Marekani yawekwa vikwazo viola dhidi ya Iran!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,134
Reaction score
7,687
Idara ya Hazina ya Marekani iliweka vikwazo vipya vikubwa kwa sekta ya usafiri wa anga ya Iran Jumanne, ikiteua malengo 36 na kuidhinisha vyema mashirika yote ya ndege ya Iran yaliyobaki kama sehemu ya Operesheni ya Uchumi ya Trump. Hatua hiyo inajumuisha mashirika 27 ya ndege ya Iran, pamoja na makampuni ya kigeni na watu binafsi katika UAE, Uturuki, Malaysia na kwingineko wanaoshutumiwa kusaidia Iran kupata ndege za Marekani, teknolojia ya usafiri wa anga, huduma za mizigo na usaidizi wa vifaa.

Hazina inasema Iran imetumia mitandao ya usafiri wa anga ya kiraia kusafirisha silaha, wafanyakazi na mizigo haramu, ikilenga hasa Mahan Air na mitandao yake ya ununuzi. OFAC pia ilisitisha idhini 3 zinazohusiana na usafiri wa anga ambazo ziliruhusu baadhi ya safari za ndege za ziada na matumizi ya ndege za kibiashara zinazodhibitiwa na Marekani au Marekani kwenye safari za ndege kuingia Iran, huku FinCEN ikitoa tahadhari tofauti ikizitaka taasisi za fedha kutambua na kuripoti mitandao ya ununuzi wa usafiri wa anga.

Waziri wa Hazina Scott Bessent alionya kwamba makampuni yanayoendelea kufanya biashara na mashirika ya ndege ya Iran yaliyowekewa vikwazo yana hatari ya kukatizwa kutoka kwa mfumo wa fedha wa Marekani na mpana wa kimataifa.

Attachments

  • IMG_5819.jpeg
    IMG_5819.jpeg
    87.5 KB · Views: 1
Vikwazo vipya dhidi ya Iran? Baada ya vita kali? Hiyo nchi imepigwa vikwazo vikali na Marekani, EU na marafiki zao tangu 1979 lakini haipigiki. Haisalimu amri.

Marekani waliifadhili Iraq chini ya Saddam Hussein kushambulia Iran kwa vita iliyochukua miaka 8 tangu 1980 hadi 1988 na kuua wapiganaji na raia wa Iran karibia 1m wengine kwa mabomu ya sumu Marekani na Israel wakihusika.

Marekani na Israel wameua viongozi wa kidini na kijeshi wa Iran na kuangamiza jeshi lake la maji, anga na vituo vya kurushia makombora kwa kuvizia katikati ya mazungumzo ya awali ya amani ya mwanzo kabisa katika hii vita ya sasa. Lakini Iran imegoma kujisalimisha. Na sasa vikwazo vipya! Sijui kama vitasaidia kitu.

Iran imechakazwa sana na mabomu ya Marekani na Israel. Uchumi wake umepigika kweli kweli kwa miaka 40. Lakini ni no surrender tena sasa wanaendelea kumfanyia dhihaka Donald Trump wakitumia AI.

Marekani ina majeshi yenye silaha nzito na teknolojia kubwa. Ina pesa kubwa na uchumi mkubwa. Inadhibiti sehemu kubwa ya uchumi wa dunia. Lakini wameshindwa kuisalimisha Iran. You know why? jeshi lake halina SPIRIT (nafsi) ya mapigano. Kupigania pesa na mabilionea ni tofauti na kupigania uhai wa nchi yako.

Uongozi wa Marekani hasa wa sasa hautumii akili, una kiburi kingi, jeuri nyingi wala hauna mikakati ya maana katika hizi vita zake za uvamizi wa nchi "nyonge". Inachukulia nchi zote zina viongozi duni kama Venezuela. Kwenye list bado wana Cuba, Greenland, Amerika ya Kusini yote, n.k. Sasa wanataka kutawala dunia wakishirikiana na Urusi, China na Israel. Israel wao wanataka kutawala eneo lote la Middle East (chini ya Abrahamic Accords).
 
Inaonyesha umeumia sana na unalalamika sana juu ya Magaidi wa Iran na umejionyesha wazi wewe pia ni Mfuga Midevu na Majini maana hujitambui kazi kubwabwaja tu!!
 
Safari hii utajamba sana mzayuni wa jf utajamba sanaaaaaaa
 
Inaonyesha umeumia sana na unalalamika sana juu ya Magaidi wa Iran na umejionyesha wazi wewe pia ni Mfuga Midevu na Majini maana hujitambui kazi kubwabwaja tu!!
We ni mpuuzi na huna akili, unapaswa uwe unajibu mtu kwa hoja..

Hoja huna we mvaa dera... rudisha hilo dera kwa mkeo tafadhali...
 
Back
Top Bottom