GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,904
- 4,666
Mambo mengine kwa akili za kibinadamu ni vigumu kufahamu ila kwa wale wasomaji wa Biblia watakubaliana na mimi kuwa ile wanayo inona bluu kule juu ni maji.
100% right!
Mambo mengine kwa akili za kibinadamu ni vigumu kufahamu ila kwa wale wasomaji wa Biblia watakubaliana na mimi kuwa ile wanayo inona bluu kule juu ni maji.
Hiyo nibahari blue kama ilivyo bahari nyekundu😛
Kweli tupu mkuu hiyo unayoona ya blue ni bahari
Passenger plane zikafanye nini huko sasa!? Maswali mengine!
Ili ujue kwa nini unaona anga lina rangi ya blue inabidi ujifunze kuhusu light and earth's atmosphere,.. The blue color of the sky is due to Rayleigh scattering.
mkuu mbona ndege za abiria hazifikii huko?
hiyo bahari inaitwaje? je na yenyewe ina samaki,mamba, na maporomoko?
hawa wanasayansi tusipo kuwa makini wataendelea kutufanya wajinga kila siku.
mkuu mbona ndege za abiria hazifikii huko?
hawa wanasayansi tusipo kuwa makini wataendelea kutufanya wajinga kila siku.
Unataka ziende kufanya nini huko na hakunako abiria?! Wakati zinatakiwa zimalizie safari kwa kutua Airport
kwani ndege uwa zinapita katika mawingu kufanya nin?
Rafiki hakuna anga ya blue hapo unapopaona pa blue ukifika hapo hadi chini unaona pa blue.
Nimekaa huko mwaka mmoja nikifanya research mkuu
Nimekaa huko mwaka mmoja nikifanya research mkuu
hakuna anga la blue asee, ila katika physics kuna kitu mtu anaitwa doppler alikuja na theory zake za blue shift na red shift alielezea hii kitu jiulize kwa nin nyota za anga la mbali zinatoa mwanga wa blue kuliko nyota za karibu ambazo zinatoa mwanga wa rangi nyekundu the same applied kwenye anga
Usiwe Ukawa wewe,hakuna mawingu ya bluu,hiyo bluu unayoiona ni mwisho wa uwezo wako wa kuona....hata ukitumia kifaa gani huwezi ukafika sehemu ukasema hapa ndo kwenye anga la bluu...mfano mwingine ni kwenye barabara ndefu iliyonyooka unaona kama kwa mbali kuna majimaji na vijimoshimoshi lakini ukifika pale hukuti maji wala hivo vijimoshimoshi....rudi shule sasa ni elimu bure
Wakuu kuna una uzoefu wa kusafiri kwa ndege, hivi ulishawahi kujiuliza kwa nini ndege ina uwezo wa kufikia mawingu meupe ya mvua lakini haina ubavu wa kufikia anga/mawingu ya bluu? Why?
Katika huo utafiti wako unaweza kuniambia kuwa nani aliliweka au aliyelifanya hilo anga likawepo?