Ndege gani hizo unazo maanisha wewe..?
ndege za kijeshi au ndege za watalii..?
Maana usije kuwa una zungumzia ndege za kuwindia wanyama
mbugani.
Hakuna anga lionekalo kwa Rangi uliyosema ,,,,,, unachokiona sio anga ila mwisho wa uwezo wa macho yako kuona
Mkuu hakuna wingi na bluu, ile rangi unayoiona ndio mwisho wako uwezo wako wa macho kuona. Halafu zyale maroketi ya Marekani yanapita huku yanapokwenda mwezini na kule kwenye satellite
mkuu mbona ndege za abiria hazifikii huko?
Rudi ktk somo la geography -
kwa hiyo una maanisha uwezo wa binadamu kuona ni hiyo anga ya bluu? acha uongo wewe
Kwanza anga haina limit, usitarajie kuna mpaka labda una mkeka umetandikwa ndo uite anga. Unachoona ni chembe chembe za gesi na hewa ambayo kwa mbali unaona hiyo rangi lakini kadiri unavosogelea huwezi kuona hiyo rangi unayosema.
Kwani huko zinakopita sasa Luna traffic jam hadi watafute njia mbadala?!
Rudi ktk somo la geography -
linasema hilo somo?
Mambo mengine kwa akili za kibinadamu ni vigumu kufahamu ila kwa wale wasomaji wa Biblia watakubaliana na mimi kuwa ile wanayo inona bluu kule juu ni maji.
Hata utumie Georaphy gani huwez kupata ukweli