Kwanini ndege haiwezi kufikia anga ya bluu?

Kwa hiyo unataka mimi nikuchagulie, wewe si una utashi, amua unaloona linafaa

Sasa Ukitaka kupata ukweli ludi kwenye vitabu vya dini ila hii sayansi tuisome tu kwaajili ya kutupa ujiz fulan fulan likini hakuna ukweli katka mambo fulani na hapa ndipo napata maana ya andiko lililosema " MJIBU MPUMBAVU SAWASAWA NA UPUMBAVU WAKE" kitabu cha methel sura ya 25 mstari wa 4. Tuisome sayansi alafu tiache na upumbavu wake ukweli wa mambo haya utabaki kwa Mungu tu.
 
loading....
 
Kwani kitabu cha mithali kimeandikwa na nani
 
Wakuu kuna una uzoefu wa kusafiri kwa ndege, hivi ulishawahi kujiuliza kwa nini ndege ina uwezo wa kufikia mawingu meupe ya mvua lakini haina ubavu wa kufikia anga/mawingu ya bluu? Why?
Hakuna Mawingu ya bluu! Hivi umesoma Jiografia shule ya msingi wewe? Unajua aina za mawingu? Hiyo Blue ni mwisho wa uwezo wa kuona wa macho yako.
 
Mambo mengine kwa akili za kibinadamu ni vigumu kufahamu ila kwa wale wasomaji wa Biblia watakubaliana na mimi kuwa ile wanayo inona bluu kule juu ni maji.

daaahh jamani vitabu vya dini vinakula sana akili zetu.. ningekua na uwezo ningevipiga ban
 
Naomba Mod uanzishe Forums za watoto humu coz ishakua tabu.
 
daaahh jamani vitabu vya dini vinakula sana akili zetu.. ningekua na uwezo ningevipiga ban

Inavo onekana we ni mmoja ya watu wanoa amini kuwa binadamu katokana sokwe!
 
Hakuna Mawingu ya bluu! Hivi umesoma Jiografia shule ya msingi wewe? Unajua aina za mawingu? Hiyo Blue ni mwisho wa uwezo wa kuona wa macho yako.

kwa hiyo una maanisha hata wale wenye matatizo ya kuona umbali mfupi mfano mita 100, lazima aone bluu akiangalia umbali wa hizo mita 100? funguka zaidi
 
Kitabu cha mithali kimeandikwa na nani?

Inavo onekana unataka mabishano ya dini ila mimi cpo kwa kazi hiyo alafu pia vitabu vya dini viko vingi na vina ufafanuzi wake kuhusu asili ya mambo haya kwaiyo tafuta kitabu unacho kiamini na kama huna unacho kiamini ila sayansi ndo unaiamini basi ni sawa pia.
 
Mimi na wewe ni nani aliyeanza kuingiza udini, mimi nimekuuliza kitabu cha mithali kimeandikwa na nani basi
 
Back
Top Bottom