Kwanini Manji anaandamwa na huu utawala?

Hahaha
It always works, angalia Museveni Uganda, Angalia Kagame, it will work kwake pia.
1. Keep your opponents silent, wasiwe na uwezo wakukuchafua and keep your citizens silent wasiwe na uwezo wa kujiuliza.
2. Keep them poor, so yuo can corrupt them during election.
3. Keep telling lies on how uli ikuta nchi ime oza , so they will see hata hivo umejitahidi and you are patriot than the former regime .
4. Keep other two branches of govet under your influence, so maovu yako yasi fichuliwe.
5.keep the press silent, so you wont be accountable to any one.
6. Befriend Military and police forces, in case things are not working so you can spress any resistance.

Hapo unaweza kuongoza hata milele. Na ndio anacho fanya jamaa.
Sifa za viongozi dhaifu.
 
Manji amepatwa misukosuko mingi tangia hawa vibosile wakamate ulaji kwa sababu kubwa moja tu wakati Wa mchakato Wa uraisi ndani ya CCM alimpigia debe la nguvu Membe.

Yale maburunkutu yalidakwa baadaye yakatakatishwa na polisi kuwa hayakuwa na dhamira ya kuhonga wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM bali yalikuwa ya kuendesha shughuli za mfanyabiashara huyo.

Membe alipodondoka na Manji khali yake kisiasa ikaingia matatani.

Iwe Koko Beach, iwe ni Yanga na sasa madawa ya kulevya Manji anasomeshwa namba na chama chake.

Visasi ndiyo mkakati uliopo lakini pia kumdhoofisha kiuchumi na kisiasa asiweze kufurukuta na kuwa na ushawishi wowote chaguzi zijazo.

Unapoona kibosile anakerwa gari la Manji kuoshwa Central Police na kama yeye angelikuwa ni IGP angeona cha mtema kuni ujue huo ni uhasama mtupu na visasi.

Kwani kuosha gari polisi ni kuvunja sheria ipi hadi kibosile autamani u-IGP?

Manji ikumbukwe alianza kutajirika wakati wa Mwinyi, Mkapa na JK wakamneemesha vilivyo kwa madili kebekebe sasa ni wakati wake Wa kusoma namba.

Akina Professa Kapuya waliomnyoshea njia wako kwenye mawe na ndiyo maana anasoma namba ila hajaielewa......ukiona hata maamuzi ya mahakama vibosile hawa wanayapuuza ujue hii ni vita ya "survival of the fittest."
wewe ni mtu mbaya sana katika nchi yetu. usipotoshe umma na kupoteza lengo la mapambano dhidi ya dawa za kulevya. sheria ndio itatumika kwa kila mmoja na mahakama itatoa haki kwa kila mmoja. unajua namna serikali inavyofanya kazi?? nani anamuandama manji? manji ni raia mwenye haki zake kikatiba na kisheria. kama ameonewa kwa namna yoyote ile aende mahakamani kama alivyosema katika hotuba yake na waandishi. andiko lako halina mantiki yoyote zaidi ya upuuzi uliojaa uchochezi na nia mbaya. nadhani itabidi nawe uende polisi ukathibitishe hizo kauli zako. Kila mtu atawajibika kwa kauli na matendo yake...
 
Last time I checked you were bavicha member
Identity crisis. I have never been a member of any party but ccm. At 55 years, I am qualified to be BAVICHA or UVCCM.

Your problem is you cannot stomach opposition from within ccm?

Some of us within ccm believes the country is heading in a wrong direction.
 
wewe ni mtu mbaya sana katika nchi yetu. usipotoshe umma na kupoteza lengo la mapambano dhidi ya dawa za kulevya. sheria ndio itatumika kwa kila mmoja na mahakama itatoa haki kwa kila mmoja. unajua namna serikali inavyofanya kazi?? nani anamuandama manji? manji ni raia mwenye haki zake kikatiba na kisheria. kama ameonewa kwa namna yoyote ile aende mahakamani kama alivyosema katika hotuba yake na waandishi. andiko lako halina mantiki yoyote zaidi ya upuuzi uliojaa uchochezi na nia mbaya. nadhani itabidi nawe uende polisi ukathibitishe hizo kauli zako. Kila mtu atawajibika kwa kauli na matendo yake...
Mapovu haya hayakusaidii. Tangia mjue uchochezi hata kuukosoa utawala huu ni dhambi.

Kuhoji malengo ya hawa vibosile ni too legit to quit.
Nani asiyejua maamuzi ya high court kuhusu coco beach yalivyosiginwa na hawa vibosile.
Migogoro ya yanga mkono wao umo.
Sasa haki zipi za kikatiba na kisheria anazo baada ya utawala huu kukiuka sheria kudhibiti madawa ya kulevya.
Wameingilia tume sasa wanadai hawakujua.
Kutojua sheria siyo utetezi!
 
maamuzi ya HC ya coco beach yamesiginwa vipi? tuelimishe mkuu wangu. na pia yanga ina mgogoro upi mkuu na nani ana mkono wake humo??? fafanua mkuu maana wengine hatujui kabisa mambo hayo
 
Africa bado tunaishi karne ya 19, ukiwa na hela unakuwa adui.
africa ina nchi zaidi ya 40. unamaanisha nchi zote hizo wenye hela ni adui? naweza kukuambia kwamba ni kinyume chake. maskini ndio adui wa kila mtu afrika na si vinginenyo. unajua nchi zetu nyingi za kiafrika tumezoea kuwatukuza wenye pesa, kwamba wakifanya kosa wasikamatwe, kwamba wasihojiwe polisi, kwamba wasilale mahabusu -- kwamba wakifanyiwa hayo basi hawapendwi na wanakomolewa--- WRONG. Hakuna aliye juu ya sheria, uwe maskini au tajiri mahabusu au gereza ni moja tu na hawabagui kule. sasa turudi kwenye hoja yako, tajiri yupi anachukiwa? je maskini wanapendwa???
 
Mkuu nashauri tusubiri mahakama.
 
Manji amepatwa misukosuko mingi tangia hawa vibosile wakamate ulaji kwa sababu kubwa moja tu wakati Wa mchakato Wa uraisi ndani ya CCM alimpigia debe la nguvu Membe.

Yale maburunkutu yalidakwa baadaye yakatakatishwa na polisi kuwa hayakuwa na dhamira ya kuhonga wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM bali yalikuwa ya kuendesha shughuli za mfanyabiashara huyo.

Membe alipodondoka na Manji khali yake kisiasa ikaingia matatani.

Iwe Koko Beach, iwe ni Yanga na sasa madawa ya kulevya Manji anasomeshwa namba na chama chake.

Visasi ndiyo mkakati uliopo lakini pia kumdhoofisha kiuchumi na kisiasa asiweze kufurukuta na kuwa na ushawishi wowote chaguzi zijazo.

Unapoona kibosile anakerwa gari la Manji kuoshwa Central Police na kama yeye angelikuwa ni IGP angeona cha mtema kuni ujue huo ni uhasama mtupu na visasi.

Kwani kuosha gari polisi ni kuvunja sheria ipi hadi kibosile autamani u-IGP?

Manji ikumbukwe alianza kutajirika wakati wa Mwinyi, Mkapa na JK wakamneemesha vilivyo kwa madili kebekebe sasa ni wakati wake Wa kusoma namba.

Akina Professa Kapuya waliomnyoshea njia wako kwenye mawe na ndiyo maana anasoma namba ila hajaielewa......ukiona hata maamuzi ya mahakama vibosile hawa wanayapuuza ujue hii ni vita ya "survival of the fittest."
Kwahiyo aachwe kwasababu ni " Mr clean"?
 
Labda hii ishu ya madawa ndio sina hakika nayo, lakini kuhusu coco beach na Yanga sioni kama ni kuandamwa
 
Back
Top Bottom