Ila kwa Iran hilo halitatokea. Amini hilo kaka. Kwa hii vita iliyotokea imeshampa nguvu Iran kidiplomasia na kikanda ulimwenguni. Pia imefanya nguvu ya kisiasa na kidiplomasia ya Marekani na Israel ianguke. Kila siku sio ijumaa bro,kwamba waliyofanya wazayuni kuiangusha Syria,Lebanon na Misri basi watafanya kwa kila nchi ikiwemo Iran. Nooop lazima kuna kisiki kitatokea tu kuweka challenge ikiwezekan ya milele.Na hili ndio Israel wanataka, watatengeneza zengwe tu ili mwisho wa siku hii vita iishe kwa Iran kupigwa hata ikiwezekana kwa nukes ila sio kuona USA inamaliza vita hii mezani.