Mbona akiwa Waziri Mkuu hakuweza kupambana na ufisadi na badala yake aliuremba, kuupaka mafuta na kuukumbatia?
nchi hii imewahi kuwa na waziri mkuu mmoja tu,edward moringe sokoine,hakuna mwingine
Au mnadhani ufisadi unaishaje hapa nchini kama sio kukabiliana na mifumo ilinayosababisha huo ufisadi? Na mfumo huo upo chini ya watendaji wa serikali na ndio maana Lowassa alidili nao vizuri sana!
Mzee naona unachanganya dhana mbili tofauti kabisa "Kufanya kazi kwa Mazoea/Uzembe" na "Ufisadi"...
Bado unazunguka zunguka tu,bado unazungumzia yeye kuwawajibisha watendaji wadogo kama sisimizi kwa utendaji wa uzembe na sio ufisadi mkuu...Mkuu wa wilaya anatofauti gani na mwenyekiti wa kata?..Bado hakuwahi gusa ufisadi,na usilete mambo ya system hapa,amepambana na system gani par se?Yeye ni carrier ccm politician,kakulia humo humo....
Nidhibitishie kashika wezi wangapi wa ufisadi?Nipe idadi na kwenye hiyo idadi taja jina moja na kiasi cha pesa alichofisidi!Go on ,I wait!
mkuu huo ndo ukweli wenyewe..
Makongoro ni kongoro tupu. Hana substance yoyote.
Kama ataweza kukujibu haya maswali yako hata kwa kiwango cha kupata "D" Tu basi nitampa yangu imsaidie kuupata urais........sio bra bra bra tu oo mkuu wa wilaya oo mkurugenzi nini hawa dagaa hata mrema tu akiwa waziri aliweza kuwasambaratisha hawa.....atujibu alimuajibisha fisadi gani? lini alimkemea cheng kuhusu pesa ya rada ?Mzee naona unachanganya dhana mbili tofauti kabisa "Kufanya kazi kwa Mazoea/Uzembe" na "Ufisadi"...
Bado unazunguka zunguka tu,bado unazungumzia yeye kuwawajibisha watendaji wadogo kama sisimizi kwa utendaji wa uzembe na sio ufisadi mkuu...Mkuu wa wilaya anatofauti gani na mwenyekiti wa kata?..Bado hakuwahi gusa ufisadi,na usilete mambo ya system hapa,amepambana na system gani par se?Yeye ni carrier ccm politician,kakulia humo humo....
Nidhibitishie kashika wezi wangapi wa ufisadi?Nipe idadi na kwenye hiyo idadi taja jina moja na kiasi cha pesa alichofisidi!Go on ,I wait!
Kama ataweza kukujibu haya maswali yako hata kwa kiwango cha kupata "D" Tu basi nitampa yangu imsaidie kuupata urais........sio bra bra bra tu oo mkuu wa wilaya oo mkurugenzi nini hawa dagaa hata mrema tu akiwa waziri aliweza kuwasambaratisha hawa.....atujibu alimuajibisha fisadi gani? lini alimkemea cheng kuhusu pesa ya rada ?
''Nidhibitishie kashika wezi wangapi wa ufisadi?Nipe idadi na kwenye hiyo idadi taja jina moja na kiasi cha pesa alichofisidi!"Imeshajibiwa kwa viwango vya juu sana. Panda juu ya uzi utaona, nimeweka pale ili kukata kiu ya wachache wanaofikiri kama nyie!
Warning:
Kama huna uwezo wa kuelewa majibu magumu kwa maswali magumu dont try to read this at home, at school, or anywhere else!
Nakutakia kila la kheri uelewe!
Ni bora sasa mchawi wa Lowasa ajulikane maana maneno yamezidi tunataka kiongozi atayethubutu kufannya maamuzi magumu sio kuongoza kwa mazoea, sio sera ya CCM so sera yaTANU na ASP, akiwa Mwenyekiti aweke sera ambazo zima maslahi kwa CCM na nchi ndio maana leo UKAWA wanajisifia kwa yale yale ya CCM wao hutenkeleza tu, hususan zile ahadi kumi za mwana-CCM ndiocho wanachofanya ukawa. This need to stop now... Is Lowasa periodAnaesema Lowassa hajawahi kupambana na ufisadi alete pua yake hapa kwenye huu uzi. Na aseme ni kiongozi yupi ndani ya ccm aliewahi kuelewa vizuri dhana hii ya ufisadi na kuanza kuikabili kama sio Lowassa.
Mara nyingine mkiuliza maswali magumu muwe pia una uwezo wa kuelewa majibu magumu.
mmmmh...........kweli watanzania tumerogwa.Leo mtu ambaye alisema ataelezea kilichotokea kwenye richmond na kushindwa kufanya hivyo pale alipopata nafasi eti anautaka urais na ss tunamsupport?hii ni aibu kwetu ss na vizazi vijavyo vitatulaumu na kutulaan kwa kuuza nchi kwa fisadi kama lowasa na genge lake la mafisad ambao had leo hawajawah kusafishika
Au mnadhani ufisadi unaishaje hapa nchini kama sio kukabiliana na mifumo ilinayosababisha huo ufisadi? Na mfumo huo upo chini ya watendaji wa serikali na ndio maana Lowassa alidili nao vizuri sana!