Kwanini Manji anaandamwa na huu utawala?

Kwanini Manji anaandamwa na huu utawala?

Mtabaki kumshangilia mkidhani atasalimika, thubutu hii vita ni ya afrika nzima hakuna pa kutokea ulizia kwa jirani kenya utabaini jinsi Mombasa ilivyochafuka wauza unga mtachemka moto umewaka afrika nzima.Kikao cha AU ndiyo maazimio yake haya na utekelezaji wake.Mtabaki mnalia na mjomba Magu mkidhani ana ajenda binafsi. Angalieni TV za kimataifa muone jinsi kazi ya vita ilivyo kwa sasa, siyo kukesha jamii forum na kusafisha gari la mtuhumiwa.
Tatizo bado hujalielewa hatuna kero na malengo bali utaratibu unakiuka sheria na. 5 ya mwaka 2015.

Hili halina mtu au watu bali utaratibu batili na hivyo kuharamisha zoezi jima.
 
Makonda Alikuwa Team Membe nadhani baada ya kuaminiwa na Magu sasa kaamuwa kumwaga Mboga...kataja team Membe wote ili waisome number. ata alie pitisha tishet za chagua Membe pale Bandarin nae kaisoma kivyake vyake..
 
Ukiamua kuandika andika kinachoeleweka usituandike ushuzi kama HUU.Alichungumza Ni lazima sasa ufike wakati jeshi la POLISI liheshimike isiwe Ni eneo la Mchezo.Unajua utajiri wa Mehbob Manji?au unakariri tu?
Hiyo ni sheria namba ngapi na ya mwaka gani. Ushuzi ni kufanya Kazi bila kuheshimu sheria.
 
Mchochezi mkubwa wewe huna lolote umekalia majungu tu
Unapotosha umma wa watanzania
Natamani na wewe uungane na Lema ukanyee debe
Mjumbe hauwawi. Hivi lini utaanza kujibu hizi hoja kwani hayo mapovu siyo mabezo.

Na isitoshe unatuthibitishia kumbe hawa vibosile ni hapa dhuluma na ubabe tu hakuna haki na utawala bora.
 
Tukifuata vielelezo vilivyopo, kuna hatari ya kuwa stereotype. Lazima tutengeneze na kuupanua uwezo wa kutathmini habari au matukio na hata ideas katika different perspective. Tutengeneze jamii ya action oriented sio hearsay, ndio maana wengine tunaishia hapa tuu na wengine kwa mawazo yetu tunafika mpaka Al Jazeera na CNN. [HASHTAG]#Wisdom[/HASHTAG].
Huko kote nipo hebu beza hizi hoja kwenye hii mada.
 
Siajelewa tatizo lako rafiki yangu msomi wewe.Thread yako inaonesha una tatizo la Manji kuandamwa na utawala huu.Hapo juu umenifafanulia kuwa njia iliotumika kuwaita na kuwatangaza haikufuata sheria,nini hoja yako?Manji kuandamwa na utawala huu au njia iliotumika kuwaita si ya kisheria?
Hujaelewa? Sina msaada kwako.
Baada ya kumkosa madawa ya kulevya uhamiaji nao wameanza yao. Mtu ni yuleyule kulikoni?
 
Nilikuwa nawalaumu sana wanaoenda kuficha mabilioni yao uswisi ila sasa nimeelewa. Hata mi nikiwa bilionea siziweki hapa. Waafrika Hatuko sensitive na uchumi hata kidogo. Yaani gari kufutwa vumbi imekuwa issue ya kuwa addressed na TIC?
Tatizo siyo kufutwa vumbi,tatizo ni kitambaa kilichotumika kufuta hiyo vumbi ndg.
 
Anaeweza kumalizwa kiuchumi ni aliewekeza ndani mwenye mizizi nje ni ngumu, ni familia hio imewekeza sana Canada, Brazil na uturuki,akiona anasakamwa aamie nje km alivosoma nyakati rostam baadae unarudi,mwenye hela uwekeza popote aonapo pana amani na usalama wa fedha zake.
Akihama anahama na ajira za vijana wetu na kubwa zaidi kwanini amwogope kiumbe Leo yupo kesho mnatafuta mnaambiwa keshapumzika?
 
Manji naye amedhulumu watu wengi sana hata wafanyakazi wake wamefukuzwa bila kupewa stahiki zao kutokana na uwezo wake wa kifedha haya yanayompata ni adhabu ya mungu tuache kumshabikia mtu bila kumuelewa
 
Mwisho wa jina lako mkuu, ! Ni neno sahihi? Naona kama linaweza shabihiana na tabia yako.
Mkono Wa mjinga siku zote huandika popote na lolote.

Unapoelemewa na nguvu ya hoja hukimbilia kutoka nje ya mada ukidhani utatupotosha kwa kujikita kwenye matusi.

Well, hatudanganyiki!
 
Manji haonewi.Kiburi chake ndicho kinachomtesa.Lazima atambue kwamba ipo serikali ambayo ni lazima iheshimiwe.Kama alionyesha dharau kwenye serikali dhaifu ya Kikwete ni vema akatambua kwamba majira hayo sasa yamepita.
Haki zake ndiyo zikiukwe?
 
Back
Top Bottom