Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

Lowassa ndio mpambanaji pekee anayeweza kupambana na ufisadi kwa vitendo na sio kwa ngonjera na dhana eti tukimchague yule eti masikini mwenzetu ataweza. Acheni ushabiki kuweni realistic. We trust in Lowassa. All the best MH Lowassa
 
Au mnadhani ufisadi unaishaje hapa nchini kama sio kukabiliana na mifumo ilinayosababisha huo ufisadi? Na mfumo huo upo chini ya watendaji wa serikali na ndio maana Lowassa alidili nao vizuri sana!
Mbona akiwa Waziri Mkuu hakuweza kupambana na ufisadi na badala yake aliuremba, kuupaka mafuta na kuukumbatia?
 
Mzee naona unachanganya dhana mbili tofauti kabisa "Kufanya kazi kwa Mazoea/Uzembe" na "Ufisadi"...

Bado unazunguka zunguka tu,bado unazungumzia yeye kuwawajibisha watendaji wadogo kama sisimizi kwa utendaji wa uzembe na sio ufisadi mkuu...Mkuu wa wilaya anatofauti gani na mwenyekiti wa kata?..Bado hakuwahi gusa ufisadi,na usilete mambo ya system hapa,amepambana na system gani par se?Yeye ni carrier ccm politician,kakulia humo humo....

Nidhibitishie kashika wezi wangapi wa ufisadi?Nipe idadi na kwenye hiyo idadi taja jina moja na kiasi cha pesa alichofisidi!Go on ,I wait!

Gud argument
Ccm they think too low
 
Ila huyu mzee kwanza cjaona ..alicho fanya labda kutuibia nasasa ni billionea asiye elezeka..kule bungen amekuwa bubu....hata kwa kamti aliyokuwa anaongoza amekuwa ni bubu...hana uchungu na nchi yetu...anataka aende ikulu yeye na mafisad wenzake wanao jiita team lowasa wakajigawie nchi yetu...
 
Anaesema Lowassa hajawahi kupambana na ufisadi alete pua yake hapa kwenye huu uzi. Na aseme ni kiongozi yupi ndani ya ccm aliewahi kuelewa vizuri dhana hii ya ufisadi na kuanza kuikabili kama sio Lowassa.

Mara nyingine mkiuliza maswali magumu muwe pia una uwezo wa kuelewa majibu magumu.

T doesn't need another kiongoz ndani ya ccm
Tuthibitishie lowassa aliwah kupambana vp na ufisadi
Huu uzi ni upuuzi tu ni kama mnaongea msichokijua maaana after all mnaongelea uzembe wa viongozi na sio ufisadi!
 
Lowassa ndio mpambanaji pekee anayeweza kupambana na ufisadi kwa vitendo na sio kwa ngonjera na dhana eti tukimchague yule eti masikini mwenzetu ataweza. Acheni ushabiki kuweni realistic. We trust in Lowassa. All the best MH Lowassa
Watanzania hatudanganyiki. Lowasa hawezi kupambana na ufisadi ilhali marafiki zake wanaomuingiza Ikulu ni mafisadi wa kutupwa. Mwangalie Reginald Mengi (Fisadi Nyangumi), Rostam Aziz (fisadi Papa), Nazir Karamagi, Andrew Chenge na wengineo wengi. Lowasa asitufanye Watanzania ni wajinga. Hii karata ya ufisadi hawezi kuicheza hata iweje
 
Lini alipambana na ufisadi?
 
Naunga mkonyo hoja,EL alikuwa anaogopeka na watendaji wa serikali kipindi cha uwaziri mkuu wake.
 
TeamLowassa

hahaha team lowassa mnaanza kuokoteza fact kwamba ndio PM mkali kuliko wote. Loh unaonekana aidha hujawahi kusikia PM aliyeitwa Edward Moringe Sokoine, hata Warioba bila kusahau PM mchapakazi aitwae Mzee Kawawa. katika hawa huyo fisadi ana rekodi gani iliyotukuka kuwapita hawa katika position ya u PM?
Ila jambo moja ambalo Lowassa imekuwa nembo yake ni wizi ufisadi na makundi ya mafisadi yakitarajia kujinufaisha atakapochukua nchi. Tuliona pale Arusha mpaka Tibaijuka ndani. Tunajua kutofautisha mavi na keki
 
Last edited by a moderator:
Mbona akiwa Waziri Mkuu hakuweza kupambana na ufisadi na badala yake aliuremba, kuupaka mafuta na kuukumbatia?

CCM toka lini mmeanza kuumbuana wenyewe kwa wenyewe?

Mkuu Crashwise njoo huku uone maajabu ya karne.
 
Last edited by a moderator:
Naunga mkonyo hoja,EL alikuwa anaogopeka na watendaji wa serikali kipindi cha uwaziri mkuu wake.

Hata majambazi huwa yanaogopeka mitaani kwetu. Huwezi kukemea uchafu wa watendaji serikalini kama wewe ni mchafu zaidi yao.PERIOD
 
Watanzania hatudanganyiki. Lowasa hawezi kupambana na ufisadi ilhali marafiki zake wanaomuingiza Ikulu ni mafisadi wa kutupwa. Mwangalie Reginald Mengi (Fisadi Nyangumi), Rostam Aziz (fisadi Papa), Nazir Karamagi, Andrew Chenge na wengineo wengi. Lowasa asitufanye Watanzania ni wajinga. Hii karata ya ufisadi hawezi kuicheza hata iweje

+++ Prof. Anna Tibaijuka
 
Naomba kuuliza tu.Iwapo alijiuzulu kwa kile alichosema ni sababu ya "walioutaka uwaziri mkuu wake" je akiwa rais, na akina ukawa wakautaka urais wake atajiuzulu pia?
 
Au mnadhani ufisadi unaishaje hapa nchini kama sio kukabiliana na mifumo ilinayosababisha huo ufisadi? Na mfumo huo upo chini ya watendaji wa serikali na ndio maana Lowassa alidili nao vizuri sana!

Dawa ya ufisadi ambao uko kwenye damu ya CCM Ni chama hicho kuwekwa pembeni kibaki kwenye makumbusho...
 
Lowassa ndio mpambanaji pekee anayeweza kupambana na ufisadi kwa vitendo na sio kwa ngonjera na dhana eti tukimchague yule eti masikini mwenzetu ataweza. Acheni ushabiki kuweni realistic. We trust in Lowassa. All the best MH Lowassa

Mkuu what are u smoking?
 
Naomba kuuliza tu.Iwapo alijiuzulu kwa kile alichosema ni sababu ya "walioutaka uwaziri mkuu wake" je akiwa rais, na akina ukawa wakautaka urais wake atajiuzulu pia?

wakikujibu unijulishe nikutumie angalau voucher tu kakajambazi...
 
Lowassa ana kazi kweli, kaajiri watu wanashinda JF 24 hrs kumsafisha....

Sijui kama mapamabano haya ya kubadili nyekundu kuwa nyeupe yatafanikiwa.
Nimejaribu kutumia kila aina ya strong stain remover detergents zote lakini imeshindikana kusafisha.
 
Naunga mkonyo hoja,EL alikuwa anaogopeka na watendaji wa serikali kipindi cha uwaziri mkuu wake.

Anaogopewa na makatibu tarafa na ma-DC!! Nchi yetu kwasasa inahitaji kiongozi mmoja tu,mwenye uwezo wakupambana na mfumo ulindao UFISADI......

We need a strong guy,sio usanii usanii,we need a stong guy wakupambana na majizi na mafisadi sugu kama ROSTAM,KARAMAGI,CHENGE,MKAPA,NGEREJA,MANJI,SHIMBO,TIBAIJUKA,na nahodha wa mafisadi LOWASA!

Tunahitaji mtu atakayepambana na system ya WAUZA madawa ambao wengi wao ndio makada wa CCM na WABUNGE wa CCM,tena naona baadhi ya wauza madawa maarufu hapa nchini kama KINJE(kada wa CCM na mtoto wa Kingunge Ngombare) wamejitokeza kumdhamini Lowasa.

Mambo kama haya ndio yanayonipa jeuri yakusema LOWASA na wagombea wengine CCM tunahitaji kuwapumzisha,tuweke wapya ambao ni UKAWA wapambane na wezi/mafisadi hawa......!!

UKAWA ni TUMAINI kwa Tz
 
Back
Top Bottom