Kwanini Marekani ameshindwa kuimaliza Iran haraka?

1773472920874.png
 
Labda ni wewe tu ambaye hujui, lakini Iran imekuwepo Afrika tokea 1976 wakiwezeshwa na Marekani kupitia THE SAFARI CLUB. Baada ya Marekani kutandikwa vibaya kule Vietnam, bunge la Marekani kupitia THE CHURCH COMMITEE walipitisha maadhimio ya kudhibiti shughuli haramu za shirika la kijasusi la Marekani, CIA.

Henry Kissinger baada ya kuwekewa hivi vikwazo akaamua kutengeneza umoja wa kijasusi uitwao THE SAFARI CLUB, ukijumuisha nchi kama Egypt, Saudi Arabia, Morrocco, Iran na France. The Safari Club ndiyo ilikuwa inatumika na Marekani kuua viongozi wa kiafrika, wakishirikiana na makabulu wa Afrika Kusini. The Angolan Civil War 1975, The Assassination of Machel, The Egyptian Invasion of Zaire, The Bombing of Dar Es Salaam, The Rwandan Civil War, The Ogaden War na upuuzi mwingine vyote viliratibiwa na CIA-America, kupitia The Safari Club.

Hii hoja ya kusema Iran ipo Afrika tokea 2013, sisi tunakushangaa mno. Maana aliyeiwezesha Iran kupenya Afrika ni CIA. Majasusi wa Iran wanaifahamu Afrika vizuri kwasababu waliletwa na CIA. Ila baada ya kugombana mwaka 1979, ndiyo ikawa nongwa kwa Iran kuwepo Afrika. Hata hivyo aheri IRAN kuliko Marekani ambaye amefanya mambo maovu ya kutisha hapa Afrika tokea miaka 1960's. Wewe hayo huyaoni umekalia unazi tu wa kubananga watu kwasababu za udini. Haya yote yamefanywa na mataifa ya Magharibi yakisaidiwa na CIA dhidi ya Africa:

1. The Overthrow of Dr Kwame Nkrumah
2. The Assassination of Patrice Lumumba
3. The Assassination of Eduardo Mondlane
4. The Assassination of Thomas Sankara
5. The Assassination of Laurent Kabila
6. The Overthrow of Emperor Haille Selassie
7. The Collapse of Somalia
8. The Ogaden War
9. The Angolan Civil War
10. The Seychelles Coup
11. The Rwanda Genocide
12. The First Congo War
13. The Second Congo War
14. The Liberian Civil War
15. The Sierra Leone Civil War
16. Dictator Charles Taylor was a CIA asset
17. Dictator Mobutu Seseseko was a CIA asset
18. Dictator Jean Bokkasa was a DGSE/CIA asset
19. Dictator Paul Kagame is a CIA asset
20. Dictator Daniel Arap Moi was a CIA asset
21. Dictator Yoweri Kaguta Musseveni is a CIA asset
22. The Warlord Jonas Savimbi was CIA asset
23. The Warlord Mike Hoare "Mad Mike" was a CIA asset
24. The Colonial Dictator Ian Smith was the MI6/CIA asset
25. The Apartheid Regime of South Africa was the CIA asset

Hata huyo kipenzi chenu JPM ameshughulikiwa na mawakala wa The International Mafia ambao wana washirika wao ndani ya CCM+CHADEMA, BUSINESS ELITES and THE CLERGY. Mtaruka hapa kuchagua pande za kidini, lakini wewe MUAFRIKA mbele ya hawa wazungu utabaki kuwa TAKATAKA na MTUMWA hata kama wewe ni ASKOFU MKRISTO. Sasa ninyi endelezeni huu UNAZI wenu bila kufahamu kwamba WORLD WAR THREE HAS ALREADY STARTED and most of us may live to witness the Orwellian Dystopian World, by the end of this decade.
 
Asante kwa haya madini kiongozi MALCOM LUMUMBA
Unapotea sana jukwaani, Nimeona taarifa Donald Trump akiwaomba mataifa mengine kama uingereza kuingilia suala la strait of Hormuz kwa kupeleka msaada wa meli za kijeshi vipi limekaaje kitaalamu?
Kuna uwezekano wowote wa Iran kukosa udhibiti wa Strait of Hormuz endapo mataifa washirika wa U.S wataamua kutoa msaada hapo..?
 
Hali itazidi kuwa mbaya for the coming days
US anaanza kuachilia vikwazo kwa Mrusi kisa mafuta
Waarabu lazima wamuinamie Muajemi

Vita hii ni ya kiuchumi na sio kidini
Pamoja na kuuwa viongozi 48 wa Iran lakini kosa kubwa kuuwa kiongozi Mkuu

Wachambuzi wa vita wanajua kabisa US ameishafeli pakubwa
Ila sio wachambuzi uchwara wa humu ambao wao wanaamini imani zao Badala ya uhalisia

Hawa wanaweza kubishana na wataalamu wa kivita wakidhani wanajua zaidi
😄
 
Boeing KC-135 siyo tu ndege, bali ni alama (A Symbol) ya nguvu ya kijeshi ya jeshi la anga la Marekani na ubunifu wa kiteknolojia. Leo hii moja imeanguka na kusababisha vifo vya askari 6, huku nyingine imepata hitilafu na kukimbilia Israel. Hitilafu zimetokea Iraq na wao wanadai ni matatizo ya kiufundi.

Hizi ndege zilitengenezwa mwaka 1955, kipindi cha utawala wa Raisi Dwight Eisenhower na mpaka leo hii zipo tu. Kiufupi hizi ndege ni vituo vya mafuta vinavyopaa (Flying Gas Station). Hizi ndege ni za kipindi cha vita baridi na zina miaka zaidi ya 60, jambo ambalo linazifanya zitumia gharama kubwa mno kwenye ukarabati (Maintenance).

Taarifa zinasema kwamba hizi ndege kwa safari moja tu hutumia zaidi ya dola za Kimarekani 11,000 ambazo ni sawa na milioni 23 hadi 24 za kitanzania. Jumla ndege zote hugharimu dola za Kimarekani bilioni 5 kwa mwaka kufanyiwa matengenezo. Miaka ya 2003 baada ya kuonekana hizi ndege ni kongwe na zitahitaji gharama kubwa kuzifanyia marekebisho ilibidi watengeneze ndege nyingine jambo ambalo halikufanikiwa mpaka leo hii. Inasemekana mbali na marekebisho mengi, hizi ndege haziwezi kuvuka 2030.

KIUFUPI SASA: Operesheni nzima ya Marekani na Israel inategemea Boeing KC-135. Ndege-vita kama F-35 zinazoshambulia, au B-2 Spirit(Ambazo zinategemewa kutumiwa hivi punde) na ndege nyingine zinazofanya shughuli za ujasusi zinategemea sana hizi Boeing KC-135 katika kufanya mashambulio. Tatizo linakuja hapa sasa:

Mosi, hizi ndege zinahitaji matengenezo makubwa ya gharama ili kuweza kuruka juu na kufanya kazi vizuri. Hii vita ikiendelea, sidhani kama Marekani atakuwa na uwezo wa kuzifanyia marekebisho ndani ya muda mfupi ndege zenye miaka zaidi ya 60, kongwe kuliko hata TANGANYIKA. Rushwa ndiyo chanzo kikubwa kufanya serikali ya Marekani ishindwe kupitisha zabuni ya kutengeneza aina nyingine ya ndege zenye uwezo wa kujaza mafuta kama KC-135. Kiufupi, kinachomkuta Marekani kipindi hiki, ndicho kilichomkuta Urusi miaka ya 90's (Zingatia the Sinking of the Kursk/Crash of Antonov A-24)ambapo ndege zake kongwe na manowari zilikuwa zinapata ajali tu kwasababu za kiufundi.

Pili, hizi ndege zina udhaifu mkubwa mno. Zinapojaza mafuta huwa zinaenda taratibu mno angani jambo ambalo kwa vita kama hii ya Iran, itazifanya kuwa shabaha rahisi mno. Kiusalama inabidi hizi ndege za F-35 na zingine zijazie mafuta Iraq ili zishambulie Iran. Lakini bahati mbaya, Iraq imejaa wanamgambo wa kishia ambao wanaweza kuzitungua. Ukizingatia pia kwamba itakuwa ngumu kwa hizi ndege kutua sehemu kama Saudi Arabia, UAE, Bahrain au Qatar kwasababu kambi za Marekani hazifanyi kazi kwasasa.

UKWELI NI KWAMBA, kipindi hiki Marekani ameyatimba....
View attachment 3557678

View attachment 3557679
😄😄
 
Labda ni wewe tu ambaye hujui, lakini Iran imekuwepo Afrika tokea 1976 wakiwezeshwa na Marekani kupitia THE SAFARI CLUB. Baada ya Marekani kutandikwa vibaya kule Vietnam, bunge la Marekani kupitia THE CHURCH COMMITEE walipitisha maadhimio ya kudhibiti shughuli haramu za shirika la kijasusi la Marekani, CIA.

Henry Kissinger baada ya kuwekewa hivi vikwazo akaamua kutengeneza umoja wa kijasusi uitwao THE SAFARI CLUB, ukijumuisha nchi kama Egypt, Saudi Arabia, Morrocco, Iran na France. The Safari Club ndiyo ilikuwa inatumika na Marekani kuua viongozi wa kiafrika, wakishirikiana na makabulu wa Afrika Kusini. The Angolan Civil War 1975, The Assassination of Machel, The Egyptian Invasion of Zaire, The Bombing of Dar Es Salaam, The Rwandan Civil War, The Ogaden War na upuuzi mwingine vyote viliratibiwa na CIA-America, kupitia The Safari Club.

Hii hoja ya kusema Iran ipo Afrika tokea 2013, sisi tunakushangaa mno. Maana aliyeiwezesha Iran kupenya Afrika ni CIA. Majasusi wa Iran wanaifahamu Afrika vizuri kwasababu waliletwa na CIA. Ila baada ya kugombana mwaka 1979, ndiyo ikawa nongwa kwa Iran kuwepo Afrika. Hata hivyo aheri IRAN kuliko Marekani ambaye amefanya mambo maovu ya kutisha hapa Afrika tokea miaka 1960's. Wewe hayo huyaoni umekalia unazi tu wa kubananga watu kwasababu za udini. Haya yote yamefanywa na mataifa ya Magharibi yakisaidiwa na CIA dhidi ya Africa:

1. The Overthrow of Dr Kwame Nkrumah
2. The Assassination of Patrice Lumumba
3. The Assassination of Eduardo Mondlane
4. The Assassination of Thomas Sankara
5. The Assassination of Laurent Kabila
6. The Overthrow of Emperor Haille Selassie
7. The Collapse of Somalia
8. The Ogaden War
9. The Angolan Civil War
10. The Seychelles Coup
11. The Rwanda Genocide
12. The First Congo War
13. The Second Congo War
14. The Liberian Civil War
15. The Sierra Leone Civil War
16. Dictator Charles Taylor was a CIA asset
17. Dictator Mobutu Seseseko was a CIA asset
18. Dictator Jean Bokkasa was a DGSE/CIA asset
19. Dictator Paul Kagame is a CIA asset
20. Dictator Daniel Arap Moi was a CIA asset
21. Dictator Yoweri Kaguta Musseveni is a CIA asset
22. The Warlord Jonas Savimbi was CIA asset
23. The Warlord Mike Hoare "Mad Mike" was a CIA asset
24. The Colonial Dictator Ian Smith was the MI6/CIA asset
25. The Apartheid Regime of South Africa was the CIA asset

Hata huyo kipenzi chenu JPM ameshughulikiwa na mawakala wa The International Mafia ambao wana washirika wao ndani ya CCM+CHADEMA, BUSINESS ELITES and THE CLERGY. Mtaruka hapa kuchagua pande za kidini, lakini wewe MUAFRIKA mbele ya hawa wazungu utabaki kuwa TAKATAKA na MTUMWA hata kama wewe ni ASKOFU MKRISTO. Sasa ninyi endelezeni huu UNAZI wenu bila kufahamu kwamba WORLD WAR THREE HAS ALREADY STARTED and most of us may live to witness the Orwellian Dystopian World, by the end of this decade.
Hajui chochote huyo kijana Kuna watu wengine Akili zao zimechacha Sana , Mijadala kama hii kama haujui kitu inapaswa ukae pembeni ujifunze badala ya kukaa na kujifanya mjuaji
 
P
Hapa unalinganisha tembo na mbuzi kwenye uzito.

Russia imetimiza miaka minne tangu ianzishe mashambulizi dhidi ya Ukraine. Kwa kutumia vifaru, wanajeshi, helicopters, meli za kivita, bombers, fighter jets, submarines, missiles zikiwemo cruise, ballistic na hadi hypersonic, na silaha nyinginezo.

Marekani imeshambulia haina boots on ground, haina kifaru hata kimoja, inatumia missiles, ndege na meli sina hakika kama wametumia submarines mpaka sasa. Tofauti zao sasa:

1. Russia ina miaka minne (4), US haijatimiza mwezi.

2. Russia haijawahi miliki anga la Kiev, wala ndege yake kukatisha anga hilo walau mara moja katika miaka yote minne. US siku ya kwanza tu ndege zake zilifika Tehran na kila siku zinafika zinakotakiwa kufika popote ndani ya Iran. Ndoto kama hii kwa Russia haiwezekani.

3. Russia haijawahi muua mkuu wa majeshi, wala Rais, wala mkuu wa Air force, au wa Navy, au wa Army ya Ukraine. Upande wa Marekani hapa sitaji nitakukumbusha machungu.

4. Iran haijamuua General yeyote wa US, Ukraine imeua Russian Generals zaidi ya 15 kwenye mapigano.

5. Iran hajawahi shambulia mainland US. Wakati Ukraine anashambulia hadi ikulu ya Kremlin ya Urusi.

Hizo ni tofauti kubwa, mengine ni vita zina mambo yake. Ila aliyekutaarifu kuwa Marekani ameshindwa kummaliza Iran "kwa haraka" sijui ni nani.
Propaganda huwa inashinda kila siku bro, CCM na USA tofauti yao ni ndogo. Unaweza usione utofaut kwa sababu umechagua upande. Ni kama umwambie mwanaccm chama kinapotea.
 
Asante kwa haya madini kiongozi MALCOM LUMUMBA
Unapotea sana jukwaani, Nimeona taarifa Donald Trump akiwaomba mataifa mengine kama uingereza kuingilia suala la strait of Hormuz kwa kupeleka msaada wa meli za kijeshi vipi limekaaje kitaalamu?
Kuna uwezekano wowote wa Iran kukosa udhibiti wa Strait of Hormuz endapo mataifa washirika wa U.S wataamua kutoa msaada hapo..?
Ingawaje swali lilielekezwa moja kwa moja kwa kiongozi wetu MALCOM LUMUMBA ila acha nikose adabu kidogo nitoe mawazo yangu juu ya hilo;
Alichokifanya Donald Trump kuomba alichokiita msaada ni mind game tu naweza kusema kwa sababu Britain tayari yuko vitani dhidi ya Iran kwahiyo anachotaka Trump ni Uingereza wa declare officially ili jumba bovu lisimuangukie peke yake mana hadi sasa kama tunavyosikia hata Netanyahu kaingia mitini.
thank you for your attention on this matter 😁
🙏
 
Labda ni wewe tu ambaye hujui, lakini Iran imekuwepo Afrika tokea 1976 wakiwezeshwa na Marekani kupitia THE SAFARI CLUB. Baada ya Marekani kutandikwa vibaya kule Vietnam, bunge la Marekani kupitia THE CHURCH COMMITEE walipitisha maadhimio ya kudhibiti shughuli haramu za shirika la kijasusi la Marekani, CIA.

Henry Kissinger baada ya kuwekewa hivi vikwazo akaamua kutengeneza umoja wa kijasusi uitwao THE SAFARI CLUB, ukijumuisha nchi kama Egypt, Saudi Arabia, Morrocco, Iran na France. The Safari Club ndiyo ilikuwa inatumika na Marekani kuua viongozi wa kiafrika, wakishirikiana na makabulu wa Afrika Kusini. The Angolan Civil War 1975, The Assassination of Machel, The Egyptian Invasion of Zaire, The Bombing of Dar Es Salaam, The Rwandan Civil War, The Ogaden War na upuuzi mwingine vyote viliratibiwa na CIA-America, kupitia The Safari Club.

Hii hoja ya kusema Iran ipo Afrika tokea 2013, sisi tunakushangaa mno. Maana aliyeiwezesha Iran kupenya Afrika ni CIA. Majasusi wa Iran wanaifahamu Afrika vizuri kwasababu waliletwa na CIA. Ila baada ya kugombana mwaka 1979, ndiyo ikawa nongwa kwa Iran kuwepo Afrika. Hata hivyo aheri IRAN kuliko Marekani ambaye amefanya mambo maovu ya kutisha hapa Afrika tokea miaka 1960's. Wewe hayo huyaoni umekalia unazi tu wa kubananga watu kwasababu za udini. Haya yote yamefanywa na mataifa ya Magharibi yakisaidiwa na CIA dhidi ya Africa:

1. The Overthrow of Dr Kwame Nkrumah
2. The Assassination of Patrice Lumumba
3. The Assassination of Eduardo Mondlane
4. The Assassination of Thomas Sankara
5. The Assassination of Laurent Kabila
6. The Overthrow of Emperor Haille Selassie
7. The Collapse of Somalia
8. The Ogaden War
9. The Angolan Civil War
10. The Seychelles Coup
11. The Rwanda Genocide
12. The First Congo War
13. The Second Congo War
14. The Liberian Civil War
15. The Sierra Leone Civil War
16. Dictator Charles Taylor was a CIA asset
17. Dictator Mobutu Seseseko was a CIA asset
18. Dictator Jean Bokkasa was a DGSE/CIA asset
19. Dictator Paul Kagame is a CIA asset
20. Dictator Daniel Arap Moi was a CIA asset
21. Dictator Yoweri Kaguta Musseveni is a CIA asset
22. The Warlord Jonas Savimbi was CIA asset
23. The Warlord Mike Hoare "Mad Mike" was a CIA asset
24. The Colonial Dictator Ian Smith was the MI6/CIA asset
25. The Apartheid Regime of South Africa was the CIA asset

Hata huyo kipenzi chenu JPM ameshughulikiwa na mawakala wa The International Mafia ambao wana washirika wao ndani ya CCM+CHADEMA, BUSINESS ELITES and THE CLERGY. Mtaruka hapa kuchagua pande za kidini, lakini wewe MUAFRIKA mbele ya hawa wazungu utabaki kuwa TAKATAKA na MTUMWA hata kama wewe ni ASKOFU MKRISTO. Sasa ninyi endelezeni huu UNAZI wenu bila kufahamu kwamba WORLD WAR THREE HAS ALREADY STARTED and most of us may live to witness the Orwellian Dystopian World, by the end of this decade.

too much information na pia confusing, lkn siyo kweli kwamba wazungu (Christians) wanawachukia waafrika na black people kwa ujumla hizo ni propaganda za communists + muslims ambazo zimefanywa dunia nzima walipo black people kuwatenganisha na Christianity na kuweza kuwafanya waafrika wachukie Christianity na Capitalism, kuwafanya waafrika waamini salvation yao iko kwa muslims na communists na ndiyo maana afrika na black people tumebakia wa mwisho duniani kwa maana tumedanganywa sana na communists na muslims, kwanza wazungu Christians wamesaida waafrika na black people klk yoyote yule duniani.

communists na muslims wana ugomvi na Christian capitalists world unaokwenda kwa zaidi ya miaka 1000 hivyo wanatafuta (communist + muslims) watu wa kuwadanganya to fight their battle, na ndiyo maana unaona wamewapata wajinga kama ramaphosa na ans wa ak wanapambana kutetea palestina, hivi sasa (afrika kusini) anakimbizana na israeli na akina netanyahu badala ya kuangalia uchumi wa afrika kusini na watu wake, ramaphosa yuko tayari kugombana na USA kiuchumi kutetea muslims palestina, anayepigana ugomvi kwa niaba ya muslims na communists vs Christian Capitalistis world siyo chinese au indonesian bali ni black man ramaphosa na anc wao ndio wanaishitaki israeli kwenye mahakama zote za kimataifa, swali ni kwamba why is it a blackman s problem? kwa nini siyo china, india au hata waarabu wenyewe wasihangaike na palestina na ugomvi wao wa gaza? kwa nini iwahusu afrika kusini? kwa nini uwe ugomvi wa black man? jibu ni rahisi wanatumiwa na commnists na muslims against Christianity.

hivyo siyo kweli kwamba Christian white people wanawachukia afrikans na black people hiyo ni communist na muslim propaganda, ila waafrika na black people dunia nzima wanatumiwa na communists to fight their battle against Christianity.

adui wa mwafrika na black people kwa ujumla ni communism na islam, siku tukija kuligundua hilo ndiyo siku tutaifungua minyororo ya utumwa na kujenga prosperity na kuheshimika duniani kama wengine wanavyoheshimika mf. chinese au hata indians ...
 
too much information na pia confusing, lkn siyo kweli kwamba wazungu (Christians) wanawachukia waafrika na black people kwa ujumla hizo ni propaganda za communist + muslims ambazo zimefanywa dunia nuzima walipo black people kuwatenganisha na Christianity na kuweza kuwafanya waafrika wachukie Christianity na Capitalism, kuwafanya waafrika waamini salvation yao iko kwa muslims na communist na ndiyo maana afrika na black people tumebakia wa mwisho duniani kwa maana tumedanganywa sana na communist na muslims, kwanza wazungu Christians wamesaida waafrika na black people klk yoyote yule duniani.

communist na muslims wana ugomvi na Christian capitalists world unaokwenda kwa zaidi ya miaka 1000 hivyo wanatafuta (communist + muslims) watu wa kuwadanganya to fight their battle, na ndiyo maana unaona wamewapata wajinga kama ramaphosa na ans wa ak wanapambana kutetea palestina, hivi sasa anakimbizana na israeli na akina netanyahu badala ya kuangalia uchumi wa afrika kusini, anayepigana ugomvi kwa niaba ya muslims na communists vs Christian Capitalistis world siyo chinese au indonesian bali ni black man ramaphosa na anc wao ndio wanaishitaki israeli kwenye mahakama zote za kimataifa, swali ni kwamba why is it there problem? kwa nini siyo china, india au hata waarabu wenyewe wasihangaike na palestina na ugomvi wao wa gaza? kwa nini iwahusu afrika kusini? kwa nini uwe ugomvi wa black man? jibu ni rahisi wanatumiwa na commnists na muslims against Christianity.

hivyo siyo kweli kwamba Christian white people wanachukia afrikans na black people bali waafrika na black people dunia nzima wanatumiwa na communist to fight their battle againt Christianity ...
jina lako la ubatizo ni nani ?
 
ndiyo maana afrika na black people tumebakia wa mwisho duniani kwa maana tumedanganywa sana na communist na muslims, kwanza wazungu Christians wamesaida waafrika na black people klk yoyote yule duniani.
Wazungu wanapoyafanya hayo hawafanyi kukusaidia wewe, wanafanya kwa maslahi yao ambayo mara nyingi yamejificha mnooo.

Anyway sasa kama umeeleza musilm ndio wanachuki dhidi ya wazungu Christians vizuri,
Swali ni "Kwanini mara zote wazungu ndio huvamia nchi za watu za kiarabu ili kuanzisha machafuko"
Jaribu kuwaza hilo swali ukiwa hujapandwa na roho mtakatifu.
 
jaribu kutenganisha kati ya wazungu Christians na communists, ndani ya wazungu kuna communists pia na wanatawala dunia, wana fedha na power, bankers wote wanaotawala dunia ni communists isitoshe unaposema ''hawafanyi kukusaidia wewe'' unamaanisha nini? ofcourse kwenye capitalism kila mtu anapaswa afanye homework yake sasa kama wewe haujipangi na kujitayarisha ili uweze kunufaika hakuna atakaye kuja kukuwekea kijiko mdomoni na kukulisha, lkn kama ukifanya homework yako vizuri, hakuna mfumo unaoweza kukutoa kama jamii na nchi kwa ujumla kama Capitalism ... .
 
too much information na pia confusing, lkn siyo kweli kwamba wazungu (Christians) wanawachukia waafrika na black people kwa ujumla hizo ni propaganda za communists + muslims ambazo zimefanywa dunia nzima walipo black people kuwatenganisha na Christianity na kuweza kuwafanya waafrika wachukie Christianity na Capitalism, kuwafanya waafrika waamini salvation yao iko kwa muslims na communist na ndiyo maana afrika na black people tumebakia wa mwisho duniani kwa maana tumedanganywa sana na communists na muslims, kwanza wazungu Christians wamesaida waafrika na black people klk yoyote yule duniani.

communists na muslims wana ugomvi na Christian capitalists world unaokwenda kwa zaidi ya miaka 1000 hivyo wanatafuta (communist + muslims) watu wa kuwadanganya to fight their battle, na ndiyo maana unaona wamewapata wajinga kama ramaphosa na ans wa ak wanapambana kutetea palestina, hivi sasa (afrika kusini) anakimbizana na israeli na akina netanyahu badala ya kuangalia uchumi wa afrika kusini na watu wake, ramaphosa yuko tayari kugomabana na USA kiuchumi kutetea muslims palestina, anayepigana ugomvi kwa niaba ya muslims na communists vs Christian Capitalistis world siyo chinese au indonesian bali ni black man ramaphosa na anc wao ndio wanaishitaki israeli kwenye mahakama zote za kimataifa, swali ni kwamba why is it a blackman s problem? kwa nini siyo china, india au hata waarabu wenyewe wasihangaike na palestina na ugomvi wao wa gaza? kwa nini iwahusu afrika kusini? kwa nini uwe ugomvi wa black man? jibu ni rahisi wanatumiwa na commnists na muslims against Christianity.

hivyo siyo kweli kwamba Christian white people wanawachukia afrikans na black people hiyo ni communist na muslim propaganda, ila bali waafrika na black people dunia nzima wanatumiwa na communist to fight their battle againt Christianity.

adui wa mwafrika na black people kwa ujumla ni communism na islam, siku tukija kuligundua hilo ndiyo siku tutaifungua minyororo ya utumwa na kujenga prosperity na kuheshimika duniani kama wengine wanavyoheshimika mf. chinese au hata indians ...
Communism was never about race, but class struggle (Proletariat vs Bourgeoisie).

You make fallacious arguments when you claim that Communism brought racism.

Actually, it's Capitalism through its most perverse institutions like Slavery that brought racism.

Communism started in Europe, A White Man's Continent, how can you claim that it brought Anti-White racism ???
 
P

Propaganda huwa inashinda kila siku bro, CCM na USA tofauti yao ni ndogo. Unaweza usione utofaut kwa sababu umechagua upande. Ni kama umwambie mwanaccm chama kinapotea.
Mkuu hapa hakuna kitu umechangia specifically kwenye hii mada. Reply yako tukiitoa tukaipachika kwenye mada ya kuuza nyanya, bado itaonekana inafaa. Sasa hii sio mada ya ujazo mdogo ulioleta hapa.
 
Back
Top Bottom