Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 177,396
- 195,224
leo tutasikia mengi hapa mara kuna maji,mara giza, sijui miale ya jua,mara tabaka la juu
Kukata mzizi wa fitina. Safiri safari ndefu kwa ndege utajionea mwenyewe. Achana na mambo ya kukariri kwenye vitabu. Ndege kadri itakavyozidi kwenda juu utona mwanga unapungua na giza kutawala. Itafika point hujui ni lini wala muda gani.