Manji na mbowe wataisoma number awamu hii aisee, hata hivo visasi huwa havifai kwenye maendeleo ya taifa lolote, uchaguzi ulishapita ingetakiwa kufungua new chapter. Raisi inaonyesha alichukizwa sana na wale mashabiki kufuta lile gari, maana nadhani hii vita ilikuwa yakuchafua baadhi ya watu, sasa walivoona watu wameenda dhumuni lika change. I hope hila zote za uonevu na visasi kwa RAIA waliotofautiana ki mawazo zishindwe na zilegee kila mtu apate equal treatment maana jamii ina mipasuko ya hatari