- Thread starter
- #101
swali la 'kijinga' ila la kiudadisi sana! Ngoja nami nisubiri jibu au niingie google!
usisahau kuleta majibu sawa
swali la 'kijinga' ila la kiudadisi sana! Ngoja nami nisubiri jibu au niingie google!
mkuu tuambiane ukweli tu mbele za mungu, kwani umeshawahi kupanda roketi kweli?
Sijawahi kupanda, nilishawahi kushuhudia mara nyingi kwenye LIVE COVERAGE kwenye tv wakionesha jinsi roketi ikipaa angani, hata wewe unaweza kuangalia kwenye youtube andika "BLACK SKY" utaona haya mambo
Mkuu hili swali lako uko serious ama???? Sijakusoma mkuu. Ikiwa uko serious basi naomba urudi shule ya msingi kidogo
hakuna anga la blue asee, ila katika physics kuna kitu mtu anaitwa doppler alikuja na theory zake za blue shift na red shift alielezea hii kitu jiulize kwa nin nyota za anga la mbali zinatoa mwanga wa blue kuliko nyota za karibu ambazo zinatoa mwanga wa rangi nyekundu the same applied kwenye anga
aaaaaaamkuu unachekesha kwani ndege zikipita katika anga la kawaidi uwa inafuata abiria mawinguni au?
kwa hiyo huna uwakika sio?
nikama bahari tu mtu ambaye anaona kwenye picha atasema maji ya bahari ni ya blue.. Lakini ukifika hapo uwezi ona ublue wowote.. Wanasema huu ubluu unatokana na mwanga wa juu kusafiri umbali mrefu takribani kilometa milion nne na jinsi ule mwanga unavyo pinda na kusamba.. Watu wa huko scandnavia swideni norway na finland kuna kipindi wao wanaona anga la kijani (aurora boerill)Ule ubluu tunaouona ni wa nini? Na kwq nini rangi ya bluu sio nyeusi?
Hapa weee ndo zigo, toa jibu! Swali limetulia hili! Na umri wako, umewahi fundishwa au kupewa jibu kuhusu hili swali?
nikama bahari tu mtu ambaye anaona kwenye picha atasema maji ya bahari ni ya blue.. Lakini ukifika hapo uwezi ona ublue wowote.. Wanasema huu ubluu unatokana na mwanga wa juu kusafiri umbali mrefu takribani kilometa milion nne na jinsi ule mwanga unavyo pinda na kusamba.. Watu wa huko scandnavia swideni norway na finland kuna kipindi wao wanaona anga la kijani (aurora boerill)
Kimsingi unachotakiwa kujua ni kwamba jua ni nyota pia, lilitokana na uwepo wa gimba kubwa la mawingu lililoundwa kwa haidrojeni nyingi na helium, pia oxygen na chuma (sijajua namna nzuri ya kuiname gimba)
Wewe nenda kwenye YOUTUBE andika "BLACK SKY" wewe focus kwenye anga tu popote pale utakapoona kwenye hiyo video, utaona jinsi rangi ya blue na roketi ikivuka kwenye mstari wa miale ndo anga hugeuka jeusi
Kwaiyo mkuu hivo vitu unavovisema hapo vimezuka zuka tu hakuna aliye vifanya vikawepo?? majibu tafadhali
anga halina mwisho wala rangi. Huko unakotaka ndege ifike hakuna kani uvutano - sijui kani uvutano inaitwa nini kingreza mii nilisoma kayumba na kuishia huko.
Kwaiyo mkuu hivo vitu unavovisema hapo vimezuka zuka tu hakuna aliye vifanya vikawepo?? majibu tafadhali
Tatizo lako hutaki kuelewa Unataka battle kitu ambaxho binafsi sikiwezi, kwa kukusaidia tu ni kwamba usilete mambo ya biblia ktk sayansi maana havipatani kamwe, sayansi inazungumzia uwepo wa sayari huko juu lakini kwenye biblia haipo hivyo, inazungumziwa dunia tu wakati tumesoma kuna zebaki, zuhura nk, hivyo usichanganye maelezo ya kisayansi na kiroho, hapa tunazungumzi kisayansi kwanini ndege haifiki kule, tukisema kiroho tunaweza sema Inawezekana maana ni swala la imani

kwahiyo ukweli ni upi sasa tumuamini Mungu au tuamini hiyo sayansi??