Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

Wanaoshabikia huyu jamaa eti awe rair watakuwa hamnazo kabisa.
 
Nasema bila kupepesa macho lowasa ni janga la taifa. sabab moja ni shida yetu ni ufisadi na yey ni fisad na fisadi anataka kuwa rais huku akipewa hela na mafisadi hapo unategemea nini.

Jiulize chenge anasifa gani nchi hi? ni fisadi kila dili yupo. karamagi ana sifa gani? fisadi ngeleja ana sifa gani? fisadi. zostam aziz huyo pamoja na yeye lowasa ndio wakaleta msamiati unaoitwa magamba ya ccm.

Eti leo ni msafi watu wote hawa mbele ya umma tunajua kila moja hawana sifa ya kuitwa viongoz wa uma. na ndio wafadhili wake ndio mana nasema huyu bwana ni janga la taifa wala hakuna kitu hapa mtasema afadhali kikwete
 
kila mwenye akil timamu hilo analijua kuwa lowasa ni janga la kitaifa
 
Kiafya jamani hayuko vizuri anahitaji kupumzika last week alishindwa hata kumalizia kupandisha ngazi Arusha hadi akapewa msaada wa kusaidiwa,
Pili sio msafi Nyerere alishatuonya, kwanini tusiwape viongozi wengine ambao ni wasafi? Kampani ya lowasa wote wanaskendal ya ufisadi, juzi Arusha drugdelers wote walijazana, ule umati usiwatishe watu wamelipwa perdiem laki 3 usafiri juu na wamelala hotel za maana Arusha Kama huamini nenda mlimani kaulize utaambiwa, lowasa hafaiiiiii,
 
Lowasa kaanza ufisadi tangu wakati wa nyerere hafai kwa lolote pengine kwa ufisadi tu.
 
Kiafya jamani hayuko vizuri anahitaji kupumzika last week alishindwa hata kumalizia kupandisha ngazi Arusha hadi akapewa msaada wa kusaidiwa,
Pili sio msafi Nyerere alishatuonya, kwanini tusiwape viongozi wengine ambao ni wasafi? Kampani ya lowasa wote wanaskendal ya ufisadi, juzi Arusha drugdelers wote walijazana, ule umati usiwatishe watu wamelipwa perdiem laki 3 usafiri juu na wamelala hotel za maana Arusha Kama huamini nenda mlimani kaulize utaambiwa, lowasa hafaiiiiii,

= Drug Dealers ...
 
Yeyote mwenye akili timamu huhitaji kumjadili edo, kwanza m ningekuwa nec ile jina linasomwa tu nasema weka pembeni, maana halina sifa hata 1,

Wanampenda edo, wanamalengo yao, m huwa nawatazama ukiwatiza usoni na maandishi yao unajua tu huyu amepewa mlungula..

Mungu aepushe huu msiba wa taifa
 
Kiafya jamani hayuko vizuri anahitaji kupumzika last week alishindwa hata kumalizia kupandisha ngazi Arusha hadi akapewa msaada wa kusaidiwa,
Pili sio msafi Nyerere alishatuonya, kwanini tusiwape viongozi wengine ambao ni wasafi? Kampani ya lowasa wote wanaskendal ya ufisadi, juzi Arusha drugdelers wote walijazana, ule umati usiwatishe watu wamelipwa perdiem laki 3 usafiri juu na wamelala hotel za maana Arusha Kama huamini nenda mlimani kaulize utaambiwa, lowasa hafaiiiiii,

Msimu wa mavuno ya uchaguzi ushaanza kwa baadhi ya watu na wanachekelea kweli. Ngoja uchaguzi uishe
 
Ni kiongozi gani anayenunua watu badala yakutangaza nini cha dhati atawafanyia watanzania
 
Watu wengi wanawaza kuwa yamkini EL angefaa kuwa mgombea urais kupitia CCM mwaka 2015. Kwa upande wangu naona na ninaamini hivi, Edward Lowassa hafai kabisa kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM kwa sababu:-

  1. Tuhuma dhidi yake kuwa ni fisadi mkubwa kwenye sakata la Richmond na hatimaye Dowans. Tuhuma hizi haziwezi kusafishika kwa namna yoyote. Labda tu ataje kwamba hahusiki na akiri hadharani (press conference) kwamba yuko tayari kutoa ushahidi mbele ya umma na mahakama wa kuwezesha kuwatia hatiani wahusika ambao wamemvisha kengere shingoni mwake.
  2. Uvumi kwamba yeye amejitajirisha kwa njia zisizohalali; kwani, utajiri wake hauelezeki ulivyopatikana. Hapa kunatuhuma kwamba akiwa waziri wa Aridhi aliuza na kutoa viwanja vingi vya umma kwa matajiri wa kihindi na wafanyabiashara kadhaa. mf, uwanja wa wazi wa karibu na majengo ya Bora (Kijitonyama-Mabatini). Aidha, tuhuma za kuyatoa maeneo ya kiwanja cha UVCCM akishirikiana na E. Nchimbi pale Dar es Salaam.
  3. Tuhuma za kujenga makundi ndani ya CCM, mathalan, wakati wa uchaguzi uliopita kumpitisha J. Kikwete. Alimpaka matope Salim A. Salim, Philip Mangula, Fredrick Sumaye na wengine wengi.
  4. Katika uchaguzi wa ndani ya chama Edward Lowassa ametuhumiwa kutumia fedha nyingi mno kuhonga wajumbe wa chama kwa ngaszi mbali mbali ili apitishe watu wanaomuunga mkono yeye ndani ya chama, mathalan, wakuu wa wilaya na mikoa; wenyeviti na makatibu wa ccm ngazi ya wilaya na mikoa.
  5. Tuhuma za ushiriki wake katika biashara ya madawa ya kulevya akishirikiana na familia ya mkuu wa kaya.
  6. Ni mpenda vyeo na king'ang'anizi.
  7. Mtoa rushwa kwa kuhonga taasisi za dini ili asafishike na kujijenga na kutengeneza mazingira ya kupigiwa debe na viongozi wa dini.
  8. Ni tu mwenye kupendelea watu wa jamii yake au watu wanaotokea upande wa kwao kaskazini. Kwa ufupi ni mkabila.

Kwa sababu hizo na nyingine ambazo unazijua wewe, EL hastahili kugombea urais wa TZ kupitia hali yoyote wala kupitia chama chochote.

Hata ungempaka matope kiasi gani watanzania walio wengi wanamtaka yeye, wewe ushaambiwa kama humtaki kale limao. Tuhuma sio kesi wapo watu wengi wametuhumiwa kwa kusingiziwa hiwezekani tuhuma iwe kashfa, hata wewe hapo ulipo unaweza kutuhumiwa, rais mwezi uliopita alituhumiwa kuwa anampango wa kumzuru mzee mengi hiyo ni kashfa? au roho mbaya ya watu ya kutaka kugombanisha watu? tupeni idadi za kesi zinazomkabili Lowasa sio majungu, mwaka huu mtakonda sana maana mnayemchukia ndiye anayependwa na watu wengi
 
Mimi ni msafi kabisa. Hakuna tuhuma hata moja ingenigusa hapo. Naomba uwe makini unachoandika, kumbuka si watu wote ni waovu kama unavyodhani.
Kama tuhuma zenyewe ndio hizo basi hakuna Mtanzania ambaye anafaa kugombea Uraisi wa Tanzania nchini Tanzania, kwa maana Ukianza kutuchunguza Watz wote hatoki mtu hapo, wote tunaangukia hapo hapo ndani ya 1 - 8!
 
Aisee kimsigi jamaa kajaribu kuanalyse wat he knows lkn inaonekana wat mna mapezi binafsi zaidi ya kwa taifa
 
Tuhuma za Prof.Muhongo zinafanana na tuhuma za bwana Lowassa na zote zina impact ya aina moja katika kuchuja majina ya wagombea uraisi kupitia CCM.

Swali la kujiuliza ni kuwa,endapo jina la Muhongo litaenguliwa kwa kigezo cha maadili,mh. Lowassa,kwanini wewe usalimike?

Hivi hamuoni kuwa huu unaweza kuwa ni kama mpango mkakati wa Kamati Kuu ya CCM kujivua lawama kupitia baadhi ya majina?

Utetezi utakuwa rahisi tu, nao ni mbona hata fulani hakupitishwa kwasababu file lake na lako yanafanana alafu wewe tu ndio peke yako useme unaonewa?

Kwa kifupi ujumbe utakuwa ni kwanini wewe tu ukienguliwa ndio iwe nongwa na sio wengine?
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Umetoka usingizini mkuu? Unajadili na wana JF au unajadili na wewe?
 
Back
Top Bottom