Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

katika wote waliotangaza nia Kuwania urais hakuna mwenye afadhali,LOWASSAau richmond ameshirikiana jamaa yake waliekutana barabarani kutuibia.MEMBE ndie ovyo kabisa ufisadi, unafiki kila kitu kulikoMEMBE bora hata kibajaj.NYALANDU yeye anafaa kua second lady wamarekani kwa namna wamarekani wanavyompenda sio urais wa Tanzania. PINDA na takataka zingine wala hawafai hata kujadiliwa,angalau aliebaki mwenye nafuu ingawa hajatangaza nia ni Prof.MWANDOSYA tu.
January Makamba, the young and talented. Full kipaji na innovative skills
 
Hamna lolote ni walewale tu!Nyani na Ngedere!

sio walewale we jamaa, huyu dogo yupo vizuri! Na uzuri wake unatokana nayeye kutokua ndani ya mfumo wao muda mrefu..! Nimefuatili nyendo zake He is good
 
Unatakiwa kupanga hizi awawamu kutoka iliyoongoza kwa rushwa hadi iliyokuwa na rushwa kiduchu kwa mfano imekithiri ya pili , ikaja ya nne ikaja ya pili na ya tatu ilikuwa safi zaidi na maelezo yake
 
nyerere, the list corrupt g'ment
mwenye, mkapa, kikwete, they are equal and trhe highest corrupted g'ments.
 
Unatakiwa kupanga hizi awawamu kutoka iliyoongoza kwa rushwa hadi iliyokuwa na rushwa kiduchu kwa mfano imekithiri ya pili , ikaja ya nne ikaja ya pili na ya tatu ilikuwa safi zaidi na maelezo yake

JF inazidi kupoteza umaarufu kutokana na watu kama wewe kuuliza maswali mepesi sana kama haya!
 
JF inazidi kupoteza umaarufu kutokana na watu kama wewe kuuliza maswali mepesi sana kama haya!

hizi awamu zina jumla ya miaka arobaini, hivyo si kila raia ana uelewa sawa na mwenzie juu ya nini kilichotokea katika vipindi hivyo kwa akili ndogo unayodhani kubwa unakimbilia hoja dhaifu fanya analysis. Hivi unaelewa ufisadi uliokuwepo Enzi ya Nyerere mpaka Sokoine akaingilia kati na hali ilivokuwa ngumu katika kupata bidhaa? Mwana jf anatakiwa kuwa critical sio simple mind na umaarufu, kama ni umaarufu facebook ni zaidi ya jf tujitafakari
 
Ni sawa na ununue gazeti la Uhuru na ukute leading story uk wa kwanza; SHETANI ATOA TAMKO: NACHUKIZWA SANA NA DHAMBI ZA WANADAMU.
 
Ameamua kujipanga kukemea hadharani wale wote wanaojihusisha na rushwa na ufisad. Amedai kuwa wanalitia aibu taifa letu.
Hiyo nimeipata kutoka kwa wapambe wa Lowassa a.k.a team Lowassa kuwa mzee wao kaamua kuja na style hiyo ya kukemea rushwa na ufisadi pengine labda inaweza kumtoa kimasomaso kwenye kinyang'anyiro cha urais 2015 October.
mwaka 2010 kikwete alianguka jangwani wakiti anaanza kukemea rushwa huku lowasa akiwa meza kuu
 
Duh imebidi nicheke, na Wadanganyika watamsiikiliza au?
 
Wana JF,

Naomba tujadili kidogo kuhusu huyu mheshimiwa Edward N Lowasa anayetaka Watanzania tumpe dhamana ya kuwa Rais.

Mimi ninavyoweza kumuelezea kwa kifupi; huyu mheshimiwa ni mtu anayejali sana makundi yote ya dini lakini tatizo kubwa ambalo analo ni kuwa muumini wa ufisadi.

Kipindi chote bungeni tangu astaafu uwaziri mkuu, sijawahi kumsikia akishiriki kutoa hoja au maoni juu ya mijadala ya ufisadi bungeni au kwenye hadhara yoyote.

Tatizo kubwa kwa sasa nchini mwetu ni usimamizi mbaya wa mali ya umma, kukithiri kwa rushwa, kubebana , madawa ya kulevya, kutojali wakulima na wafugaji, kutochukua hatua kudhibiti wizi kwenye halmashauri za wilaya, miji, manispaa na jiji, huduma duni kwenye afya, elimu na maji .

Kama tunavyojua ufisadi na rushwa vimekithiri sana tanzania.Je mheshimiwa Lowasa akiwa Rais ataweza kweli kuitokemeza au ndo itaota mizizi hadi tukome kuzaliwa tanzania na kuwa masikini wakutupwa huku yeye na team Lowasa wakizidi kujineemesha? Nawaza tu.

Mungu atupe ufahamu Watanzania na atuache ushabiki kama 2005 na tufanye maamuzi sahihi kwa ajili yetu wenyewe si kuneemesha kikundi fulani.
 
hivi kumbe ufisadi​ ni dini?
 
Naomba sana uniwie radhi mzee wangu Lowasa, ikiwa haya maneno yanaweza kukukwaza kwa namna moja au nyingine. Ndugu watanzania na chama cha mapinduzi napenda kutoa ushauri Lowasa hawez kuleta umoja wakitaifa wala kupambana na ufisad ila malumbano na maugomvi ktk chama na taifa. Hamtaki endeleen ila tutalia.
 
Back
Top Bottom