Kwanini Ma IT bongo sio matajiri?

notmalick

Member
Aug 20, 2014
71
125
Kuna fursa kubwa sana yani pesa mingi ya duniani ipo katika sekta ya teknolojia. Fursa inazidi kukua kila siku but why jamaa zetu bongo hapa hawana mpunga yani kuunga unga kwingi.

Personally am not an IT but i love this profession. Nchi kama bongo ipo nyuma sana lakini yenye matamanio makubwa yakufahamu teknolojia then whats pulling us back.?!

Mi ishu nimeona kwenye management ya hawa talented stars pia na wengi wao kuto fahamu marketing and advertisement.

Costech wanafeli na hubs zingine the push is not that hard. Hebu tuimarishe huu mfumo vijana wapige hela. Mifumo user friendly ambayo kila mwananchi hata mwenye elimu ndogo ya teknolojia anaweza master. Kwa research nliyofanya tech is not that expensive nkimaanisha kuna softwares, systems and tools zinawwza patikana in a cheaper way ughaibuni kwa njia tofauti(kijanja).

Na madini yote haya tufungue cyber mall moja kubwa sana, wajae wabongo humo, wachina na warusi wa kutosha. [HASHTAG]#YouthWeCan[/HASHTAG]
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,608
2,000

Kwa sababu Bongo siyo Nchi tajiri!
 
notmalick

Member
Aug 20, 2014
71
125
Well said but kiekweli bongo bado sana cause am in this industry.

Hapana bro, muda ndio huu cause mambo ya tech yapo hot ndo time ya ku take opportunity. I think kuna umuhimu wa kuwepo private regulatory body ukiacha TCRA. Hatujaweka mazingira rafiki ya kukurabisha investors wa sekta hii ambao ni muhimu wangekuja kutuongezea maujanja. But shauri langu kwa watu wa IT kuwa na mazoea ya kusoma vitabu vya marketing na kuangalia how they can market their talents.
 
GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
1,985
2,000
Mimi nazan ni mfumo wa elimu. Mtu anasoma darasa la kwanza mpaka advance haifaham hata computer. Hapo akifaulu anachagua IT, anaenda chuo na kusoma miaka 3 then anagraduate na kurudi mtaani. Wenzetu wamekeza hayo mambo kweny elimu, mtoto anakua akijua hzo mambo ndio maana utaskika kijana wa miaka 14 afanya hiki, huku bongo kijana wa miaka 14 anajifunza kusoma, kukalili na kuandika,
 
Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
2,884
2,000
Kuna fursa kubwa sana yani pesa mingi ya duniani ipo katika sekta ya teknolojia. Fursa inazidi kukua kila siku but why jamaa zetu bongo hapa hawana mpunga yani kuunga unga kwingi.

Personally am not an IT but i love this profession. Nchi kama bongo ipo nyuma sana lakini yenye matamanio makubwa yakufahamu teknolojia then whats pulling us back.?!

Mi ishu nimeona kwenye management ya hawa talented stars pia na wengi wao kuto fahamu marketing and advertisement.

Costech wanafeli na hubs zingine the push is not that hard. Hebu tuimarishe huu mfumo vijana wapige hela. Mifumo user friendly ambayo kila mwananchi hata mwenye elimu ndogo ya teknolojia anaweza master. Kwa research nliyofanya tech is not that expensive nkimaanisha kuna softwares, systems and tools zinawwza patikana in a cheaper way ughaibuni kwa njia tofauti(kijanja).

Na madini yote haya tufungue cyber mall moja kubwa sana, wajae wabongo humo, wachina na warusi wa kutosha. [HASHTAG]#YouthWeCan[/HASHTAG]
Not so easy.
Urasimu umejaa Tanzania.ao
Costech wenyewe ni wapiga dealz akuna kitu pale! Wanaa cha wagunduzi wa kweli wanapiga hela na makanjanja!
Pia serikali na idara usika azipo kusaidia hilo! South Africa walivyoanzisha Black empower ment ilikuwa kwenye tender ukiwa black tayari ni marks 20! Na serikali ilikuwa analisimamia hilo.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
27,302
2,000
Kuna fursa kubwa sana yani pesa mingi ya duniani ipo katika sekta ya teknolojia. Fursa inazidi kukua kila siku but why jamaa zetu bongo hapa hawana mpunga yani kuunga unga kwingi.

Personally am not an IT but i love this profession. Nchi kama bongo ipo nyuma sana lakini yenye matamanio makubwa yakufahamu teknolojia then whats pulling us back.?!

Mi ishu nimeona kwenye management ya hawa talented stars pia na wengi wao kuto fahamu marketing and advertisement.

Costech wanafeli na hubs zingine the push is not that hard. Hebu tuimarishe huu mfumo vijana wapige hela. Mifumo user friendly ambayo kila mwananchi hata mwenye elimu ndogo ya teknolojia anaweza master. Kwa research nliyofanya tech is not that expensive nkimaanisha kuna softwares, systems and tools zinawwza patikana in a cheaper way ughaibuni kwa njia tofauti(kijanja).

Na madini yote haya tufungue cyber mall moja kubwa sana, wajae wabongo humo, wachina na warusi wa kutosha. [HASHTAG]#YouthWeCan[/HASHTAG]
wapi ambako ni matajiri
 
Changes boy

JF-Expert Member
May 17, 2017
552
500

IT wengi wanasubiri waajiriwe wakati elimu yao haitaji experience wala ma GPA makubwa kama wanavyozani watu wengi.
Unaitaji kubadilisha uliyojifunza kwa kutatua matatizo ukapata mpunga wa kutisha mfano badala yakutumia elimu ya kudesign sijui web nk kufundisha watu iliwakupe kazi ni bora ukadesign yakwako wewe upige mpunga maana bongo MTU unakuta anabiashara inaitaji website na anampunga wa kutosha lakini mh!.
Utaona wanapost I design website, blog, blonchers, banners wakati yeye mwenyewe hata biashara yake haina hata kimoja anatangaza na hata portfolio hana unategemea nini . wengine hata ukimpa kazi unaona bora ugoogle utengeneze mwenyewe maana ni utumbo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom