Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,392
- 8,295
Hawa Punch hawakuwa na adabu kabisa. Nakumbuka waliwahi kumpanchi hata mkuu wa nchi mwaka wa 1995. "It was so embarrassing!" :embarassed2:
unataka kusema ulikuwepo duniani enzi hizo?Miaka ya mwishoni mwa 80 na mwanzoni mwa 90 karibu taasisi nyingi za elimu zilikuwa na makundi kama haya.
Wanafunzi wengi haswa wa kiume walikuwa na makundi ya siri au yanayojulikana na lengo kubwa la makundi haya ilikuwa ni kufanya tu vitendo vya kihuni na haswa kwa wasichana au wanawake.
Wengi wanaweza wakawa wanaikumbuka Tambaza(WU-TAMBA CLAN) ya wakati huo kabla wanafunzi wake hawajasambazwa mashule mengine na O-Level kuvunjwa rasmi.
Shule kama Ilboru ilikuwa na makundi ya wanafunzi wavuta bangi ambao walijitenga na kuishi katika bweni moja kiasi kwamba mwanafunzi mgeni ukiingia huko ni kama umepelekwa gereza la Sona na kukutana na kina Theodore Bagwell (T-Bag).
yaani huyu dada angekuwa headmistress somewhere sasa na familia yakeHaya mambo Nigeria yapo bado nafikiri.Wanajiita Cult members.Huko Hata wanawake wanazo Cult zao.Shukrani kwa serikali ilifanikiwa kuiua hiyo Puch hapa Tanzania.
unataka kusema ulikuwepo duniani enzi hizo?
jf bana ..usiwe unaamini kila kitu.halafu unavoongea kwa maconfidence sasa mtu amabae hakujui hawezi kuamini umezaliwa miaka ya 90 !Waona mbali sana eenh...🙂
hebu nieleze taratibu walikuwa wanafanyeje eti?Hawa Punch hawakuwa na adabu kabisa. Nakumbuka waliwahi kumpanchi hata mkuu wa nchi mwaka wa 1995. "It was so embarrassing!" :embarassed2:
Namkumbuka sana huyu dada yangu, Levina Mukasa. Alikuwa Mtanzania kutoka maeneo ya Kyaka, Misenyi. Alikuwa anachukua shahada ya Ualmu. Alikuwa mtulivu sana kwa aiba na kwa matendo.
Nakumbuka siku aliyofika Getruda Mongela akahutubia akiwa amesimama juu ya HIGH TABLE, meza iliyokuwa katika cafeteria ya Manzese, na ilioyotumiwa exclusively na wanafunzi wa Engineering mwaka wa nne. Mama Mongela alisema kuwa alikuwa amekuja kuizika PUNCH.
Jioni yake Profesa Shivji aliweka mdahalo usiokuwa rasmi nje ya cafeteria ya Manzese na kupinga kauli ya Getruda na kumbeza kwamba " You can't declare resolution of what you didn't establish" Wiki iliyofuata PUNCH akatoa toleo lingine likimtukana Getruda matusi yote.
Ndipo baada ya hapo serikali ikatangaza kitita cha Sh Mil 10 kwa yeyote atakayempata mshirika yeyote wa PUNCH. Baada ya hapo ilitoka makala ndogo ya PUNCH iliyotundikwa Hall One. Kisha PUNCH ikafifia kabisa.
EMT umenikumbusha mbali sana.
Miaka ya mwishoni mwa 80 na mwanzoni mwa 90 karibu taasisi nyingi za elimu zilikuwa na makundi kama haya.
Wanafunzi wengi haswa wa kiume walikuwa na makundi ya siri au yanayojulikana na lengo kubwa la makundi haya ilikuwa ni kufanya tu vitendo vya kihuni na haswa kwa wasichana au wanawake.
Wengi wanaweza wakawa wanaikumbuka Tambaza(WU-TAMBA CLAN) ya wakati huo kabla wanafunzi wake hawajasambazwa mashule mengine na O-Level kuvunjwa rasmi.
Shule kama Ilboru ilikuwa na makundi ya wanafunzi wavuta bangi ambao walijitenga na kuishi katika bweni moja kiasi kwamba mwanafunzi mgeni ukiingia huko ni kama umepelekwa gereza la Sona na kukutana na kina Theodore Bagwell (T-Bag).
Namkumbuka sana huyu dada yangu, Levina Mukasa. Alikuwa Mtanzania kutoka maeneo ya Kyaka, Misenyi. Alikuwa anachukua shahada ya Ualmu. Alikuwa mtulivu sana kwa aiba na kwa matendo.
Nakumbuka siku aliyofika Getruda Mongela akahutubia akiwa amesimama juu ya HIGH TABLE, meza iliyokuwa katika cafeteria ya Manzese, na ilioyotumiwa exclusively na wanafunzi wa Engineering mwaka wa nne. Mama Mongela alisema kuwa alikuwa amekuja kuizika PUNCH.
Jioni yake Profesa Shivji aliweka mdahalo usiokuwa rasmi nje ya cafeteria ya Manzese na kupinga kauli ya Getruda na kumbeza kwamba " You can't declare resolution of what you didn't establish" Wiki iliyofuata PUNCH akatoa toleo lingine likimtukana Getruda matusi yote.
Ndipo baada ya hapo serikali ikatangaza kitita cha Sh Mil 10 kwa yeyote atakayempata mshirika yeyote wa PUNCH. Baada ya hapo ilitoka makala ndogo ya PUNCH iliyotundikwa Hall One. Kisha PUNCH ikafifia kabisa.
EMT umenikumbusha mbali sana.
jf bana ..usiwe unaamini kila kitu.halafu unavoongea kwa maconfidence sasa mtu amabae hakujui hawezi kuamini umezaliwa miaka ya 90 !
sio cheti tu nilikuwepo siku unazaliwaUna cheti changu cha kuzaliwa ama?
Hii unanikumbusha Azania kulikua na jamaa wanajiita "aza pound"...akina chapa mamba..mdudu...kutwa kunyanyasa wadada Wa jangwani na zanaki ..
sio cheti tu nilikuwepo siku unazaliwa
yaani huyu dada angekuwa headmistress somewhere sasa na familia yake
rip levina