- Thread starter
- #181
Huko juu hakuna hewa. Ndege haiwezi kuruka kwenye vacuum.
mkuu ulishawahi kwenda uko na ukakuta hakuna hewa kweli?
Huko juu hakuna hewa. Ndege haiwezi kuruka kwenye vacuum.
Dogo hebu lejea darasani maana naona hujui hata unachokisema
Unachokiona blue ni maji yaliyoko juu jinsi bible inavyoeleza,ndege haiweze kufika,wala vyombo vyote vya anga ni mbali sana,maji hayo yanatenga mbingu ya kwanza na ya pili
sasa ukawa imeingiaje hapa,naona wewe ukawa wamekufanya vibaya kila ukiwaza unawaza ukawa tu. poor you!
A wise man changes his mind sometimes, but a fool never. To change your mind is the best evidence you have one.
Kwa sababu hakuna kitu kama anga ya bluu.. kadri unavyozidi kwenda juu unakutana na giza..
Unachokiona blue ni maji yaliyoko juu jinsi bible inavyoeleza,ndege haiweze kufika,wala vyombo vyote vya anga ni mbali sana,maji hayo yanatenga mbingu ya kwanza na ya pili
mkuu giza tena? wakati watu wanasema uko juu kuna maji kibao
Hapa weee ndo zigo, toa jibu! Swali limetulia hili! Na umri wako, umewahi fundishwa au kupewa jibu kuhusu hili swali?
tatizo nyie mnaniforce nikubali hata point za uongo, mfano mtu anasema eti juu angani kuna bahari!
Nani kasema. Ni uongo. Huko hakuna maji yoyote yale. Hujo juu ni baridi, hakuna suti, na ni giza. Safairi na ndege za masafara marefu, zinapita anga za kimataifa siyo anga ya mtu uone.. ni giza. Hujui saa ngapi wala siku gani.
Unawezaje kukataa wakati hujui. Inategemea anaesema hivyo amejenga hoja yake katka nini. Angani kuna vitu vya hatari na kutisha kuliko hata bahari. Kimaandiko matakatifu bahari ipo pia kwa sababu kuna kitu kinaitwa great wall ambapo chombo chochote cha kisayansi hakiwezi kuona nje ya ukuta huo unawezaje kukataa kwamba hakuna bahari. Kuna njia moja tu ya kupiyia kujua kuna nino nje ya huu ulimwengu unaoonekana ila njia hiyo hairuhusu kitu chochote kupita hata kikiwa kidogo kabisa mathalanikipunje kimoja kinachounda mwanga kinanaswa. Hata ukimulika kwa mionzi inanaswa hamna kinachiruhusiwa kutoka wala kuingia njia hiyo inetrnfenezwa kwa nguvu ya black hole anbayo imetengeneza formular inayoitwa singularity huwezi kupita hapo ila njia ipo. Ndo muhimili wa ulimwengu.
Maji huko juu yatoke wapi... maji yapo hapa hapa duniani... hiyo blue ni tabaka la juu lina akiis mwanga kutoka baharini na kutengeneza blue kama kioo. Huko juu ni giza kama huamini safiri ujione mwenyewe.
Mbingu ni nini?
Wakuu,
Kama una uzoefu wa kusafiri kwa ndege, hivi ulishawahi kujiuliza kwa nini ndege ina uwezo wa kufikia mawingu meupe ya mvua lakini haina ubavu wa kufikia anga/ mawingu ya bluu? Why?