
naomba nisaidie kitabu gan kwenye bible nikasome
 
Hakuna anga lionekalo kwa Rangi uliyosema ,,,,,, unachokiona sio anga ila mwisho wa uwezo wa macho yako kuona

Kwa nn shule za primary, wanawafundisha watoto kua the color of sky is blue...

Muulize mtoto yeyote wa primary atakujibu hivyo
 
pole sana mkuu tutafika tu
huna haja ya kunipa pole. pamoja na kusoma kayumba nimeelimika. najua anga halina mwisho na kwa nini ndege ina ukomo wa kuruka. ile nguvu inayofanya chungwa lianguke chini badala ya kupaa juu ina kikomo chake. sasa mimi niliyesoma kayumba na aliyesoma mtakatifu K lakini hajui kani uvutano nani anastahili pole? Ila niko kwenye english course ili niweze kurahisisha mawasiliano na kupata maarifa zaidi yaliyoandikwa kingreza.
 
Gravitational force
oh! asante mpendwa. Ila ungeniwekea na jinsi ya kutamka ungeni/tusaidia zaidi. Lakini usijali, nitaomba msaada kwa watoto wa kaka sahivi wako likizo.
 
Wakuu,

Kama una uzoefu wa kusafiri kwa ndege, hivi ulishawahi kujiuliza kwa nini ndege ina uwezo wa kufikia mawingu meupe ya mvua lakini haina ubavu wa kufikia anga/ mawingu ya bluu? Why?

anga halifikiki, zaidi utaingia sayari nyingine. halafu kumbuka dunia ni spherical in shape, hivyo unaweza jikunja kuitoboa kumbe unaibukia pale ulipoanzia
 
huna haja ya kunipa pole. pamoja na kusoma kayumba nimeelimika. najua anga halina mwisho na kwa nini ndege ina ukomo wa kuruka. ile nguvu inayofanya chungwa lianguke chini badala ya kupaa juu ina kikomo chake. sasa mimi niliyesoma kayumba na aliyesoma mtakatifu K lakini hajui kani uvutano nani anastahili pole? Ila niko kwenye english course ili niweze kurahisisha mawasiliano na kupata maarifa zaidi yaliyoandikwa kingreza.

elimu elimu elimu
 
anga halifikiki, zaidi utaingia sayari nyingine. halafu kumbuka dunia ni spherical in shape, hivyo unaweza jikunja kuitoboa kumbe unaibukia pale ulipoanzia

kidogo nakubaliana nawe
 
Back
Top Bottom