Kwanini mbunge Musukuma anapenda kuwadharau wasomi wetu?

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
17,973
2,000
Elimu kazi ni kumwezesha mwanadamu kutatua changamoto zinazomzunguka.

Sasa kama umesoma halafu uwezo wako wa kupambana na changamoto ni sawa na wangu. Au pengine nakuzidi. Usomi wako una maana gani? Huko mnasomea ujinga na ngono tu.
Hiyo ni kwa mujibu wa tasfiri ya nani, au yako ?

Nambie ni nani ambaye ana maisha ya mafanikio makubwa bila msaada wa elimu ?
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
41,900
2,000
Wasomi ndio wametuangusha!! Wanasaini mikataba ya hovyo sana na kuliingiza hasara taifa!! Namshauri Msukuma ajiendeleze kielimu atleast afikie level za diploma itampa confidence!! Amtafute Shigongo ampe blueprints how to ball.
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
10,836

Kama usomi hauna maana si naye akisoma atakuwa hana maana?
 
JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
3,298
2,000
Nimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo.

Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo. Hivi kwanini mheshimiwa mbunge Musukuma kila akichangia anakua akiwasigina wasomi na kuwatukuza darasa la saba?

Hii inatokana na kutojiamini kwa kukosa elimu au kuna nini kafanyiwa na wasomi hadi chuki yake kufikia kiwango cha juu?

Au ndio kutaka kuwawini wananchi wengi ambao hawana elimu?
Watu hudharau ambacho hawana,na ni vigumu kupata,sizitaki mbichi hizi,kwa vile ameshindwa kuzipata,hajawahi kujua utamu na uchungu wa Elimu ya juu,kwa vile anaona wasomi na yeye wote wanakula,wanakunywa na kukata gogo,anafikiri wapo Sawa.
 
Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,153
2,000
Wasomi wa Tanzania wameifanyia nini Tanzania? Musukuma yupo sahihi. Profesa unaenda kutia tia huruma ukiomba cheo kwa wananchi? Hiyo elimu yako imekusaidia nini?
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
47,219
2,000
Nimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo.

Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo. Hivi kwanini mheshimiwa mbunge Musukuma kila akichangia anakua akiwasigina wasomi na kuwatukuza darasa la saba?

Hii inatokana na kutojiamini kwa kukosa elimu au kuna nini kafanyiwa na wasomi hadi chuki yake kufikia kiwango cha juu?

Au ndio kutaka kuwawini wananchi wengi ambao hawana elimu?
Yule ana kichaa siyo mzima
 
Stan Mashamba

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
2,547

Huku anatamani Sungura kasema: "Hata hivyo ndizi hizi siyo mbivu". Hii ni tabia ya binadamu aliyeshindwa kufika walikofika wengine.
 
Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
978
1,000
Nimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo.

Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo. Hivi kwanini mheshimiwa mbunge Musukuma kila akichangia anakua akiwasigina wasomi na kuwatukuza darasa la saba?

Hii inatokana na kutojiamini kwa kukosa elimu au kuna nini kafanyiwa na wasomi hadi chuki yake kufikia kiwango cha juu?

Au ndio kutaka kuwawini wananchi wengi ambao hawana elimu?
Amegundua mnatumika visivyo na Wanasiasa wasio Wasomi Mnatunga Sheria za kipumbavu, Mnasifia Hovyo Viongozi mnajiita wa Majalalani
 
Dsaba

Senior Member
Jun 16, 2015
129
225

wasomi wetu pia wajitafakari, kuna pahala pana tatizo . sometimes siasa zinawaharibu wasomi.
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
4,988
2,000
Nimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo.

Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo. Hivi kwanini mheshimiwa mbunge Musukuma kila akichangia anakua akiwasigina wasomi na kuwatukuza darasa la saba?

Hii inatokana na kutojiamini kwa kukosa elimu au kuna nini kafanyiwa na wasomi hadi chuki yake kufikia kiwango cha juu?

Au ndio kutaka kuwawini wananchi wengi ambao hawana elimu?
Ni kwa sababu watu kama Palamagamba Kabudi, Mwigulu Mchemba, Kigwangalla, Tulia Ackson, Ndugai, Polepole na wengine wengi walidhalilisha sana hadhi ya USOMI kipindi cha Mwendazake
 
Dsaba

Senior Member
Jun 16, 2015
129
225
Nimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo.

Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo. Hivi kwanini mheshimiwa mbunge Musukuma kila akichangia anakua akiwasigina wasomi na kuwatukuza darasa la saba?

Hii inatokana na kutojiamini kwa kukosa elimu au kuna nini kafanyiwa na wasomi hadi chuki yake kufikia kiwango cha juu?

Au ndio kutaka kuwawini wananchi wengi ambao hawana elimu?
kwa upande mwingine inferiority humpelekea Mh Msukuma kujaribu kudis-value wenye elimu. ila pongezi kwake. Anajitahid kutengeneza hoja ukilinganisha na wabunge wetu ambao hatujawahi kuona hata akiuliza swali la nyongeza... na ikimmulika camera anaikodolea macho tuuu tumuone!
 
cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
21,000
2,000
Wasomi wa Tanzania wameifanyia nini Tanzania? Musukuma yupo sahihi. Profesa unaenda kutia tia huruma ukiomba cheo kwa wananchi? Hiyo elimu yako imekusaidia nini?
Hata mie sielewagi yaan, watu wanaacha taaluma zao walizosotea miaka zaidi ya 20, halafu anaishia kuwa mgonga meza bungeni aaaaah.
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
10,836
2,000
Amegundua mnatumika visivyo na Wanasiasa wasio Wasomi Mnatunga Sheria za kipumbavu, Mnasifia Hovyo Viongozi mnajiita wa Majalalani

Wajalalani wamejitambulisha wenyewe hivyo kwa maneno na vitendo.

Wakashindwa kumshauri mwendazake hata katika yale wenyewe walikuwa mapema wakiyapigia kelele kwa kulinda matumbo yao.
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
15,600
2,000
Nimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo.

Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo. Hivi kwanini mheshimiwa mbunge Musukuma kila akichangia anakua akiwasigina wasomi na kuwatukuza darasa la saba?

Hii inatokana na kutojiamini kwa kukosa elimu au kuna nini kafanyiwa na wasomi hadi chuki yake kufikia kiwango cha juu?

Au ndio kutaka kuwawini wananchi wengi ambao hawana elimu?
Kwani wasomi wamelifanyia nini taifa hili zaidi ya kuliibia tu ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom