nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
Au mnadhani ufisadi unaishaje hapa nchini kama sio kukabiliana na mifumo ilinayosababisha huo ufisadi? Na mfumo huo upo chini ya watendaji wa serikali na ndio maana Lowassa alidili nao vizuri sana!
mkuu mtumikie ------ ili uweze kupata ujira wako. hakuna wa kuweza badili mfumo wa kulindana ndani ya ccm kamwe hasa kama mtu huyo anatoka ndani ya ccm. kuna list kubwa ya majina mazito yameshindwa kuwajibishwa kwa sababu ya mfumo. je kina rostam,chenge, shabani gurumo , na wenguneo je lowasa anaweza kuwawajibisha pindi akiingia madarakani? huoni uwongo wa mchana kweupe.