Macos
JF-Expert Member
- May 12, 2008
- 1,979
- 1,418
Kaonewa tuKwahiyo Manji kaonewa kuitwa kuhojiwa? Au mi sijaelewa. Si bado mtuhumiwa tu.
Kaonewa tuKwahiyo Manji kaonewa kuitwa kuhojiwa? Au mi sijaelewa. Si bado mtuhumiwa tu.
HahahaIsingekuwa bao la mkono na kusaidiwa mambo yangekuwa mengine sasa na sidhani ka kukomeshana ni solution maana hapo ni kutafta uadui na uasi kwa wasio furaishwa na uonevu.
Anazua bifuPoint yangu haija mlenga Manji tu, yaani Magu ki ujumla akiona mtu ana pesa nadhan huwa ina muuma
Jibu hoja kwanzaNa wewe una matatizo ya problem! Hivi JPM alikutenda nini?
Uchambuzi usiolalia pande fulani kama huu ni adimu humuSiasa ndiyo mtaji karibu kwa wafanya biashara wore bila ya kujali rangi.
Kodi hukwepa na zabuni nyingi za kifisadi za serikali huwainua karibu wote hats wabantu.
Siasa zikibadilika tu huyumba sana maana hubanwa kulipa malimbikizo ya kodi na zabuni tajwa hutoweka.
Time, indeed, is the best teacher!Asante kwa kutujuza mkuu Luna mengi hapa yawezekana hawa wengine kupoteza maboya tu time will tell us
Na mahakama zimeanza kutishwa Leo kuwa majaji wasiotii watashtakiwaIli muwaogope wafanye watakayo na wapendavyo ndo maana walianza na bunge live. Na ifike mahali bunge liisimamie serikali bila kujali vyama vyao na mahakama ziwe huru ziache kufunga watu kisa wametumwa na viongozi wa juu.
Mwisho Wa yote ni kujisalimishaIsingekuwa bao la mkono na kusaidiwa mambo yangekuwa mengine sasa na sidhani ka kukomeshana ni solution maana hapo ni kutafta uadui na uasi kwa wasio furaishwa na uonevu.
Mambo yote ni QUALITY GROUP siyo babaake.Manji ambaye ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Quality Group Limited (QGL) anasema safari yake ya kuongoza kampuni hiyo ilianza rasmi mwaka 1995 akiwa na umri wa miaka 20 baada ya kupokea mikoba kutoka kwa baba yake, Mehbub Manji aliyekuwa akiongoza kampuni ya vifaa vya magari.
Hata hivyo, Manji anasema yeye siyo tajiri na kwamba ni mfanyakazi tu katika kampuni hiyo na baada ya baba yake kufariki alimuachia hisa zote mama yake na yeye kubaki msimamizi anayelipwa mshahara kama wafanyakazi wengine.
Manji anasema kwa miaka 20 amemudu kuanzisha kampuni tanzu 17 ambazo zinajishughulisha na biashara 102 zikiwamo za maendeleo ya makazi, usambazaji wa vyombo vya moto, biashara ya kimataifa, vyakula na huduma za uchukuzi katika nchi 28 duniani.
Kwa mujibu wa mfanyabiashara huyo, usimamizi wa kampuni hizo haukuja kwa bahati mbaya kwake na badala yake ilikuwa ni matokeo ya kujituma kufanya kazi bila kuchoka kwa moyo wake wote.
“Mara kadhaa nimekuwa nikilala ofisini kwa siku tatu mpaka nne kutokana tu na kuwa na kazi nyingi, hili si wengi wanaoweza kuamini, lakini ndio ukweli kuhusu maisha yangu,” anasema.
Ratiba yake kwa siku
Manji anasema kwa kawaida huwa anaamka saa 10:15 usiku kila siku ili kuhakikisha hachelewi kazini kwani anaamini kulala sana ni dalili za uvivu.
“Ninapoamka tu naaza kwa kufanya mazoezi, kisha nasali na kuondoka nyumabani. Saa 12:00 asubuhi huwa nafika ofisini kwangu kwa ajili ya ujenzi wa Taifa,” anafafanua.
YUSUF MANJI : Wakati mwengine nalala ofisini kutokana na kazi
Mwisho Wa Siku atawashinda na hizi resi zao zisizosimamia sheria.Anatafutwa balaa
Hallelujah!Uchambuzi usiolalia pande fulani kama huu ni adimu humu
Last time I checked you were bavicha memberMimi babaako unaniita dogo nidhamu kweli imetoweka!
Siku hizi Niko zaidi politics palace huku kweli nimeadimika.Kitambo sana sijakudoma mkuu Rutashubanyuma .... pamoja sana
Watetezi wa mafisadi na wauza ungaLakini piga ua Manji ameajiri zaidi ya watanzania 5,000. Wanaomchukulia kirahisi rahisi ni kwa vile hawajui wameingia madarakani kufanya nini. Muda unayoyoma sana
For sure!Kaonewa tu
Visasi visasi vya kijinga.Manji na mbowe wataisoma number awamu hii aisee, hata hivo visasi huwa havifai kwenye maendeleo ya taifa lolote, uchaguzi ulishapita ingetakiwa kufungua new chapter. Raisi inaonyesha alichukizwa sana na wale mashabiki kufuta lile gari, maana nadhani hii vita ilikuwa yakuchafua baadhi ya watu, sasa walivoona watu wameenda dhumuni lika change. I hope hila zote za uonevu na visasi kwa RAIA waliotofautiana ki mawazo zishindwe na zilegee kila mtu apate equal treatment maana jamii ina mipasuko ya hatari
Na hili ni shairi au ngonjeraaaaaKuanzia lini umeanza utunzi wa mashairi ?