Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

mzee wa matamasha watamla kichwa.....wenyewe wanamuita panya na kwamba kaingia mtungini....soon watainamisha mtungi na kumtoa panya kisha wanamuua bila kupasua mtungi...
 
Wakati mwingine tunalazimika kujibu si kwamba kwa kuwa tuna majibu mazuri ila kwa kuwa tunaamini mwandishi anaweza kuwa amejivika kilemba cha uelewa finyu hivyo kuhitaji msaada.

Moja ni lazma uelewe kwamba hakuna mtu anayejaribu ati kumsafisha EL manake kwanza hakuwahi kuchafuka bali alichafuliwa na akasafishwa muda huo huo na nukuu hii hapa chini ikusaidie kujua kwamba kama Mwakiyembe ni kijana wa Lowassa basi yeye ndiye aliyeanza kumsafisha.

"Mhe. Spika kamati Teule ilikuwa na ushahidi wa mawasiliano ya karibu kati ya Waziri Mkuu na Uongozi wa Wizara. Ushahidi huo haukutosha kwa uwajibikaji wa sura ile ya kwanza wa kiongozi kukutwa na makosa ya moja kwa moja, aliyoyafanya yeye mwenyewe kwa njia moja au nyingine, lakini ushahidi huo ulitosha kwa uwajibikaji wa sura ya pili, ambao hauhitaji mahojiano, kusikilizwa wala utetezi; Uwajibikaji kwa makosa ya watendaji walio chini yako.-Hiyo ndiyo demokrasi.-Wabunge wengi wametoa mifano mingi hapa ukiwemo wa Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi, alipokuwa Waziri wa Mambo ya ndani; aliwajibika kwa makosa ya askari huko Shinyanga wakati yeye alikuwa DSM; hatukumsikia akidai apewe nafasi ya kusikilizwa na hata kama angepewa bado angewajibika yeye mwenyewe.

Mheshimiwa Spika, kamati teule inatamka ukurasa wa 37 wa taarifa yake kuwa Ushiriki wa karibu wa Waziri Mkuu katika kila hatua ya zabuni ya umeme wa dharura si lazima uwe ushahidi wa kwamba, kiongozi huyo wa Kitaifa alihusika katika kuibeba Richmond. Unaweza pia ukawa ushahidi wa style yake ya kawaida kabisa ya Waziri Mkuu katika kufuatilia masuala yote ya Kitaifa kwa karibu sana, tukizingatia kwamba, Nchi wakati huo ilikuwa katika kipindi kigumu sana cha ukosefu wa umeme……………….”

Si lazma kujifanya vichaa ktk mambo yaliyo wazi. Halafu ati leo kabisa unamzungumzia Sumaye na miaka yake 10 mi nadhani ungekuja na takwimu ya yale mashamba aliyojimilikisha Morogoro na kuwapata taabu wananchi utueleze uamuzi wake ni upi..... Huo ni uroho, ulafi , na ishara ya kukosa uzalendo kwa Taifa.

Kwa uzoefu huo wa Pinda kukaa Ikulu basi angemtangulia JK na badala ya kujiita mtoto wa Mkulima angejiita mtoto wa Ikulu..... Tujitahidi sana hoja ziwe nzito.....

Hahaha hili la BM jamani nshasema hata wanaomuuza washapeleka kwamba hauziki wametumia maneno haya ni kofia ya Polisi! Halafu BM hana tofauti ns Martha Karau aliyekuwa mgombea Kenya wewe hata kwenu hukubaliki kwa wenzio utaenda kuwaambia nini.... Tusijitoe ufahamu jamani....

Eti EL kafanya nini mimi sitojibu hili unapotoka kwako muda huu ama utakapokuwa popote pale we mwite mtu yeyote hata kijana wa miaka 14 muulize hilo swali nasisitiza yeyote yule.....

Ugonjwa sibishi manake hata wewe hapo ulipo unaumwa braza ni maiti inayotembea sasa una mamlaka gani ya kunyooshea vidole wenzio?? JK kadondoka jukwaani mara kadhaa mmesema sana kwamba hatomaliza wakati wake jamaa anadunda tu.............

Kazi mnayo[/QUOTE

wewe umerogwa si bure.
 
Lowassa inaonekana ameshindwa kuelewa au hataki kukubali kuwa tatizo kubwa la Tanzania ni la aina tatu:
1. Ufisadi
2. Ufisadi
3. Ufisadi

Lowassa hatopambana na ufisadi kwa uzito unaostahili kwani haoni kuelewa kuwa ni tatizo la hatari zaidi kwa taifa "kuliko vita wakati wa amani" kama alivyosema Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Kutokuelewa kuwa Ufisadi ndiyo sekta haramu yenye nguvu zaidi katika nchi yetu ni kushindwa kuelewa tatizo letu hasa ni nini. Ufisadi umepenya (permeate) kwenye kila sekta nyingine zote (rasmi na zisizo rasmi). Umeathiri elimu, afya, usalama, na hata umoja wa taifa. Kutokulielewa tatizo hili kwa mtu anayetaka kugombea nafasi ya Urais (haijalishi anatokea chama gani) ni kutokuelewa namna ya kukabiliana na changamoto nyingine zote.

Wanaomtaka Lowassa - wapenzi, mashabiki na waumini wake - watuambie vita dhidi ya ufisadi ina umuhimu na uzito gani katika agenda za Lowassa.

Watanzania wenzetu sijui nani katuloga. Mbona tunasahau mapema sana kiasi hiki. Hivi leo tumesahau kuwa chanzo kikuu cha ufisadi hapa nchini ni mfumo uliopo serikalini?

Swali dogo naomba kuuliza:

Ni waziri mkuu gani mwenye rekodi ya kipekee ya kuwa mkali zaidi tena kwa vitendo kwa watendaji wa serikali? Sio Lowassa huyu huyu aliekaa madarakani kama mtendaji mkuu wa serikali kwa muda mchache zaidi, na ndie huyu aliweka rekodi ya kuwa mkali zaidi kwa watendaji wa serikali wanaopenda kufanya kazi kwa mazoea?

Ni waziri mkuu yupi aliekuwa na uwezo wa kumwajibisha mkuu wa wilaya on the spot? Halafu leo mnasema Lowassa hajawahi kupambana na ufisadi!

Kitendo kile cha Lowassa kinaonyesha dhahiri kuwa ni kiongozi anaepambana na system nzima ambayo ndio chanzo kikuu cha ufisadi hapa nchini. Kwa maneno mengine Lowassa anapambana na chanzo cha ufisadi ambao ni mfumo wa utendaji wa serikali. Lowassa kawawajibisha watendaji kadhaa wa serikali kwa kipindi kifupi cha madaraka yake. Hii ni kuonyesha kuwa anakabiliana na mfumo mbaya uliopo serikalini kiasi cha kuasisi kile kinachoitwa ufisadi.

Sitaki kuamini kuwa watanzania tunapenda maneno matupu yanayoendelea kusemwa na viongozi wengi kuhusu ufisadi ilhali ufisadi unaasisiwa na ulegelege uliopo kwenye mifumo ya utendaji wa serikali. Hawa wengine wanaongea kuhusu ufisadi wamechukua hatua gani kukabiliana na ufisadi? Leo hii kuna baadhi ya watanzania ambao kuongea tu bila vitendo kunatosha kuwaridhisha. Jamani maneno bila matendo hakufai kitu.

Lowassa anaelewa vizuri sana chanzo kikuu cha ufisadi hapa nchini ni mifumo ya kiserikali. Na ndio maana muda mchache aliokaa madarakani kama waziri mkuu alianza kudili perpendicularly na mifumo hiyo kwa kuwawajibishwa wale waliopewa dhamani kwenye utumishi wa umma, ambao kwapo ndio mianya ya ufisadi.

HAKUNA NAMNA YA KUWEZA KUDHIBITI UFISADI NCHI HII ZAIDI YA KUKABILIANA NA MFUMO WA UTENDAJI ULIOPO SERIKALINI, JAMBO AMBALO LOWASSA TAYARI ALIANZA KULITEKELEZA!

Lowassa ana upeo mkubwa sana, na nchi anaifahamu vizuri sana ndani nje! Ni mtendaji sio muimba taarabu!

KWA WATIA NIA WOTE HAKUNA ALIYEWAHI KUPAMBANA NA UFISADI KWA MATENDO KAMA LOWASSA. KILA MTANZANIA NI SHAHIDI.

Leteni hoja nyingine sio hii ya Lowassa ya kupambana na ufisadi maana ameshapambana nao kwa matendo. Anajua chanzo kikuu cha ufisadi na ndo hapo hapo alipokomalia!

Anaesema Lowassa hajawahi kupambana na ufisadi alete pua yake hapa kwenye huu uzi. Na aseme ni kiongozi yupi ndani ya ccm aliewahi kuelewa vizuri dhana hii ya ufisadi na kuanza kuikabili kama sio Lowassa.

Mara nyingine mkiuliza maswali magumu muwe pia una uwezo wa kuelewa majibu magumu. Lowassa hapendi kuzungumzia hadharani ufisadi kwa maneno matupu kwa sababu anaelewa fika wapi kilipo chanzo kikuu cha ufisadi. Ni utendaji wa mifumo ya kiserikali ambao ndio aliokuwa anakabiliana nao kwa vitendo sio kwa porojo

Lowassa ndio mpambanaji pekee anayeweza kupambana na ufisadi kwa vitendo na sio kwa ngonjera na dhana eti tukimchague yule eti masikini mwenzetu ataweza. Acheni ushabiki kuweni realistic. We trust in Lowassa. All the best MH Lowassa

Naunga mkonyo hoja,EL alikuwa anaogopeka na watendaji wa serikali kipindi cha uwaziri mkuu wake.

Kuifukuza City Water.... KUrejesha kiwanja cha Mnazi Mmoja... kukusudia kuvunja mkataba wa Richmond ?.... Lowassa ndo Jembe la Ukweli la CCM .. hakuna mwingine ...

Kwenu gwijimimi , Utotole , h120 na wengine wachache! post hapo chini ya LebronWade naijibu hapa kama ifuatavyo:

Japo mwandishi ameandika kama analia lakini ngoja nimjibu kiungwana zaidi.

== Sio sahihi kumfananisha mkuu wa wilaya na mwenyekiti wa kata, kumfananisha hivi ni kuonyesha dharau na kuonyesha pengine haujui vizuri mfumo wa utawala wa nchi yako. Kukusaidia ni kuwa hao viongozi ni ngazi, wajibu na madaraka tofauti sana sivyo kama unavyofikiri wewe. Ondoa hizo fikra, delete kabisa.

== Swala la kuhusu ufisadi ni dhana pana ila rahisi sana kudili nayo. Hili ni swala gumu sana, kama wewe ni mtu unaesombwa na fikra za watu kuhusu hii dhana ya ufisadi basi sio rahisi kuelewa dhana nzima ya ufisadi. Ufisadi unaanzia kwenye mifumo (system) ya utendaji serikalini na si mahala pengine. Kukabiliana na ufisadi maana yake ni kukabiliana na utendaji wa kimazoea (business as usual) na kupambana na utendaji wa kizembe. Hapo ndipo utakapokuwa umeanza vizuri kupambana na ufisadi kwa vitendo.

Usifikiri ufisadi ni ishu ya kuwasha na kuzima kibatari. Sio hivyo. Mafisadi sio mbumbu kiasi unachofikiri wewe. Wanatumia weakness ya mfumo kufanya ufisadi. Ufisadi unaasisiwa na mfumo uliopo. Kwa Lowassa kuzungumzia bayana ubaya wa mfumo wa chama chake ni kujikosesha mwenyewe bendera ya chama chake kupeperusha kwenye mbio za kugombea urais, isipokuwa anachotakiwa kufanya ni kuukabili utendaji mbovu wa serikali kwa kuanza kuwakabili watendaji wenyewe. Na kwa hili ndipo ninapomwona Lowassa is very brave. NA NDIO MAANA NASEMA KAMA UNAULIZA SWALI GUMU HAKIKISHA KUWA UNA UWEZO WA KUELEWA MAJIBU MAGUMU PIA.

== Lowassa amekuwa waziri mkuu kwa muda mfupi zaidi kuliko waziri mkuu yeyote hapa Tanzania. Kwa kipindi hicho kisichozidi miaka miwili aliweza walau kuonyesha ni Tanzania ipi tunayoitaka. Kukaa madarakani kwa miaka michache kiasi kile na kuthubutu kwa vitendo kujaribu kung'oa mizizi ya ufisadi kunamaanisha kuwa labda huko tuendako kama angeendelea kuwa waziri mkuu tungekuwa tunasikia leo kesi zizizo na idadi za kashfa ya ufisadi. Lakini kwa kutambua na kuheshimu dhana nzima ya uwajibika alijiuzulu na hapo ikawa ndio mwisho wa harakati zake za kupambana na ufisadi.

Mzee naona unachanganya dhana mbili tofauti kabisa "Kufanya kazi kwa Mazoea/Uzembe" na "Ufisadi"...

Bado unazunguka zunguka tu,bado unazungumzia yeye kuwawajibisha watendaji wadogo kama sisimizi kwa utendaji wa uzembe na sio ufisadi mkuu...Mkuu wa wilaya anatofauti gani na mwenyekiti wa kata?..Bado hakuwahi gusa ufisadi,na usilete mambo ya system hapa,amepambana na system gani par se?Yeye ni carrier ccm politician,kakulia humo humo....

Nidhibitishie kashika wezi wangapi wa ufisadi?Nipe idadi na kwenye hiyo idadi taja jina moja na kiasi cha pesa alichofisidi!Go on ,I wait!
 
Last edited by a moderator:
Watanzania wenzetu sijui nani katuloga. Mbona tunasahau mapema sana kiasi hiki. Hivi leo tumesahau kuwa chanzo kikuu cha ufisadi hapa nchini ni mfumo uliopo serikalini?

Swali dogo naomba kuuliza:

Ni waziri mkuu gani mwenye rekodi ya kipekee ya kuwa mkali zaidi tena kwa vitendo kwa watendaji wa serikali? Sio Lowassa huyu huyu aliekaa madarakani kama mtendaji mkuu wa serikali kwa muda mchache zaidi, na ndie huyu aliweka rekodi ya kuwa mkali zaidi kwa watendaji wa serikali wanaopenda kufanya kazi kwa mazoea?

Ni waziri mkuu yupi aliekuwa na uwezo wa kumwajiisha mkuu wa wilaya on the spot? Halafu leo mnasema Lowassa hajawahi kupambana na ufisadi!

Kitendo kile cha Lowassa kinaonyesha dhahiri kuwa ni kiongozi anaepambana na system nzima ambayo ndio chanzo kikuu cha ufisadi hapa nchini. Kwa maneno mengine Lowassa anapambana na chanzo cha ufisadi ambao ni mfumo wa utendaji wa serikali. Lowassa kawawajibisha watendaji kadhaa wa serikali kwa kipindi kifupi cha madaraka yake. Hii ni kuonyesha kuwa anakabiliana na mfumo mbaya uliopo serikalini kiasi cha kuasisi kile kinachoitwa ufisadi.

Sitaki kuamini kuwa watanzania tunapenda maneno matupu yanayoendelea kusemwa na viongozi wengi kuhusu ufisadi ilhali ufisadi unaasisiwa na ulegelege uliopo kwenye mifumo ya utendaji wa serikali. Hawa wengine wanaongea kuhusu ufisadi wamechukua hatua gani kukabiliana na ufisadi? Leo hii kuna baadhi ya watanzania ambao kuongea tu bila vitendo kunatosha kuwaridhisha. Jamani maneno bila matendo hakufai kitu.

Lowassa anaelewa vizuri sana chanzo kikuu cha ufisadi hapa nchini ni mifumo ya kiserikali. Na ndio maana muda mchache aliokaa madarakani kama waziri mkuu alianza kudili perpendicularly na mifumo hiyo kwa kuwawajibishwa wale waliopewa dhamani kwenye utumishi wa umma, ambao kwapo ndio mianya ya ufisadi.

HAKUNA NAMNA YA KUWEZA KUDHIBITI UFISADI NCHI HII ZAIDI YA KUKABILIANA NA MFUMO WA UTENDAJI ULIOPO SERIKALI, JAMBO AMBALO LOWASSA TAYARI ALIANZA KULITEKELEZA!

Lowassa ana upeo mkubwa sana, na nchi anaifahamu vizuri sana ndani nje! Ni mtendaji sio muimba taarabu!

KWA WATIA WOTE HAKUNA ALIYEWAHI KUPAMBANA NA UFISADI KWA MATENDO KAMA LOWASSA. KILA MTANZANIA NI SHAHIDI.

Leteni hoja nyingine sio hii ya Lowassa ya kupambana na ufisadi maana ameshapambana nao kwa matendo. Anajua chanzo kikuu cha ufisadi na ndo hapo hapo alipokomalia!

Lowassa ana kazi kweli, kaajiri watu wanashinda JF 24 hrs kumsafisha....

Sijui kama mapamabano haya ya kubadili nyekundu kuwa nyeupe yatafanikiwa.
 
Au mnadhani ufisadi unaishaje hapa nchini kama sio kukabiliana na mifumo ilinayosababisha huo ufisadi? Na mfumo huo upo chini ya watendaji wa serikali na ndio maana Lowassa alidili nao vizuri sana!
 
MEMBE , PINDA na LOWASSA wana tofauti gani katika hili???

hapa ni MAKONGORO tu
 
Anaesema Lowassa hajawahi kupambana na ufisadi alete pua yake hapa kwenye huu uzi. Na aseme ni kiongozi yupi ndani ya ccm aliewahi kuelewa vizuri dhana hii ya ufisadi na kuanza kuikabili kama sio Lowassa.

Mara nyingine mkiuliza maswali magumu muwe pia una uwezo wa kuelewa majibu magumu.
 
Hatuhitaji Lowassa kufanya vitu tulivyovizoea(kuajiri cheap minds kumsafisha), tunahitaji him to stand as a man and to declare that mwenyewe.
 
Au mnadhani ufisadi unaishaje hapa nchini kama sio kukabiliana na mifumo ilinayosababisha huo ufisadi? Na mfumo huo upo chini ya watendaji wa serikali na ndio maana Lowassa alidili nao vizuri sana!

Mzee naona unachanganya dhana mbili tofauti kabisa "Kufanya kazi kwa Mazoea/Uzembe" na "Ufisadi"...

Bado unazunguka zunguka tu,bado unazungumzia yeye kuwawajibisha watendaji wadogo kama sisimizi kwa utendaji wa uzembe na sio ufisadi mkuu...Mkuu wa wilaya anatofauti gani na mwenyekiti wa kata?..Bado hakuwahi gusa ufisadi,na usilete mambo ya system hapa,amepambana na system gani par se?Yeye ni carrier ccm politician,kakulia humo humo....

Nidhibitishie kashika wezi wangapi wa ufisadi?Nipe idadi na kwenye hiyo idadi taja jina moja na kiasi cha pesa alichofisidi!Go on ,I wait!
 
Hivi ...ufisadi upi huyu mzee wa richmond alio pambana nao ??huyu angalia mafisadi wote ..ndo wanao mzunguka ....Nakumbuka ile list of shame alikuwepo alio toa Dr .Slaa pale mwembeyanga...mbona hakuenda mahakaman...huyu jamaa ni mchafu sana..hata kwa brush la chuma hatakati kabisa....mteteen ..ila najua...watanzania wanamjua vizur sana...na mkitoa hela lazima wazile kwan wanarudisha...mlicho waibia...Angalia nyie team lowasa nan msafi ?
 
Naona porojo tu kuwa mkali na kupambana na ufisadi vinahusiana nn?
 
hakukuwa kabisa na haja yoyote ya kujisharirisha na majibu haya.

hivi kuna waziri mkuu zaidi ya marehemu sokoine? LOWASSA NI DHAIFU, LOWASSA NI BUBU. HAWEZI KUKEMEA UFISADI KWA KUWA YEYE NDIYE FISADI MKUU NA ANAZUNGUKWA NA MAFISADI TUPU KWENYE TIMU YAKE.
 
Watanzania wenzetu sijui nani katuloga. Mbona tunasahau mapema sana kiasi hiki. Hivi leo tumesahau kuwa chanzo kikuu cha ufisadi hapa nchini ni mfumo uliopo serikalini?

Swali dogo naomba kuuliza:

Ni waziri mkuu gani mwenye rekodi ya kipekee ya kuwa mkali zaidi tena kwa vitendo kwa watendaji wa serikali? Sio Lowassa huyu huyu aliekaa madarakani kama mtendaji mkuu wa serikali kwa muda mchache zaidi, na ndie huyu aliweka rekodi ya kuwa mkali zaidi kwa watendaji wa serikali wanaopenda kufanya kazi kwa mazoea?

Ni waziri mkuu yupi aliekuwa na uwezo wa kumwajibisha mkuu wa wilaya on the spot? Halafu leo mnasema Lowassa hajawahi kupambana na ufisadi!

Kitendo kile cha Lowassa kinaonyesha dhahiri kuwa ni kiongozi anaepambana na system nzima ambayo ndio chanzo kikuu cha ufisadi hapa nchini. Kwa maneno mengine Lowassa anapambana na chanzo cha ufisadi ambao ni mfumo wa utendaji wa serikali. Lowassa kawawajibisha watendaji kadhaa wa serikali kwa kipindi kifupi cha madaraka yake. Hii ni kuonyesha kuwa anakabiliana na mfumo mbaya uliopo serikalini kiasi cha kuasisi kile kinachoitwa ufisadi.

Sitaki kuamini kuwa watanzania tunapenda maneno matupu yanayoendelea kusemwa na viongozi wengi kuhusu ufisadi ilhali ufisadi unaasisiwa na ulegelege uliopo kwenye mifumo ya utendaji wa serikali. Hawa wengine wanaongea kuhusu ufisadi wamechukua hatua gani kukabiliana na ufisadi? Leo hii kuna baadhi ya watanzania ambao kuongea tu bila vitendo kunatosha kuwaridhisha. Jamani maneno bila matendo hakufai kitu.

Lowassa anaelewa vizuri sana chanzo kikuu cha ufisadi hapa nchini ni mifumo ya kiserikali. Na ndio maana muda mchache aliokaa madarakani kama waziri mkuu alianza kudili perpendicularly na mifumo hiyo kwa kuwawajibishwa wale waliopewa dhamani kwenye utumishi wa umma, ambao kwapo ndio mianya ya ufisadi.

HAKUNA NAMNA YA KUWEZA KUDHIBITI UFISADI NCHI HII ZAIDI YA KUKABILIANA NA MFUMO WA UTENDAJI ULIOPO SERIKALINI, JAMBO AMBALO LOWASSA TAYARI ALIANZA KULITEKELEZA!

Lowassa ana upeo mkubwa sana, na nchi anaifahamu vizuri sana ndani nje! Ni mtendaji sio muimba taarabu!

KWA WATIA NIA WOTE HAKUNA ALIYEWAHI KUPAMBANA NA UFISADI KWA MATENDO KAMA LOWASSA. KILA MTANZANIA NI SHAHIDI.

Leteni hoja nyingine sio hii ya Lowassa ya kupambana na ufisadi maana ameshapambana nao kwa matendo. Anajua chanzo kikuu cha ufisadi na ndo hapo hapo alipokomalia!

Amekulipa Tsh Ngapi Kwa UPOPOMA Huu Uliotuwekea Hapa?
 
Hatuhitaji Lowassa kufanya vitu tulivyovizoea(kuajiri cheap minds kumsafisha), tunahitaji him to stand as a man and to declare that mwenyewe.

mkuu nikajua mh Lowassa wakati anatangaza nia Arusha angekata kabisa na huu mzizi wa fitina badala yake akaufyata..

Ni ngumu sana kwa mtu mwenye akili timamu kumuamini Lowassa.
 
Back
Top Bottom