- Thread starter
- #41
Huko niliwahi kufika mwaka jana ilanilicho kiona huko kuna jam kushina dar 😀
wakuu kuna jam kama ya tazara?
Huko niliwahi kufika mwaka jana ilanilicho kiona huko kuna jam kushina dar 😀
Gravitational force
Huko niliwahi kufika mwaka jana ilanilicho kiona huko kuna jam kushina dar 😀
Aliyekwambia kuna anga la blue/wawingu ya bluu nani? Unachoon na kujuita hivyo ni reflection za usowa dunia.
Sawa mkuu ngoja waje wenye maelimu yao watuambie
Pole sana elimu ndugu hapa ndo tatizo,,,, nahisi ni walewale ukiwaambia kua Rangi zote zionekazo hapa duniani ni mchanganyo wa Rangi kuu Tatu RGB Red,Green and Blue......... Hakuna anga la blue huo ni mwisho wa kuona kwako...... Kasome Advanced Physics topic ya light Nelckon... Utaelewa tu ama Google.... Kua Why blue sight at the far universe.... Jibu ukipata rudisha humu kwa faida ya wengine...
mkuu una uhakika unacho kinena?

duuh izo comedy sasa mkuu
mkuu wewe kama unayo iyo elimu c ndo utoe maelezo sasa tukuelewe mkuu
Umeishia darasa la ngapi mkuu? Ulivuka la nne? Au ndiyo ule mtihani wao wa darasa nne ulikuzuilia hapo.
Umeishia darasa la ngapi mkuu? Ulivuka la nne? Au ndiyo ule mtihani wao wa darasa nne ulikuzuilia hapo.
Kweli tupu mkuu hiyo unayoona ya blue ni bahari
kwa hiyo una maanisha uwezo wa binadamu kuona ni hiyo anga ya bluu? acha uongo wewe
mkuu mbona ndege za abiria hazifikii huko?
Ila rangi ya blue ni mwanga wa jua au mwanga ulioakisi kutokana na umbo la dunia kutoka kwenye jua...sasa ukitaka kuchunguza hiyo blue inachange wakati gani, angalia mida ya asubuhi kuanzia saa 12 za asubuhi chunguza rangi ya blue kama ipo au la na pia chunguza ile rangi ya blue hupotea mida gani ya jioni sana sana wakati jua linazama ile rangi ya blue inapotea angani.
Ukitoka katika uso wa dunia kwenda angani kwa kutumia roketi, kuna mwisho wa mwanga ulimwengu huu wa dunia, ukiuvuka huo mwisho wa mwanga kama unazidi kwenda juu zaidi au kwenda angani zaidi ndipo hapo ile rangi ya blue inakuwa haipo anga linakuwa jeusi kama lilivyo anga nyakati za usiku. Kabla ya kuuvuka ule mstari anga linaonekana la blue, ukiuvuka tu huo mstari anga linakuwa jeusi kama nyakati za usiku.
Ni hayo tu!
Hiyo nibahari blue kama ilivyo bahari nyekundu😛sasa ni bahari ya hindi au atlantic?
Ni kweli jamaa yupo sahihi! Ule ubuluu ni reflection ya vision limit!