Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
- Thread starter
- #321
[emoji12]Wakubwa wanahofu sana na Manji ukizingatia 2020 hiyo hapo.
Ila hii haitawasaidia maana wanaacha kutekeleza ahadi wanapambana na wapinzani
[emoji12]Wakubwa wanahofu sana na Manji ukizingatia 2020 hiyo hapo.
Ila hii haitawasaidia maana wanaacha kutekeleza ahadi wanapambana na wapinzani
Unaitwaje ni udownload saa hiiyule kule yule mnamuona anameremeta kada wa CCM
kibwagizo cha moja ya nyimbo mrua sana zilizokamata chati 2015 election time sijui kama bado kuna gabachori anatamani kuusikia
Kutoteua tume ni mapungufu makubwa ya huu utawala na hivyo walijizuia kuzuia hii biashara haramu.Labda kwa kuwa tume ilikuwa haina Kamishna> haikuwa meno?
Hua napataga tabu sana kuamn kama veve ni jinsia "Ke" majibu, hoja zako, havifananagi kabisa na jinsia "Ke" havina huo muonekanoManji na mbowe wataisoma number awamu hii aisee, hata hivo visasi huwa havifai kwenye maendeleo ya taifa lolote, uchaguzi ulishapita ingetakiwa kufungua new chapter. Raisi inaonyesha alichukizwa sana na wale mashabiki kufuta lile gari, maana nadhani hii vita ilikuwa yakuchafua baadhi ya watu, sasa walivoona watu wameenda dhumuni lika change. I hope hila zote za uonevu na visasi kwa RAIA waliotofautiana ki mawazo zishindwe na zilegee kila mtu apate equal treatment maana jamii ina mipasuko ya hatari
Uhasama Wa bifu LA uraisi ndani ya CCM.Kuna chuki fulani au kuna u nani zaidi?
Kipimo cha paka shume wakisubiria nini?Acheni papara subirini majibu ya kipimo cha damu
Hii safari hatufiki kamwe maana yanayoendelea hayamo kwenye ilani ya uchaguzi ya ccmMakonda Alikuwa Team Membe nadhani baada ya kuaminiwa na Magu sasa kaamuwa kumwaga Mboga...kataja team Membe wote ili waisome number. ata alie pitisha tishet za chagua Membe pale Bandarin nae kaisoma kivyake vyake..
Bila shaka kabisa.Wana mawazo mgando
Wahofia kutuhumiwa uchochezi kwani hiyo ndiyo dili na karata yao ya mwisho.[emoji40][emoji40][emoji40]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hua napataga tabu sana kuamn kama veve ni jinsia "Ke" majibu, hoja zako, havifananagi kabisa na jinsia "Ke" havina huo muonekano
NB: hii comment haihusian na nilicho eleza, namzungumzia Diva wa siku zote... Mkomavu kimawazo na fikra hadi nataman ningetanguliaga mimi
U said it all " amna watu wanaongoza kuwa na roho mbaya kama maskini always anataka aliyejuu ashuke tu ili wote wale msoto badala yakuwaza nayy atafikaje pale.Ukizaliwa familia ya kimaskini unawachukia matajiri.
Uvivu wa wazazi wako unapeleka wewe kuwa na hasira na matajiri wakati hawahusiki na umaskini wenu.
Jk alikuwa mtoto wa mjini akaamua kuungana nao na kuwafaidi.
Lazima aende polisi akapelelezwe asjijihami kwe kwenda kufuungua kesi nyingine na ninaamini ma judge watatafsiri vyema RES SUB JUDICE doctine kwa kufanya "hunching" ili itumike vilevile kwe kesi ambayo haijafika mahakamani na ipo kwenye upelelezi ili iweze ku " ku strike out" hiyo pre mature applicationKipimo cha paka shume wakisubiria nini?
Preliminary objection to illegal investigation is a legit applicationLazima aende polisi akapelelezwe asjijihami kwe kwenda kufuungua kesi nyingine na ninaamini ma judge watatafsiri vyema RES SUB JUDICE doctine kwa kufanya "hunching" ili itumike vilevile kwe kesi ambayo haijafika mahakamani na ipo kwenye upelelezi ili iweze ku " ku strike out" hiyo pre mature application
Yeye ndio atapigwa P.O. na serikali kwa sababu ya serikali haijafika mahakamaniPreliminary objection to illegal investigation is a legit application
Manji amepatwa misukosuko mingi tangia hawa vibosile wakamate ulaji kwa sababu kubwa moja tu wakati Wa mchakato Wa uraisi ndani ya CCM alimpigia debe la nguvu Membe.
Yale maburunkutu yalidakwa baadaye yakatakatishwa na polisi kuwa hayakuwa na dhamira ya kuhonga wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM bali yalikuwa ya kuendesha shughuli za mfanyabiashara huyo.
Membe alipodondoka na Manji khali yake kisiasa ikaingia matatani.
Iwe Koko Beach, iwe ni Yanga na sasa madawa ya kulevya Manji anasomeshwa namba na chama chake.
Visasi ndiyo mkakati uliopo lakini pia kumdhoofisha kiuchumi na kisiasa asiweze kufurukuta na kuwa na ushawishi wowote chaguzi zijazo.
Unapoona kibosile anakerwa gari la Manji kuoshwa Central Police na kama yeye angelikuwa ni IGP angeona cha mtema kuni ujue huo ni uhasama mtupu na visasi.
Kwani kuosha gari polisi ni kuvunja sheria ipi hadi kibosile autamani u-IGP?
Manji ikumbukwe alianza kutajirika wakati wa Mwinyi, Mkapa na JK wakamneemesha vilivyo kwa madili kebekebe sasa ni wakati wake Wa kusoma namba.
Akina Professa Kapuya waliomnyoshea njia wako kwenye mawe na ndiyo maana anasoma namba ila hajaielewa......ukiona hata maamuzi ya mahakama vibosile hawa wanayapuuza ujue hii ni vita ya "survival of the fittest."
usemi wa usilete ugonvi kwenye nyumba ya vioo.kwani idd azan mbona katulia kimya tu.kuliko hawa vimbele mbele wanaona pesa ndio mungu waoManji amepatwa misukosuko mingi tangia hawa vibosile wakamate ulaji kwa sababu kubwa moja tu wakati Wa mchakato Wa uraisi ndani ya CCM alimpigia debe la nguvu Membe.
Yale maburunkutu yalidakwa baadaye yakatakatishwa na polisi kuwa hayakuwa na dhamira ya kuhonga wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM bali yalikuwa ya kuendesha shughuli za mfanyabiashara huyo.
Membe alipodondoka na Manji khali yake kisiasa ikaingia matatani.
Iwe Koko Beach, iwe ni Yanga na sasa madawa ya kulevya Manji anasomeshwa namba na chama chake.
Visasi ndiyo mkakati uliopo lakini pia kumdhoofisha kiuchumi na kisiasa asiweze kufurukuta na kuwa na ushawishi wowote chaguzi zijazo.
Unapoona kibosile anakerwa gari la Manji kuoshwa Central Police na kama yeye angelikuwa ni IGP angeona cha mtema kuni ujue huo ni uhasama mtupu na visasi.
Kwani kuosha gari polisi ni kuvunja sheria ipi hadi kibosile autamani u-IGP?
Manji ikumbukwe alianza kutajirika wakati wa Mwinyi, Mkapa na JK wakamneemesha vilivyo kwa madili kebekebe sasa ni wakati wake Wa kusoma namba.
Akina Professa Kapuya waliomnyoshea njia wako kwenye mawe na ndiyo maana anasoma namba ila hajaielewa......ukiona hata maamuzi ya mahakama vibosile hawa wanayapuuza ujue hii ni vita ya "survival of the fittest."
Umeongea vema, visasi sio vizuri na havijengi. Uchaguzi umekwisha umekwisha na pamoja na hayo hatuwezi kuwa na mawazo sawa wote (ndio maana ya demokrasia, kama mtu hakukuunga mkono nyamaza tu, si umesha mshinda? Unataka nini cha ziada?)Manji na mbowe wataisoma number awamu hii aisee, hata hivo visasi huwa havifai kwenye maendeleo ya taifa lolote, uchaguzi ulishapita ingetakiwa kufungua new chapter. Raisi inaonyesha alichukizwa sana na wale mashabiki kufuta lile gari, maana nadhani hii vita ilikuwa yakuchafua baadhi ya watu, sasa walivoona watu wameenda dhumuni lika change. I hope hila zote za uonevu na visasi kwa RAIA waliotofautiana ki mawazo zishindwe na zilegee kila mtu apate equal treatment maana jamii ina mipasuko ya hatari
Tehteh! Watu tuna chuki sana asee, waluofuta ni mashabiki wa yanga, na ccm imeiga rangi ya yanga sasa tumlaumu nani? Na je kuna evidence yoyote kwamba yeye ndiye aliyewatuma waoshe?Tatizo siyo kufutwa vumbi,tatizo ni kitambaa kilichotumika kufuta hiyo vumbi ndg.
Evidence? Mi nna watu wangu wa karibu wawili wanafanya kazi kwenye kampuni tanzu za QGL miaka 20 now na sijawasikia kunyanyaswa wala kufukuzwa. Chuki hazitajenga nchi.Manji naye amedhulumu watu wengi sana hata wafanyakazi wake wamefukuzwa bila kupewa stahiki zao kutokana na uwezo wake wa kifedha haya yanayompata ni adhabu ya mungu tuache kumshabikia mtu bila kumuelewa