Sasa fuatilia wanaoendesha biashara zake ili kuuendeleza utajiri wake sasa hivi uone kama ni LA SABA wenzake?Kwani kila siku anaokota dhahabu?
Mtazamo finyu sana huu! Alichimba dhahabu pengine akapata mara moja au mbili lkn akaweza kuendeleza huo mtaji alioupata kupitia dhahabu huo pia ni uwezo si jambo la kubeza.
Au tuseme Kama kuokota dhahabu ni rahisi hivyo kwann hao wenye vyeti wanaojiita wasomi hawaendi kuokota?
Bado tu hujaona kuwa hao wanaojiita wasomi wanajidharaulisha wenyewe kuajiriwa na darasa la saba?Sasa fuatilia wanaoendesha biashara zake ili kuuendeleza utajiri wake sasa hivi uone kama ni LA SABA wenzake?
Jamaa ana vijisenti vya kutosha. Amewekeza mpk China.Umasikini wa familia yake.
Halafu kwani kuna league ya nani zaidi ?Bado tu hujaona kuwa hao wanaojiita wasomi wanajidharaulisha wenyewe kuajiriwa na darasa la saba?
Vyuo vikuu ni sawa na jalalani mkuu. Maslahi na mazingira ya kufanyia kazi ni duni sana ukilingqjisha na muda waliopoteza kuutafuta uprofesa .Unakuta professor mzima kutoka chuo kikuu anamshukuru mwanasiasa kwa kumtoa JALALANI.
Wasomi wengi ni wakujiita tu wasomi kwasbb walitunikiwa vyeti lkn hawana impact yyte linapokuja suala la kuisaidia nchi.Halafu kwani kuna league ya nani zaidi ?
Kwanini anahisi wasomi wanashindana naye ?
Vipi yeye watoto wake hapeleki shule ?
Maana Bakheresa ambaye naye hakwenda shule lakini alipeleka watoto wake na ndio wsnaendesha makampuni.
Huyu hana usomi wowote huyu. Watu wa Pwani na elimu wapi wapi ? Ameunga unga sana huyu.Uyu nae eti Ni msomiView attachment 1818611
Bilashaka huyu ni HK
Jiwe alipenda Sana kuwapa nafasi wajinga ili asipate challenge ktk kuwaongoza.
Kwanini wote wameshapewa nafasi ?Wasomi wengi ni wakujiita tu wasomi kwasbb walitunikiwa vyeti lkn hawana impact yyte linapokuja suala la kuisaidia nchi.
Hilo suala la vimada na wanawake wanne ni maisha yake binafsi tujikite kwenye mada.Huyu hana usomi wowote huyu. Watu wa Pwani na elimu wapi wapi ? Ameunga unga sana huyu.
Anajua ngono tu huyu. Hapo alipo wana wake 4 na vimada wa kutosha.
Ndio maana Msukuma anawadharau watu kama nyieKabisa!. Fikiria msomi kama Lisu anaamisha watu kwamba yeye akichaguliwa kuwa rais ndio tatizo la ajira litaisha wakati bibi yako kapambana bila hata Lisu kuwa mwenyekiti wake wa kitongoji na amewasomesha!
Kama mazingira ni duni,Vyuo vikuu ni sawa na jalalani mkuu. Maslahi na mazingira ya kufanyia kazi ni duni sana ukilingqjisha na muda waliopoteza kuutafuta uprofesa .