Kwanini mbunge Musukuma anapenda kuwadharau wasomi wetu?

Fikiria "msomi wa Ph.D" kama mwendazake eti ndio kiongozi mkuu wa nchi!!
Msomi ambaye hujui dunia inaendaje wawezaje kujiita msomi!? Msomi asiyejua hata siku ina masaa 24 kweli anajiita msomi!!??
Si ndio maana msukuma ana wadharau sana wasomi wa aina hiyo?
 
Eti Hawa ndio wasomi taiga letu liko nao
images-164.jpg
 
Nimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo.

Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo. Hivi kwanini mheshimiwa mbunge Musukuma kila akichangia anakua akiwasigina wasomi na kuwatukuza darasa la saba?

Hii inatokana na kutojiamini kwa kukosa elimu au kuna nini kafanyiwa na wasomi hadi chuki yake kufikia kiwango cha juu?

Au ndio kutaka kuwawini wananchi wengi ambao hawana elimu?
Kama wasomi wenyewe ndiyo hawa kina Kabudi, Mwigulu, Kitila, nk - namuunga mkono Musukuma kwa 101%!
 
Wanataka wapewe nafasi na nani? Je wapo jela? Walinyang'anywa ardhi? Waliporwa elimu yao?

Emu ongea Kama mtu anayejua anachosema
Kwahiyo wanatakiwa kulisaidia vipi hili taifa hao wasomi kama ambavyo wasio wasomi wanafanya ?
 
Ukweli ni kwamba elimu yetu haina meno ni kwenye makaratasi tu!haitatui changamoto zilizopo japo tuna maprofesa na wataalamu wengi wa vyuo vikuu!!!LEO SIASA NDIO KIMBILIO LA AJIRA YENYE MSHIKO MREFU HAPA NCHINI !!ELIMU HAINA MWAROBAINI WA AJIRA HAPA TZ!!!!!Japo nina degree moja najiona useless kabisa!!!
 
Msomi mwingine uyu hapa,
Akisisitiza jinsi kikokotoo kipya kitakavyomnufaisha mstaafu
images-166.jpg
 
Sasa huo usomi wako unakusaidia nini Kama hata hujui cha kuisaidia nchi yako?
Aliyesema hawasaidii taifa ni nani ?

Mimi nimesema hawasaidii taifa. Wewe uliyesema hawasaidii taifa ndio useme hawasaidii taifa kivipi na kwenye nini !
 
Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo. Hivi kwanini mheshimiwa mbunge Musukuma kila akichangia anakua akiwasigina wasomi na kuwatukuza darasa la saba?
Kwani wasomi wenyewe wamesemaje kabla hatuwasemea
 
Aliyesema hawasaidii taifa ni nani ?

Mimi nimesema hawasaidii taifa. Wewe uliyesema hawasaidii taifa ndio useme hawasaidii taifa kivipi na kwenye nini !
ndiyo hao hao kipindi cha Magu walisema tujifukize leo wamegeuka wanasema tuvae barakoa

Kweli wanalisaidia taifa
 
ndiyo hao hao kipindi cha Magu walisema tujifukize leo wamegeuka wanasema tuvae barakoa

Kweli wanalisaidia taifa
Kwani kina Msukuma hawakusema tujufukize??

Kwani zigo uangushe kwa wasomi wakati ni zigo la kila mtu?

Tena afadhali hao wasomi sasa hivi wamebadilika, lakini hao kina Msukuma bado.
 
Back
Top Bottom