Kwanini Marekani ameshindwa kuimaliza Iran haraka?

Kwanini Marekani ameshindwa kuimaliza Iran haraka?

kwani mtoa mada yeye yupo upande gan?
Hatuhitaji kujua Yuko upande Gani,tunachohitaji kujua ni kama kaandika ukweli au uuongo,ili Tuchambue makala yake,maana wote humu tuna access ya habari za vita hii.
Ila Hadi hapa mtoa mada kaandika ukweli mtupu na ni ukweli mchungu kwa Mabazazi na Madunya.
 
Kadri siku zinavyoenda ndo tutazidi kuona mambo yanavyoenda. Iran ipo uchi sana mbele ya Magharibi.
Itakuaje uchi mbele ya magharibi?
Kwani Iran inapigana na magharibi wote?
Ukisema hivyo unazidhalilisha nchi zote za magharibi itaonekana kwamba Iran moja inapigana na all collective west.
Ila kwa taarifa Yako mpaka hapa Iran kaonesha uwezo mkubwa sana kupambana na masupa pawa wawili kwa pamoja,mmoja ni World class super powers USA na mwenzake ni Middle East Super power ISRAEL.
Hii ni maajabu.
 
Un
Kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo Iran anaanza kuwa wa baridi.
Kwa taarifa Yako ni kwamba,Hadi kufikia Leo,nchi zote tatu katika vita hii hazina yaani zimeishiwa mifumo ya Ulinzi wa anga,yaani USA, Israel na Iran yenyewe.
Hivyo Kila mmoja anachugua apoge wapi na anajipigia TU.
Yaani hivi ninavyoandika USA na Israel wamekua vipofu wa vita hapo Middle East,Iran amefanikiwa kuwapofusha wote.
Kumbuka Hawa wawili walikua huru kabisa wakati Iran ilikua kifungoni,Leo hii mfungwa na askari wote wako swa.
Namba hua hazidanganyi,Sasa hivi wanajeshi wa Marekani waliopo middle east wameyakimbia makambi Yao.
Je kama wanashinda vita wanawezaje kuzikimbia Kambi?
Hivi Sasa Iran imeanza kutumia silaha zake za kisasa zaidi,ule mzigo wote wa zamani umekwisha.

Kumbuka Urusi anataka kulipa kisasi Kwa USA alivyokua anampa Ukraine taarifa muhimu na silaha ili aipoge Urusi.
Kumbuka china anataka USA apungukiwe nguvu ili china awe juu na kuweza kuidhibiti Taiwan,
Kumbuka Korea kaskazini anataka USA apungukiwe nguvu ili yeye asije kubugudhiwa na USA.
Mchezo mtmi sana huu.
Washington wameshaanza kulia kua Urusi Yuko nyuma ya pazia . Na kweli Yuko.
 
Sijui kama wanajua watafutie wapi. Taarifa ya kendy itawasaidia sana vijana wa Kenya na Uganda wanaosoma JF. Hawa wakwetu lugha ni tatizo, kutafuta habari tatizo !

Sidhani kama watahoji chanzo! kwani wameelewa kilichoandikwa!

Nawatetea Vijana hakuna misunderstanding kuna ignorance ya hali ya juu sana Tanzania.
Wengi wanasoma ili kujibu kilichoandikwa, hawasomi kuelewa kilichoandikwa ndio maana wanabisha tu katika mabandiko. Hawana uwezo wa ku rebuttal hoja. Ujinga umekolezwa na DINI. Yaani hawana muda wa kuangali jambo kutoka angle tofauti! huku Wayahudi kule Waarabu! hawajishughulishi hata kutafuta facts

Mfano, nimewauliza kosa la Iran ni lipi hadi ashambuliwe? Hakuna anayejibu, wapo bize, apigwe !
Wewe Nguruvi3: na Malcolm Lumumba msiwe mnakuja wote kwa pamoja,mkubaliane muwe mnakuja mmoja mmoja,yaani baada ya wiki anakuja mmoja.
Sababu ni kwamba hawa vijana wa bongo uwezo wa kupokea mambo makubwa kama haya hawana ,hivyo badala ya kuwasaidia ndio mtawaondolea kabisa hata hicho kidogo walichonacho vichwani,wengi wameharibiwa akili na Hollywood movies,amini nakuambia.
 
Unajua bajeti ya ulinzi wa Marekani Kwa mwaka ukilinganisha na bajeti ya Iran na nchi zingine??
Umechagua upande ambao utakutesa sana kwenye chambuzi zako
Hili swali na hii tahadhari unamuuliza Malcolm Lumumba au mtu mwingine?
Jiandae kwa jibu.
Ila hata Mimi naweza kulijibu TU, hili ni swali jepesi sana Kwa mtoa mada.
Subiri utaona.
 
Mleta mada umefanana sana na professor mmoja aitwaye Jiang Xueqin kimaudhui na kiuwasilishaji.
Kuhusu A Fusion of Mysticism and Empiricism binafsi nimelifahamu miaka zaidi ya 10 sasa.

Wengi wanakifahamu baada ya kumjua Prof Jiang Xueqin hivi karibuni. Wengine tumefahamu muda mrefu kwamba huwezi kabisa kutegemea EMPIRICISM kwenye kuchambua mambo ukaacha MYSTICISM halafu ukapata taswira sahihi ya dunia.

Kuhusu mengi ambayo Jiang Xueqin anayasema, binafsi niliwahi kuyaandika mwaka 2017 kwenye huu uzi:

Pitia mchango (Comment) #40
 
UBAZAZI na UDUNYA huwa ni matatizo makubwa sana, ndugu watanzania tuyakatae.

Huyu hapa ni Waziri Mkuu Mstaafu wa Israel Ehud Barak. Ni moja kati ya wenye CV kubwa mno kwenye medani za kivita. Amefanya kazi kama mwanajeshi wa IDF, lakini pia aliwahi kuwa MKUU WA MAJESHI YA ISRAELI na kuratibu oparesheni kubwa kama The Entebbe Raidi kule Uganda.

Hapa anasema dhahiri kabisa kwamba wanachokifanya Marekani na Israel dhidi ya Iran ni jambo ambalo halikufikiriwa vizuri. Anasema ile vita imeanza kwa mbwembwe lakini ikiendelea zaidi itageuka kuwa kama Vietnam na Marekani hatashida.

Sasa Mathayo na Luka kutoka Changalawe akija hapa anaweza akaanza kulalamika au kulia huku akimtukana huyu Mzee kwamba haijui CIA ya HOLYWOOD au ana chuki binafsi. Madunya na Mabazazi watalalamika bila kutoa uchanganuzi wowote wa kitaalamu wa maneno yao

View: https://www.youtube.com/shorts/-pFwuVDx8B0?feature=sh
 
Mkuu ebu andika kinachoendelea maana naona Marekani kama anakimbia vita
 
Mkuu ebu andika kinachoendelea maana naona Marekani kama anakimbia vita
Deal 1.png

Deal 2.png

Deal 3.png

Deal 4.png
 
Nini maana ya Dunya?
 
Mkuu ebu andika kinachoendelea maana naona Marekani kama anakimbia vita
Donald Trump hakimbii ila anacheza na masoko kwasababu ni mwanzo wa wiki.

Marekani huwa hafanyi vita mwanzoni wa mwiki bali mwishoni wakati masoko ya hisa yanapokuwa yametulia. Hapa anatafuta mbinu ya kukusanya vikosi vifanye uvamizi wa mguuni ili kukamata sehemu nyeti za Iran, jambo ambalo lina hatari kubwa sana sanaaa.
 
Hii ni tofauti sana hauwezi linganisha, kule Urusi aliingia mazima mazima kwa kataifa jirani hapo, tena msafara haswa ila akaliwa za uso, lakini kwa hivi vita Iran, Marekani inapigana mbali sana na mpaka wake na inachezea angani tu hamna msafara wala nini na mpaka Sasa imeteka anga lote la Iran, imesambaratisha navy na air force yote ya Iran.
Viongozi wakuu wa Iran wamefyekwo, kilichosalia ni missile launchers ambazo zimefichwa maeneo mbali mbali na zinasakwa na kulipuliwa moja moja, zinasubiriwa zifyatue kisha zinasomwa na satellite na kupigwa.

Nasikia Kenya mnataka kupeleka KDF kulinda meli kutoka Strait of Hormuz....

I'm just asking myself, so enlighten me: Will KDF use Canoes, Rafts or Reedboats ???
 
Donald Trump hakimbii ila anacheza na masoko kwasababu ni mwanzo wa wiki.

Marekani huwa hafanyi vita mwanzoni wa mwiki bali mwishoni wakati masoko ya hisa yanapokuwa yametulia. Hapa anatafuta mbinu ya kukusanya vikosi vifanye uvamizi wa mguuni ili kukamata sehemu nyeti za Iran, jambo ambalo lina hatari kubwa sana sanaaa.
U.S Ground troops ndani ya Iran watakutana na wakati ngumu kwakweli.

IEDs+Proxy+Milima+Jangwa+Population.

Kuna hatari vifo vikazidi vile Vya Iraq na Afghanistan.
 
Back
Top Bottom