Kwanini Manji anaandamwa na huu utawala?

Kwanini Manji anaandamwa na huu utawala?

Kwani Makonda si mlisema ni Team Membe.?
Na mkasema huwa anakutana na Membe Kumuhujumu Rais..
Na pia kwa mujibu Wa Msukuma Juzi Bungeni Ni Kwamba 'Makonda Alikuwa Analelewa Na kuishi Kwa Membe'..How Come Tena mseme Makonda Anamkomoa Manji Kwasababu Ya Mahela Ya Membe.?

Bavicha Stop This Please..
Tumbo street umesahau? Ukiliabudu tumbo hats mama aliyekuzaa utamkana tu ili mradi update ujira wako.
 
Una ushahidi mana sasa mnalalamika watu wanavunjiwa heshima. We unachofqnya nini. Ogopa sana mtihani wa kutunga mwenyewe. We hapa sema mtu hana kosa mi wakili wake kesi tumemaliza alionewa.
Huu ni uchambuzi kulingana na vielelezo vilivyopo.
 
Una uhakika au ndo chuki za maskini mwenye nacho, wahindi wengi huwa na mafanikio kwenye business tofauti na weusi wengi hawajui kujitengeneza hela zaidi ya kutumia kuhonga michepuko.
Siasa ndiyo mtaji karibu kwa wafanya biashara wore bila ya kujali rangi.
Kodi hukwepa na zabuni nyingi za kifisadi za serikali huwainua karibu wote hats wabantu.

Siasa zikibadilika tu huyumba sana maana hubanwa kulipa malimbikizo ya kodi na zabuni tajwa hutoweka.
 
Kwani Makonda si mlisema ni Team Membe.?
Na mkasema huwa anakutana na Membe Kumuhujumu Rais..
Na pia kwa mujibu Wa Msukuma Juzi Bungeni Ni Kwamba 'Makonda Alikuwa Analelewa Na kuishi Kwa Membe'..How Come Tena mseme Makonda Anamkomoa Manji Kwasababu Ya Mahela Ya Membe.?

Bavicha Stop This Please..
Huyo mako wako baada ya kukatwa membe si ndo akaamia kwa magu rasmi na kumkacha membe sasa Bavicha ndo wanahusikaje
 
Manji si ccm bhas ataish kama shetani twaaaafazzz
 
Siasa ndiyo mtaji karibu kwa wafanya biashara wore bila ya kujali rangi.
Kodi hukwepa na zabuni nyingi za kifisadi za serikali huwainua karibu wote hats wabantu.

Siasa zikibadilika tu huyumba sana maana hubanwa kulipa malimbikizo ya kodi na zabuni tajwa hutoweka.
Hilo lipo sana tu ila wengi kwenye business wanajua licha ya kukwepa kodi
 
Wamerudi kwa drawing board kujipanga upya. Walianza kwa pupa hats kamisheni ya kisheria ya madawa haijaundwa wakajinyakulia madaraka yasiyo yao na kuropoka majina ya watu bila ushahidi au kulindwa na sheria sasa imekula kwao
Walishakosea tangu mwanzo hawako smart enough na kutaka Ku deal na watu aina hyo sasa had jamii ishtukie.
Mwanzo walianza hivo kwa kigezo cha kunyoosha nchi, sijui uzalendo hadi hawakufata sheria na kuingilia mamlaka nyingine, baada ya mwanzo kuchekewa na RAIA.
 
Na ndio lengo hilo ndo maana mengi kawa mpole na mdogo ka piriton. Wakati USA waki create mabilionea wengi huku wanafilisiwa badala ya kuwezeshwa ili kutoa ajira kupitia hata viwanda
Nasikia hats mishahara ya wafanyakazi wake ni kizungumkuti huku TRA nao wanamkazia buti na back taxes..kumkamua kulikoni.
 
Back
Top Bottom