Kuwa mwelewa pale hakuna kitu kilichowekwa bali ni muunganiko wa chembe chembe ambazo kwa mbali ndo zinaonekana za blue, ukifika huko hiyo blue hutaiona
Sky has no limit hakuna anga la blue
mkuu usitake kutulazimisha tukubaliane nawe sawa, weka hapa ushahidi wa kutosha kama kweli ni ukomo wa kuona wa binadamu, sio unatuletea hoja nyepesi nyepesi na zisizo na mashiko yoyote.
Wakuu kuna una uzoefu wa kusafiri kwa ndege, hivi ulishawahi kujiuliza kwa nini ndege ina uwezo wa kufikia mawingu meupe ya mvua lakini haina ubavu wa kufikia anga/mawingu ya bluu? Why?
Kuwa mwelewa pale hakuna kitu kilichowekwa bali ni muunganiko wa chembe chembe ambazo kwa mbali ndo zinaonekana za blue, ukifika huko hiyo blue hutaiona
Ni chembe chembe za kitu gani na ni nini chanzo cha hizo chembe chembe.?
Wazee wa remote sensing wanajua hayo
Ni chembe chembe za kitu gani na ni nini chanzo cha hizo chembe chembe.?
Hakuna anga lionekalo kwa Rangi uliyosema ,,,,,, unachokiona sio anga ila mwisho wa uwezo wa macho yako kuona
Ule ubluu tunaouona ni wa nini? Na kwq nini rangi ya bluu sio nyeusi?
alafu samahani kidogo mkuu kwani zile nyota, mwezi na jua nani ilikuwaje kuwaje zikawepo?
We jamaa ni Nyumbu eti?
Inatokana na miale mifupi ya jua ambayo haifiki huku tulipo, achana na hii inayofika huku chini na kutuchoma, hivyo kwa kuwa haifiki huku husambaa huko juu na sisi kwa mbali ndo tunaona hiyo bluu, sijui kama nimeeleweka
swali la 'kijinga' ila la kiudadisi sana! Ngoja nami nisubiri jibu au niingie google!Wakuu kuna una uzoefu wa kusafiri kwa ndege, hivi ulishawahi kujiuliza kwa nini ndege ina uwezo wa kufikia mawingu meupe ya mvua lakini haina ubavu wa kufikia anga/mawingu ya bluu? Why?
Mkuu hili swali lako uko serious ama???? Sijakusoma mkuu. Ikiwa uko serious basi naomba urudi shule ya msingi kidogo
Alafu samahani kidogo mkuu kwani zile nyota, mwezi na jua nani ilikuwaje kuwaje zikawepo?
Kwa nini rangi ya bluu na sio rangi nyingine?
Alafu samahani kidogo mkuu kwani zile nyota, mwezi na jua nani ilikuwaje kuwaje zikawepo?
sasa hapa ndo tunauona uongo wa wana sayansi, kwani sayansi inasemaje kuhusu jua limetokea wapi?