MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,707
- 71,073
- Thread starter
- #341
Wataalamu wengi wabobezi na majasusi wanasema Iran amepata nguvu na karata ya kuzitumia kwa baadae kutikisa mataifa makubwa
What a time to be alive!
Wataalamu wengi wabobezi na majasusi wanasema Iran amepata nguvu na karata ya kuzitumia kwa baadae kutikisa mataifa makubwa
HakikaMadunya na Mababazi sijui wapo hali gani sasa .
Sikutarajia Jana kumuona Trump akiwa kwenye low mood anatangaza mambo ya makubaliano bila ego na matambo yake huku akikosoa Israel hadharani .
US imekuwa waoga kutoa maelezo full kuhusu makubaliano.
Wataalamu wengi wabobezi na majasusi wanasema Iran amepata nguvu na karata ya kuzitumia kwa baadae kutikisa mataifa makubwa
Ukishachagua TU upande
Uchambuzi wako unakosa mantiki na credibility
Unalinganisha vita ya Marekani aliyepigana chini ya wiki mbili na Urusi ambaye anapigana miaka mitatu Hadi sasa na taifa jirani hapo
Dah mkuu uliona mbali sana, mwisho wa siku Iran kamaliza vita akiwa better politically, economically na diplomatically kuliko kabla ya vita. This is a tactical loss kwa USA maana sio kwa concession hizi.
Endelea kudanganywa sasa yaani mtu mwenye akili timamu unaweza kukubali kabisa kuwa Iran ameiwin hii vita? Iran leo wanasema Marekani imeua askari wake wadogo kwenye meli ya kijeshi bahari ya hindi hivyo itaenda mahakamani? Aseeee
IQ kubwa wanaona mbaliAndiko lililooona mbalii, uliyotabiri yametokeaa kwa kiwango kikubwaa
Unajua bajeti ya ulinzi wa Marekani Kwa mwaka ukilinganisha na bajeti ya Iran na nchi zingine??
Umechagua upande ambao utakutesa sana kwenye chambuzi zako
Dah mkuu uliona mbali sana, mwisho wa siku Iran kamaliza vita akiwa better politically, economically na diplomatically kuliko kabla ya vita. This is a tactical loss kwa USA maana sio kwa concession hizi.
Na hili ndio Israel wanataka, watatengeneza zengwe tu ili mwisho wa siku hii vita iishe kwa Iran kupigwa hata ikiwezekana kwa nukes ila sio kuona USA inamaliza vita hii mezani.KABLA HAIJAPATIKANA AMANI, litatokea jambo la kutisha aidha Marekani, Israel, Nchi za kiarabu na Iran ambalo litatikisa dunia na kuamua kwamba amani ya kudumu iwepo au kuna upande utalazimishwa upokee kupigo na maumivu na kulazimishwa kushindwa
Baada ya uongozi mzima wa Ayatollah kuisha Iran ndo wanakubali masharti ya Marekani
Niambie ni sharti gani la marekani lililo kubaliwa na Iran?Baada ya uongozi mzima wa Ayatollah kuisha Iran ndo wanakubali masharti ya Marekani
Isingekuwa kiburi Cha Ayatollah Leo wasingepata hasara kubwa namna hiyo
Hii mada imekuzidi kimoBaada ya uongozi mzima wa Ayatollah kuisha Iran ndo wanakubali masharti ya Marekani
Isingekuwa kiburi Cha Ayatollah Leo wasingepata hasara kubwa namna hiyo
Vipengele vya makubaliano vinaonesha Iran ndiye aliyempa masharti Marekani.Baada ya uongozi mzima wa Ayatollah kuisha Iran ndo wanakubali masharti ya Marekani
Isingekuwa kiburi Cha Ayatollah Leo wasingepata hasara kubwa namna hiyo
Tell us more MALCOM LUMUMBAThis is not, a tactical loss: This is a strategic defeat.
Thou things will get worse before they trully get better.
The Anglo-Zionist Empire is perfidious as it is murderous.
This peace is too fragile, and it's mainly created for optics and bidding themselves time.
=============================================================================
If there's a language the Israelis and Whites only understand is that of Carnage and Submission.
The war will truly end when, either Iran is totally obliterated or Iran is splintered into thousand pieces
==================================================================================
Either way, be as it may, Americans and Israelis have no magic wand that can reverse the ill-gotten fortunes. Iran's Juggernaut keeps on rolling, and no impediment seems to slow down its speed.
=====================================================================================
KABLA HAIJAPATIKANA AMANI, litatokea jambo la kutisha aidha Marekani, Israel, Nchi za kiarabu na Iran ambalo litatikisa dunia na kuamua kwamba amani ya kudumu iwepo au kuna upande utalazimishwa upokee kupigo na maumivu na kulazimishwa kushindwa.