Kwanini ndege haiwezi kufikia anga ya bluu?

anga halina mwisho wala rangi. Huko unakotaka ndege ifike hakuna kani uvutano - sijui kani uvutano inaitwa nini kingreza mii nilisoma kayumba na kuishia huko.
 
Usiwe Ukawa wewe,hakuna mawingu ya bluu,hiyo bluu unayoiona ni mwisho wa uwezo wako wa kuona....hata ukitumia kifaa gani huwezi ukafika sehemu ukasema hapa ndo kwenye anga la bluu...mfano mwingine ni kwenye barabara ndefu iliyonyooka unaona kama kwa mbali kuna majimaji na vijimoshimoshi lakini ukifika pale hukuti maji wala hivo vijimoshimoshi....rudi shule sasa ni elimu bure

mkuu usitake kutulazimisha tukubaliane nawe sawa, weka hapa ushahidi wa kutosha kama kweli ni ukomo wa kuona wa binadamu, sio unatuletea hoja nyepesi nyepesi na zisizo na mashiko yoyote.
 
mkuu acha fiksi bana unamaanisha yale ya blue ni maji? duh hii kali bana,kwa hiyo siku yakimwagika wote tuna RIP kwa mafuriko,ngoja kwanza niwatonye DAWASCO

Nenda kasome Biblia mwanzo sura ya pili katika habari za uumbaji
"MUNGU AKAFANYA ANGA LIYATENGE MAJI YALIYO CHINI NA MAJI YALIO JUU, MAJI YALIO CHINI AKAYAFANYIA MIKUSANYIKO AKAYAITA BAHARI" mwisho wa kunukuu maandiko kwa maaelezo zaidi soma mwanzo sura ya 2
 
mkuu usitake kutulazimisha tukubaliane nawe sawa, weka hapa ushahidi wa kutosha kama kweli ni ukomo wa kuona wa binadamu, sio unatuletea hoja nyepesi nyepesi na zisizo na mashiko yoyote.

----- nini ,hilo ni swala la kwenda shule tu na si swala la mi kuweka ushahidi hapa ka mahakamani.....ukishindwa ingia google
 
anga halina mwisho wala rangi. Huko unakotaka ndege ifike hakuna kani uvutano - sijui kani uvutano inaitwa nini kingreza mii nilisoma kayumba na kuishia huko.

pole sana mkuu tutafika tu
 
Nenda kasome Biblia mwanzo sura ya pili katika habari za uumbaji
"MUNGU AKAFANYA ANGA LIYATENGE MAJI YALIYO CHINI NA MAJI YALIO JUU, MAJI YALIO CHINI AKAYAFANYIA MIKUSANYIKO AKAYAITA BAHARI" mwisho wa kunukuu maandiko kwa maaelezo zaidi soma mwanzo sura ya 2

mkuu bado ngumu kukuamini labda uweke kapicha
 
----- nini ,hilo ni swala la kwenda shule tu na si swala la mi kuweka ushahidi hapa ka mahakamani.....ukishindwa ingia google

mkuu ukitaka nikuamini labda uweke picha tuone
 
sasa mkuu ile ya blue ni kitu gani?

Mkuu yale ile bluu ni maji kwa mujibu wa uumbaji katika Biblia " MUNGU AKAANZA KUINYESHEA NCHI MVUA TENA MUNGU AKAFUNGULIA MADIRISHA YA MAJI YALIYO JUU" mwisho wa kunukuu. huu ni uthibitisho tunao upata katika kitabu cha mwanzo sura 9
katika kipindi cha Nuhu wakati lilipotokea gharika, kwa maelezo zaidi kasome hiyo sura ya 9
 
haya bwana mlokole
 
mkuu bado ngumu kukuamini labda uweke kapicha

Ndio maana nilitangulia kusema kuwa kwa akili za kibinadamu ni vigumu kufahamu ila ukilud kwenye maandiko utaelewa
kwa elimu hiyo ya darasani mtabishana sana hapa na jibu halita patikana.
 
ngoja waje wajuaji waseme hapa
 
anga halina mwisho wala rangi. Huko unakotaka ndege ifike hakuna kani uvutano - sijui kani uvutano inaitwa nini kingreza mii nilisoma kayumba na kuishia huko.

Gravitational force
 
Wakuu kuna una uzoefu wa kusafiri kwa ndege, hivi ulishawahi kujiuliza kwa nini ndege ina uwezo wa kufikia mawingu meupe ya mvua lakini haina ubavu wa kufikia anga/mawingu ya bluu? Why?

Aliyekwambia kuna anga la blue/wawingu ya bluu nani? Unachoon na kujuita hivyo ni reflection za usowa dunia.
 
kwa hiyo una maanisha uwezo wa binadamu kuona ni hiyo anga ya bluu? acha uongo wewe

Pole sana elimu ndugu hapa ndo tatizo,,,, nahisi ni walewale ukiwaambia kua Rangi zote zionekazo hapa duniani ni mchanganyo wa Rangi kuu Tatu RGB Red,Green and Blue......... Hakuna anga la blue huo ni mwisho wa kuona kwako...... Kasome Advanced Physics topic ya light Nelckon... Utaelewa tu ama Google.... Kua Why blue sight at the far universe.... Jibu ukipata rudisha humu kwa faida ya wengine...
 
Back
Top Bottom