Kwanini Levina Mukasa alijiua UDSM?

Kwanini Levina Mukasa alijiua UDSM?

so sad, kundi hilo liliendelea hadi miaka ya 2000 japo hali ilibadilika kiasi kwani hadi wanaume walikuwa wakitolewa Punch. Pia kuna wanawake walianzisha kundi lao "MOTHER OF THE LAND" Walikuwa wakiwatoa wanaume sana sana japo haikuwa strong kama PUNCH Original. Wengi sana walifikia uamuzi wa kukatisha maisha yao japo takwimu sahihi zinaweza zisiwepo. Safari ya Usawa wa Kijinsia na kumaliza unyanyasaji wa kijinsia ni ngumu sana kwa kuwa wapo wanaofanya hivyo bila kujua ni unyanyasaji na wapo wanawake wanaofurahia na kuchekelea kwa kuona mwanamke mwenzie ananyanyasika. Mungu azilaze pema roho za marehemu walitutangulia kwa unyanyasi wa kijinsia wa aina yoyote.
They were nothing but bunch of lunatics who thought tht they can run the world with thr stupid ideas they so called patriotism.##hope they rot inhell for Levina's sake and all the victims##.
 
Mbona una wasiwasi sana na miaka? Ni Namba tu hizo. Nikikuambia kuwa mie ni wa Mwaka 1958 itakuwa imebadilisha nini wewe Mngoni? Mwisho wa siku, ng'ombe hazeeki maini bana. Ndiyo kwanza natafuta Mchumba aliyemaliza Secondary School (A level) na nifunge naye ndoa. Wewe umamilza lini? Utakuwa umeshavuka umri wa kuolewa na SIKONGE 🙂

kwani wewe ni wa mwaka gani jamani
 
Yalitokea hapa hapa Tanzania tena Dar es Salaam, wakati wa awamu ya mwisho ya Rais Mwinyi.

Haijawahi kutokea wanafunzi wakorofi kama hawa ninaowaeleza wa Tambaza, sijui chanzo kilikuwa ni nini haswa!!!

Mkuu umenikumbusha battle ya Tambaza Vs Azania. Kule Moshi kulikuwa na wababe wa Kibohehe / (Kolila?) na Kilimanjaro Boys. Kuna kipindi pia Lyamungo Vs Umbwe, Moshi Tech Vs Old Moshi. Ilikuwa full burudani.
 
Mbona una wasiwasi sana na miaka? Ni Namba tu hizo. Nikikuambia kuwa mie ni wa Mwaka 1958 itakuwa imebadilisha nini wewe Mngoni? Mwisho wa siku, ng'ombe hazeeki maini bana. Ndiyo kwanza natafuta Mchumba aliyemaliza Secondary School (A level) na nifunge naye ndoa. Wewe umamilza lini? Utakuwa umeshavuka umri wa kuolewa na SIKONGE 🙂

Hehehe Smile huyu jamaa kakubanika eksipayaring date. Hajui wewe ni under 18 an sealed?

Sikonge asante kwa maelezo , nimefurahia sana kukusoma. Kama kuna zaidi usitunyime, natamani kujifunza zaidi kuhisiana na hili swala.
 
Last edited by a moderator:
Punch iliendelea hadi miaka
ya tisini na Tano...baada ya hapo vinara wote wa PUNCH
walinyorodeshwa...Kulikuwa na operesheni maalum ya kuimaliza kabisa
ambayo ilishirikisha pia watu wa usalama....

Walaaniwe maisha,R.I.P dada Levina hii thread imenisikitisha na kunisononesha sana,wahusika wa PUNCH bado wako hai kweli?
 
Mbona una wasiwasi sana na miaka? Ni Namba tu hizo. Nikikuambia kuwa mie ni wa Mwaka 1958 itakuwa imebadilisha nini wewe Mngoni? Mwisho wa siku, ng'ombe hazeeki maini bana. Ndiyo kwanza natafuta Mchumba aliyemaliza Secondary School (A level) na nifunge naye ndoa. Wewe umamilza lini? Utakuwa umeshavuka umri wa kuolewa na SIKONGE 🙂
inaelekea huku kuna watu wa kizazi cha nuhu humu! shikamoo lakini mzee mwenzangu
 
Nigeria ni worse...wale ni mafia..wanaua...na wana mitandao mpaka ya watu wakubwa kwenye siasa na serikalini...

Nina rafiki yangu kwao mambo safi wazazi wake waliamua akasome Benin kuhofia usalama wake...

Ndio maana wanaigeria wenye ela watoto wao wanasoma majuu...hali ni mbaya sana; na hawachagui jinsia kama punch...hata wanaume wananyanyasa tu...

Haya mambo Nigeria yapo bado nafikiri.Wanajiita Cult members.Huko Hata wanawake wanazo Cult zao.Shukrani kwa serikali ilifanikiwa kuiua hiyo Puch hapa Tanzania.
 
Pia kuna type ya wanawake wananatatizo liitwalo "masochisim" hivyo huitwa macho women, hawa huderive sexual satisfaction kwa kufanyiwa violance kama kubwakwa!, hivyo hata untake vipi, hakubali, ila anajilengesha ili utumie force, ikiwemo kumvutia chumbani kwako, kumvua nguo kwa nguvu, akiona zinataka kuchanika, anaachia zitoke, then anaishikilia pichu sometimes unaichana!, akilala kitandani, anafunga miguu ufanye kazi kuifungua!, ukifanikiwa, utamnote she enjoys very much!, tena anajiachia haswa!. Wanawake hawa wanataka kuwa "concqured", ili wamkubalie mtu, lazima awe "the conqueror", hawa "male chauvinism", wakikutana na "macho women" wana blend.
Umenifurahisha sana hapa umenikumbusha mbaaali kweli...
 
Hahahaa, Lizzy, huyu Smile ni Mtani wangu. Anataka sana kuolewa SIKONGE na Wanyamwezi wa huku. Ingawa yeye ni Mchaga, ila hata sijui utani na Wanyamwezi kaanza lini, ila basi tu imetokea Mnyamwezi kawa Mpare kwa kuFIKIA. Huu Mwaka hauishi, lazima mtu awe kama SAYARI ya SATURN...... Ili akubali kiharaka haraka, unamnyanyasa kwanza KIJINSIA kama Mzee Punch vile.... Mwisho, kumbuka sisi Wahandisi hata kutongoza hatujui, si umesoma mwenyewe? Hata kama ana miaka 18 na mie nina 58, unamnyanyasa hadi anajiona ni yeye ana 58 na mie nina 18 na kuwa namfanyia MSAADA tu kuwa naye, heheheee 🙂

1saturn.jpeg
images

Hii story kwa kweli nimeiandika kwa jinsi nilivyokuwa naikumbuka kwani wakati ikitokea, nilikuwa bado na kamasi puani.

Hehehe Smile huyu jamaa kakubanika eksipayaring date. Hajui wewe ni under 18 an sealed?

Sikonge asante kwa maelezo , nimefurahia sana kukusoma. Kama kuna zaidi usitunyime, natamani kujifunza zaidi kuhisiana na hili swala.
 
Hahahaa, Kizazi cha Nuhu? Labda sasa naelewa kwa nini mwaka juzi nilijipeleka mwenye huko Uturuki kuangalia Mlima ARARAT. Hakuna cha ajabu huko ukiacha barafu ambayo hata hapa Tanzania, Mlima Kilimanjaro ipo. Sasa kitu gani kilinivuta kwenda huko? Labda kuangalia ile SAFINA yetu tuliyotengeneza na Nuhu ambayo inasemekana ipo kwenye mlima huo.

Mwisho, hizi Shikamoo, huwa ni dalili kubwa sana ya kumwambia Mwanaume, "Hebu ishia Babaa'ngu..." Hivyo, siku nyingine zielekeze kwa wifi yako Kaunga , siyo mimi bana. Mie bado kabisa umri unaita.

wpe24.jpg

inaelekea huku kuna watu wa kizazi cha nuhu humu! shikamoo lakini mzee mwenzangu
 
Last edited by a moderator:
Binafsi nilivyoiona PUNCH hakikuwa chombo cha wanafunzi peke yao. Kama nilivyosema awali, kwanza lugha iliyotumika katika makala zake ilionekana kusheheni ujuzi wa fani mbalimbali (madaktari, wahandisi, waandishi wa habari, wachumi, polisi, usalama wa taifa, n.k). Kuna matoleo mengine yalikuwa ni ya uchunguzi wa kina wa jambo (investigative), kiasi kwamba mwanafunzi wa kawaida asingekuwa na uwezo wa kifedha kukamilisha uchunguzi huo. Makala nyingine ziliianika serikali au taasisi zake, jambo ambalo lilikuwa gumu kuwezekana pasipo mkono wa nje ya Mlimani.

Lingine linaloonesha kuwa PUNCH hawakuwa wanafunzi peke yao, ni ule uwezo wa kutundika makala hizo sehemu nyeti, kama jengo la utawala pasipokushikwa wahusika.

PUNCH vile vile ilikuwa ni vent ya kuikosoa serikali katika mazingira ya chama kimoja na uchache wa vyombo vya habari. Enzi hizo watu, wakiwemo watawala, walipanda magari kuja Mlimani kusoma matoleo ya PUNCH.

Nakiri kabisa kuwa PUNCH ilikuwa na madhara ya kibaguzi (hasa kwa wasichana-waliokuwa wachache vilevile), lakini kuna na mambo mazuri (postive) ambayo PUNCH imechangia katika ustawi wa Taifa hili.

Nguvu ya PUNCH nilivyoiona, lazima ilikuwa na patrons wenye nguvu, nje na ndani ya Chuo, ingawa sisemi Shivji alikuwa mmoja wao.

Mzee PUNCH alikuwa mdaku tu. Nakumbuka miaka ile ya 1990s alikuwa anaandama watu binafsi kwa sababu zake mwenyewe.
 
Hahahaa, Kizazi cha Nuhu? Labda sasa naelewa kwa nini mwaka juzi nilijipeleka mwenye huko Uturuki kuangalia Mlima ARARAT. Hakuna cha ajabu huko ukiacha barafu ambayo hata hapa Tanzania, Mlima Kilimanjaro ipo. Sasa kitu gani kilinivuta kwenda huko? Labda kuangalia ile SAFINA yetu tuliyotengeneza na Nuhu ambayo inasemekana ipo kwenye mlima huo.

Mwisho, hizi Shikamoo, huwa ni dalili kubwa sana ya kumwambia Mwanaume, "Hebu ishia Babaa'ngu..." Hivyo, siku nyingine zielekeze kwa wifi yako Kaunga , siyo mimi bana. Mie bado kabisa umri unaita.

wpe24.jpg
ahahaaaa shikamoo bana.by the way uliona safina?
 
Khaaa, Kibohehe. Hii shule, wengi wao wamefanikiwa sana kimaisha ingawa ni MATAPELI wa kutupwa. Sijui ilikuwa na nuksi gani hii shule. Kibohehe walai..... (hapa naongea kama Msenegali).
Mkuu umenikumbusha battle ya Tambaza Vs Azania. Kule Moshi kulikuwa na wababe wa Kibohehe / (Kolila?) na Kilimanjaro Boys. Kuna kipindi pia Lyamungo Vs Umbwe, Moshi Tech Vs Old Moshi. Ilikuwa full burudani.
 
Kama hiyo ni SAFINA, basi kweli niliiona. Next time ukishakuwa Smile SIKONGE, ntakupeleka huko na ukishatoka huko, utaenda kupata adhabu, kulala siku mbili ndani ya hotel TITANIC.
ahahaaaa shikamoo bana.by the way uliona safina?
 
Kama hiyo ni SAFINA, basi kweli niliiona. Next time ukishakuwa Smile SIKONGE, ntakupeleka huko na ukishatoka huko, utaenda kupata adhabu, kulala siku mbili ndani ya hotel TITANIC.
aisee mimi sithubutu kurusha mguu wangu kwa mnyamwezi tena! hata uniambie utanipeleka wapi acha niishie kutalii mlima kilimanjaro na misitu yake basi!....khaaa kuna watu wana roho ngumu kama paka bwana
 
Back
Top Bottom