iJamii
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 1,954
- 1,504
Duh!!! Basi walitoboa haya maisha ya kubangaiza zamani sana[emoji27][emoji27]Nyerere kaja Mjini 1945 Familia ya Kina Manji tayari inakimbiza Mjini
Duh!!! Basi walitoboa haya maisha ya kubangaiza zamani sana[emoji27][emoji27]Nyerere kaja Mjini 1945 Familia ya Kina Manji tayari inakimbiza Mjini
Sheria no. 5 ya mwaka 2015 ilisiginwa na haki za watuhumiwa kudhulumiwa hayo makosa yako wazi kwa hiyo hawako sawa.Hajaonewa isipokuwa namna alivyoulitwa yeye na wenginewe wote si sahihi - mosi
Pili,
Kwani kuna kosa gani ambalo wafuasi walitakiwa wawekwe lock up kwa kuja kituo cha polisi?
na ndiyo maana kamanda Siro aliwapa dakika 30 wa disparse na siyo kuwa funga...
kama wangepuuzia amri ya kamanda walikuwa wanakosa,
Kwanini mkuu achukizwe na wafuasi na ku wish mambo ambayo ki ukweli yanaonesha ni namna gani alivyo na hasira na wao.
Tatu,
Wanachofanya ni sawa lakini namna wanavyofanya siyo sawa..
Mkuu believe me or not na wala sipo hapa kum convience mtu muda ndiyo kila kitu kwa maisha..
na ukweli ni kitu mtu anaeza tambua baadaye mwenyewe haitaji mtu kukuimbia.
Asante,
Pengine kuzingatia umri na afya yakeHakuna equal treatment huku duniani. Kwani hukuona Manji alipewa kiti pale central huku wale wasanii wakichuchumaa.?
Nguvu ya ushawishi mkubwa kwenye jamii inawakwaza baadhi ya vibosile wanazua bifu.Acheni unaaa na roho mbaya!!! Kwani mnataka kusema manji aliwaanda wale watu wakamsafishie gari?? Jibu ni no yale ni mapenzi ya wampendao tu pengine hata yeye baadae alishangaa kusikia hiyo habari..nyie ndo wale mlikua hampendi kusikia Lowasa kapigiwa deki barabara ili apite kipindi fulani.usicheze na nguvu ya mapenzi wewe badala ya kupata wivu jiulize na mimi nifanye nini ili nikubalike namna hii??
Lakini sote Mungu wetu ni mmoja kwa hiyo hakuna litakaroharibikaIs it survival of fittest or survival of the favoured one's? Waliopendelewa watavuka ,wengine watakwenda na maji.
Kila kitu sasa ni huyo? Hapa hahusiki moja kwa moja.Lowassa
Ukiwapa hivi vidonge badala ya kumeza huku wakidai ni uchochezi hivi tangia lini ukweli ukawa uchochezi?Chuki binafsi tu na kuharibu majina ya watu ndio kinachoendelea. Vita ya madawa ya kulevya haifanywi kijinga kama hivi. Inaonesha kua hawana ushahidi na wanachokituhumu ndio maana wanawataja hadharani.
High Court Manji alitesa ila hawa vibosile hawayaheshimu maamuzi ya mahakama.Tanzania ardhi ni mali ya Serikali, ina haki ya kufanya itakavyo, ikiingia mikataba ikaenda kinyume, kuna mahakama.
Aidha ni sawa au siyo sawa haiwezekani yote yaende pamoja.Kutajwa hadharani si vibaya endapo wameshaitwa na wana kesi za kujibu.
Nionavyo, kuitwa hadharani si vyema kwani inazuwa malumbano kama aliyoyaanzisha Mbowe.
Mwaka 2005?Manji alimwaga million tatu kwa kila mjumbe wa neki ili kumuangusha Salim Ahmed Salim, wacha akoge mavi.
Alikuwa kifungoni?Hongera mkuu kwa kurudishwa tena hewani. Mchango wako unahitajika sana.
Aidha ni sawa au siyo sawa haiwezekani yote yaende pamoja.
Ni tume ya kudhibiti haya madawa ndiyo imepewa majukumu sasa wengine wanaingilia madaraka ya tume ambayo wao hawana.
Na Kunduchi Beach tena hii ikoje?Cc coco beach & kunduchi beach
High Court Manji alitesa ila hawa vibosile hawayaheshimu maamuzi ya mahakama.
Sipimi usafi bali utaratibu unaotumika kumpima unakinzana na haki zake chini ya sheria na. 5 ya mwaka 2015.Hukutakiwa kuwa na upande mmoja kama haujuhi ni kwa kiasi gani jamaa yako ni msafi/si msafi
Kwa hiyo ni malipizi siyo utawala bora.Ukumbuke ni Rafiki mkubwa wa lowassa na alimpa cash, kwenye uchaguzi pia alikuwa team membe na ukumbuke mhasibu wake alikamatwa na burungutu la hela pale dodoma!
Pitia Uzi kwa makini hoja zako zimebezwa sana humu tena kwa takwimu kibao!Yusufu manji hajaanza kutajirika kwenye utawala wa mwinyi au mkapa, ameurothi utajiri kutoka kwa baba yake ambae alikuwa tajiri enzi za nyerere