Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,831
- 8,774
Hatuhitaji kujua Yuko upande Gani,tunachohitaji kujua ni kama kaandika ukweli au uuongo,ili Tuchambue makala yake,maana wote humu tuna access ya habari za vita hii.kwani mtoa mada yeye yupo upande gan?
Itakuaje uchi mbele ya magharibi?Kadri siku zinavyoenda ndo tutazidi kuona mambo yanavyoenda. Iran ipo uchi sana mbele ya Magharibi.
Sio hiyo TU,Bali Jana Ben Gurion Intl airport,imechezea Iko useless kabisa.View attachment 3554340
Iran kaamua kama ni kushuka kiuchumi, Asishuke mwenyewe.
Kifo cha wengi harusi.
Anataka kila nchi ionje joto la jiwe.
Kwa taarifa Yako ni kwamba,Hadi kufikia Leo,nchi zote tatu katika vita hii hazina yaani zimeishiwa mifumo ya Ulinzi wa anga,yaani USA, Israel na Iran yenyewe.Kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo Iran anaanza kuwa wa baridi.
Wewe Nguruvi3: na Malcolm Lumumba msiwe mnakuja wote kwa pamoja,mkubaliane muwe mnakuja mmoja mmoja,yaani baada ya wiki anakuja mmoja.Sijui kama wanajua watafutie wapi. Taarifa ya kendy itawasaidia sana vijana wa Kenya na Uganda wanaosoma JF. Hawa wakwetu lugha ni tatizo, kutafuta habari tatizo !
Sidhani kama watahoji chanzo! kwani wameelewa kilichoandikwa!
Nawatetea Vijana hakuna misunderstanding kuna ignorance ya hali ya juu sana Tanzania.
Wengi wanasoma ili kujibu kilichoandikwa, hawasomi kuelewa kilichoandikwa ndio maana wanabisha tu katika mabandiko. Hawana uwezo wa ku rebuttal hoja. Ujinga umekolezwa na DINI. Yaani hawana muda wa kuangali jambo kutoka angle tofauti! huku Wayahudi kule Waarabu! hawajishughulishi hata kutafuta facts
Mfano, nimewauliza kosa la Iran ni lipi hadi ashambuliwe? Hakuna anayejibu, wapo bize, apigwe !
Hili swali na hii tahadhari unamuuliza Malcolm Lumumba au mtu mwingine?Unajua bajeti ya ulinzi wa Marekani Kwa mwaka ukilinganisha na bajeti ya Iran na nchi zingine??
Umechagua upande ambao utakutesa sana kwenye chambuzi zako
Sasa hivi kaongezeka na mtu mwingine anaitwa Nguruvi3:Ktk Uzi huu Malcom unamwaga moto hatari.
Iran..kwani mtoa mada yeye yupo upande gan?
Mleta mada umefanana sana na professor mmoja aitwaye Jiang Xueqin kimaudhui na kiuwasilishaji.
Mkuu ebu andika kinachoendelea maana naona Marekani kama anakimbia vitaUBAZAZI na UDUNYA huwa ni matatizo makubwa sana, ndugu watanzania tuyakatae.
Huyu hapa ni Waziri Mkuu Mstaafu wa Israel Ehud Barak. Ni moja kati ya wenye CV kubwa mno kwenye medani za kivita. Amefanya kazi kama mwanajeshi wa IDF, lakini pia aliwahi kuwa MKUU WA MAJESHI YA ISRAELI na kuratibu oparesheni kubwa kama The Entebbe Raidi kule Uganda.
Hapa anasema dhahiri kabisa kwamba wanachokifanya Marekani na Israel dhidi ya Iran ni jambo ambalo halikufikiriwa vizuri. Anasema ile vita imeanza kwa mbwembwe lakini ikiendelea zaidi itageuka kuwa kama Vietnam na Marekani hatashida.
Sasa Mathayo na Luka kutoka Changalawe akija hapa anaweza akaanza kulalamika au kulia huku akimtukana huyu Mzee kwamba haijui CIA ya HOLYWOOD au ana chuki binafsi. Madunya na Mabazazi watalalamika bila kutoa uchanganuzi wowote wa kitaalamu wa maneno yao
View: https://www.youtube.com/shorts/-pFwuVDx8B0?feature=sh
Mkuu ebu andika kinachoendelea maana naona Marekani kama anakimbia vita
Mkuu ebu andika kinachoendelea maana naona Marekani kama anakimbia vita
Mkuu ebu andika kinachoendelea maana naona Marekani kama anakimbia vita
Nini maana ya Dunya?UBAZAZI na UDUNYA huwa ni matatizo makubwa sana, ndugu watanzania tuyakatae.
Huyu hapa ni Waziri Mkuu Mstaafu wa Israel Ehud Barak. Ni moja kati ya wenye CV kubwa mno kwenye medani za kivita. Amefanya kazi kama mwanajeshi wa IDF, lakini pia aliwahi kuwa MKUU WA MAJESHI YA ISRAELI na kuratibu oparesheni kubwa kama The Entebbe Raidi kule Uganda.
Hapa anasema dhahiri kabisa kwamba wanachokifanya Marekani na Israel dhidi ya Iran ni jambo ambalo halikufikiriwa vizuri. Anasema ile vita imeanza kwa mbwembwe lakini ikiendelea zaidi itageuka kuwa kama Vietnam na Marekani hatashida.
Sasa Mathayo na Luka kutoka Changalawe akija hapa anaweza akaanza kulalamika au kulia huku akimtukana huyu Mzee kwamba haijui CIA ya HOLYWOOD au ana chuki binafsi. Madunya na Mabazazi watalalamika bila kutoa uchanganuzi wowote wa kitaalamu wa maneno yao
View: https://www.youtube.com/shorts/-pFwuVDx8B0?feature=sh
Mkuu ebu andika kinachoendelea maana naona Marekani kama anakimbia vita
Hii ni tofauti sana hauwezi linganisha, kule Urusi aliingia mazima mazima kwa kataifa jirani hapo, tena msafara haswa ila akaliwa za uso, lakini kwa hivi vita Iran, Marekani inapigana mbali sana na mpaka wake na inachezea angani tu hamna msafara wala nini na mpaka Sasa imeteka anga lote la Iran, imesambaratisha navy na air force yote ya Iran.
Viongozi wakuu wa Iran wamefyekwo, kilichosalia ni missile launchers ambazo zimefichwa maeneo mbali mbali na zinasakwa na kulipuliwa moja moja, zinasubiriwa zifyatue kisha zinasomwa na satellite na kupigwa.
U.S Ground troops ndani ya Iran watakutana na wakati ngumu kwakweli.Donald Trump hakimbii ila anacheza na masoko kwasababu ni mwanzo wa wiki.
Marekani huwa hafanyi vita mwanzoni wa mwiki bali mwishoni wakati masoko ya hisa yanapokuwa yametulia. Hapa anatafuta mbinu ya kukusanya vikosi vifanye uvamizi wa mguuni ili kukamata sehemu nyeti za Iran, jambo ambalo lina hatari kubwa sana sanaaa.