Kwanini Manji anaandamwa na huu utawala?

Kwanini Manji anaandamwa na huu utawala?

Kwa hiyo klabu yetu inaongozwa na mwizi?Au MTU akitajirika tu hapa kwetu ni lazima awe mwizi?Acheni hizo maskini wenzangu,hii ni roho ya kimaskini,hata Mungu atasita kutupatia nasi utajiri kwa roho hizi.
 
Baada ya wiki ya hamorapa sasa hii ni wiki ya manji, Swala kwa nini mkoa wa dar umetoa shule 6 za mwisho kitaifa form 4, hilo tumeliweka pembeni
Utaambiwa Serikali haijawafanyia mtihani! Tehtehteh, tutaona mengi mwaka huu.
 
Kila kitu sasa ni huyo? Hapa hahusiki moja kwa moja.

Magufuli anawapa Vitisho wale wote wanaofikiri kuwa watakuwa Salama Kusaport upinzani wasijaribu hata kufikiria. Ameshapiga Mahesabu 2020 Hana cha kuwaeleza wala Kuwaonnyesha Wananchi, kwa hiyo amebakia Kuhujumu Ushidani wa Kisiasa. Ila Chadema na Ukawa wanatakiwa Kujua Kwenye Siasa Mtu akikuhujumu, Mhujumu 100 times over na Uhakikishe pamoja na kuwa hatakuwa na Ushahidi lakini ajue Umemfanyizia. Kama Utafikiri Utaplay Mr. nice Kama wanavyofanya Ukawa sasa! Bora ukaanze kazi nyingine sio Siasa!

Ningekuwa Mimi Ndio akina Mbowe Magufuli sasa angekuwa ameweka Mikono Kichwani, Na hiyo bado ingekuwa ni Afadhali kwake!
 
U said it all " amna watu wanaongoza kuwa na roho mbaya kama maskini always anataka aliyejuu ashuke tu ili wote wale msoto badala yakuwaza nayy atafikaje pale.

Unamaanisha ule usemi wa jamaa kuwa anatamani wote tuwe" mashetani "
 
Kwa hiyo klabu yetu inaongozwa na mwizi?Au MTU akitajirika tu hapa kwetu ni lazima awe mwizi?Acheni hizo maskini wenzangu,hii ni roho ya kimaskini,hata Mungu atasita kutupatia nasi utajiri kwa roho hizi.
Watanzania tulio masikini tumejaaliwa roho za kimasikini pia mtu akiwa tajiri tu eti kaiba kakuibia nini? Watanzania ni watu wa ajabu sana kwa hiyo wote tuwe masikini uliwahi kuona wapi nchi nzima hakuna matajiri watu wote masikini?
 
Jaman,kweli nimeamini baadhi yetu tuna mawazo kwamba,watu wenye fedha hadhi na uongozi mkubwa hawastahili kuguswa kwa namna yoyote,wakati huohuo zaman serikali ilikuwa ikitukanwa kuwa haifanyi kazi na inaonea daga
 
Watanzania tulio masikini tumejaaliwa roho za kimasikini pia mtu akiwa tajiri tu eti kaiba kakuibia nini? Watanzania ni watu wa ajabu sana kwa hiyo wote tuwe masikini uliwahi kuona wapi nchi nzima hakuna matajiri watu wote masikini?
tena wavivu na tunapenda ngono tu. no wonder tunachukia mtu tajiri bkoz sisi wenyewe tuko too busy thinking about upuuzi..akija mtu akaziona orpotunity zilizoko mbele ya pua zato lakini hatuzioni we start hating. pathetic
 
Angeachwa tu mngesema oooh kwasababu ni ccm amefuatishwa sheria Mara oooh ni visasi com on guys mnaataka nn !? kama kavunja sheria asiguswe kwasababu yeye ana pesa!?
 
Manji kaanza kutajirika wakati wa Mwinyi?

1972 Tayari walikuwa na Kiwanda cha kutengeneza Mabodi ya Gari

Tanzania inapata Uhuru tayari Babu zao ni Matajiri
Quality group of companies ni jina kubwa tangu enzi za awamu ya kwanza huenda hata kabla ya yeye Yusuph Manji kujazalia kwani msingi wa utajiri wake ni wa kurithi.
 
Chadema bana..wakati ule Manji ananunua yale majengo ya NSSF mkamtukana sana kama fisadi, wakati amenunua jengo la Salamander na kulivunja mkamutkana sana kama fisadi, kwenye orodha yenu ya mafisadi yumo na mkadai hasughulikiwi kwa vile ni mfadhili wa CCM. Leo hii utawala wa awamu hii umembana kwa makosa ya madawa ya kulevya mmeibuka kuwa watetezi wake....mna laana ya Dr. Slaa nyie
Hawajielewi. Hawana mpango mkakati unaoziongoza nia zao.

Dr Slaa aliwaambia ni bora kiandaliwe kizazi cha vijana watakaorithi nafasi za walio viongozi kwa sasa.

Wakaona anawachelewesha kwa sababu fedha za mzee ENL zilikuwa zinasubiri kutumiwa na hakuna aliyefahamu kama wakizikosa zitakwenda kufanya shughuli ipi.

Leo hii wanamhurumia kila mtu, hawana hata ile akili ya kawaida ya kukumbuka mwaka juzi walisema nini.
 
Kwahiyo Manji kaonewa kuitwa kuhojiwa? Au mi sijaelewa. Si bado mtuhumiwa tu.
Kifupi haki haijatendeka kashitakiwa kwa kosa la KUTUMIA madawa ya kulevya, sasa shida iko hapa sheria ipi imetumika kumshitaki manji na sheria ipi ilitumika kuwaachilia akina TID mnyama na wenzeke? Maana wote kosa lao ni matumizi na mnyama alikiri mwenyewe ktk mkutano wa hadhara.
Manji amepatwa misukosuko mingi tangia hawa vibosile wakamate ulaji kwa sababu kubwa moja tu wakati Wa mchakato Wa uraisi ndani ya CCM alimpigia debe la nguvu Membe.

Yale maburunkutu yalidakwa baadaye yakatakatishwa na polisi kuwa hayakuwa na dhamira ya kuhonga wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM bali yalikuwa ya kuendesha shughuli za mfanyabiashara huyo.

Membe alipodondoka na Manji khali yake kisiasa ikaingia matatani.

Iwe Koko Beach, iwe ni Yanga na sasa madawa ya kulevya Manji anasomeshwa namba na chama chake.

Visasi ndiyo mkakati uliopo lakini pia kumdhoofisha kiuchumi na kisiasa asiweze kufurukuta na kuwa na ushawishi wowote chaguzi zijazo.

Unapoona kibosile anakerwa gari la Manji kuoshwa Central Police na kama yeye angelikuwa ni IGP angeona cha mtema kuni ujue huo ni uhasama mtupu na visasi.

Kwani kuosha gari polisi ni kuvunja sheria ipi hadi kibosile autamani u-IGP?

Manji ikumbukwe alianza kutajirika wakati wa Mwinyi, Mkapa na JK wakamneemesha vilivyo kwa madili kebekebe sasa ni wakati wake Wa kusoma namba.

Akina Professa Kapuya waliomnyoshea njia wako kwenye mawe na ndiyo maana anasoma namba ila hajaielewa......ukiona hata maamuzi ya mahakama vibosile hawa wanayapuuza ujue hii ni vita ya "survival of the fittest."
 
Kwa hiyo Gari la Manji kuoshwa pale Central kwa kutumia Bendera ya Ccm,, ni sawa sawa kabisa kwa mtazamo wako,,
Wengine kimtazao kuosha Gari kwa kutumia Bendera ya Chama ni dharau kubwa sn.

2: Vip kuhusu kurundika wahindi kwenye kampuni zake wasio na vibali vya kuishi wala vya kufanyakazi hapa Nchini hili nalo kaonewa?

3: Kuna hii issue ya Madawa mkemia mkuu kathibitisha kuwa anatumia hiyo kitu,, je vipimo vimemuonea?
Tuache ushabiki wa mpirani,, na kwenye vyama vya Siasa,, tusimamie Ukweli.
 
Back
Top Bottom