Kwanini Levina Mukasa alijiua UDSM?

Kwanini Levina Mukasa alijiua UDSM?

Punch died a Natural Death...., Iliuliwa na Wakati na Nyakati..... In its place sasa hivi ndio kuna kina Kigogo n.k and in its darkest side kina ZeUtamu na vitu kama hivyo....
Kila zama na vitabu vyake....

Uzalilishaji, bullying n.k. lazima utashamiri kama jamii husika hautaukemea na kuuona kwamba haufai..., all in all sijwahi kuwa proponent wa personal attacks (iwe kwa kalamu au physically) am all for issues; Kwahio Punch iliyokuwa ikiwaanika viongozi walafi na walaghai na kushinikiza usawa katika keki ya taifa am all for that (maybe it was meant to be the voice of the voiceless)
 
Hii unanikumbusha Azania kulikua na jamaa wanajiita "aza pound"...akina chapa mamba..mdudu...kutwa kunyanyasa wadada Wa jangwani na zanaki ..
Siku ya kwanza nahamia aza boy sikua na sare basi nikavaa sare yangu ya ruvu srkondari na head master akaniruhusu ili kesho mshua aniletee sare hosyel!!!!Mabraza wanifuata DOGO VIPI????nikawaambia sina sare wakanipa nguo zao tishet na suruali!!!!Nakumbuka walikua mabro wa daz nundaz family!!!🤣🤣🤣🤣
 
Hahaha!! hayo majina ukiyasikia tu unajua kabisa si salama

Kuna siku mwaka 1993 au 1994 wanafunzi wa WU-TAMBA walitembeza mkong'oto karibia shule zote za msingi na sekondari.

Nakumbuka siku hiyo ilikuwa ni hekaheka mjini hapa, wanafunzi na waalimu walipigwa bila kusahau mali za shule nyingi ziliharibiwa.
Kuna mmoja baadae alikua memba wa kikosi cha mizinga na kina dogo hashimu na kalapina ana midevu kibao huku anasoma class🤣🤣🤣🤣 walikua wanamwita shetani enzi hizo za chai maharage 🤣🤣🤣!!!Sema sie tunaingia aza boy tambaza ilikua imeshavunjwa ila sekeseke hilo nalikimbuka tulikua madogo wa primary pande za muhimbili🤣🤣🤣🤣
 
Nilisoma O level Tambaza na A level Ilboru, Tambaza ya enzi hizo, bangi ilivutwga wazi wazi aneo linaloitwa summit, ila wengi wa wavuta bangi wale wa Tambaza, walitoka na DIV 1 kali!.

Sasa kuna akina sisi nasi tulitamani DIV 1, hivyo nilipoenda Ilboru, in seach of DIV one, nikajaribu ile makitu!. Very unfortunately, mimi ilinituma vibaya!, badala ya ku concentrate na masomo, ilinituma mambo mengine!, na shule yetu ilikuwa boys only!. Ilibidi kuingia mtaani kutafuta na nikikosa nilitembea hadi Mianzini kwenda "kununua!". Just imagine pori lile la Ilboru, umbali ule mpaka town, usiku wa manene, mwanafunzi ana cross boda peke yake!.

Wenzangu wakanieleza bangi inakutuma kile unachofikiria na kukinuizia, nikajaribu tena na tena kwa kujifikirisha masomo na kunuizia, ile kupiga tuu puff ya kwanza, inanituma mawazo yale yale mabaya yalinijia hivyo nikaacha kabisa! .

Ilifikia kiwango cha hata nikiisikia tuu harufu mwingine anavuta, mimi mwili unasisimka kuhitaji "mambo yetu yalee!" hivyo nikaacha kabisa, unless once in a while for pleasure purpose only!.

Ila hao hao waliokuwa wavuta bangi wa enzi hizo, sasa hivi wengi wako very successful na sidhani kama bado wanapuliza!.

Wanafunzi wanaosoma boys only, wanakabiliwa na tatizo la kisaikolojia liitwalo la superiority complex iitwayo "male chauvinism", wanajiona wao ndio wao, wao ndio zaidi!, hivyo wanapomtaka msichana, hujiona its their right kumpata, na akikataa pia its right kumbaka!. Wanawake wengi hubakwa ila hawasemi kuepuka aibu na mpaka leo mpaka kesho wanawake kibao hubakwa na ndugu zao, wapenzi wao, na waume zao, na hawalalamiki popote kuepuka aibu na hubaki kuwa siri za familia baadhi ya mahusiano huanza kwa kumbakwa kwanza ndipo kisha hupenda!.

Kuna type ya wanawake wananatatizo ya kisaikolijia liitwalo "masochism" hivyo huitwa macho women, hawa huderive sexual pleasures na satisfaction kwa kufanyiwa vitendo vya ukatili, violence na sadism kama kubakwa!, hivyo hata umtake vipi, hakubali, kusema yes ila atajilengesha na kujiegesha egesha ili utumie force, ikiwemo kumvutia chumbani kwako, kumvua nguo kwa nguvu, akiona zinataka kuchanika, anaachia zitoke, then anaishikilia pichu sometimes unaichana!, akilala kitandani, anafunga miguu ufanye kazi kweli kweli kuifungua!, ukifanikiwa, utamnote she enjoys very much!, tena anajiachia haswa!.

Wanawake hawa wanataka kuwa "conquered", ili wamkubalie mtu, lazima awe "the conqueror", sasa hawa "male chauvinist", wakikutana na "macho women" wana blend.

Kuna type ya wanawake wanainatwa "feminine" hawa thamani yao ni uanamke wao, hawa hata mfuate vipi, uonyeshe unampenda vipi, kama hajakupenda, hawakubali ng'o mpaka akupende yeye!. Hivyo wanaposema no and they mean no! , wanawake wengi husema no ya mdomoni tuu kutokana na inhibitions tuu lakini moyoni, they mean yes!.

Hawa wanawake wa no ya no kweli, thamani yao ni "uanamke wao!", ukimfuata fuata huku hakupendi, anakuona kero, una mghasi!. Mwanamke wa type hii, akikutana na hawa wanaume ma chauvinists wa "male chauvinism", its trouble!. Mmoja anaposema no, mwingine anadhani ni no ya yes huku mwingine ni no ya no.

Marehemu Levina Mukasa was this type, ya "feminist!". Alipokerwa, alichukua hatua zote za kuripoti, kunakohusika bila kupata msaada wowote!, take it from me, hiyo siku alipofight, atakuwa "alibakwa!" hakusema kuepuka aibu, ikaishia kusemwa kuwa she was only harrased not abused!.

Kwa vile kitu cha thamani kubwa kuliko kitu kingine chochote kwake was her "feminity" na kuna mtu kaja kujichukulia "feminity" yake kwa nguvu as if ni mali yake!, then akajisikia she was degraded to the bottom line, hivyo life kwake has no meaning anymore, haina thamani tena!, akaamua kuliko kuishi na machungu, bora ajiue!.

NB. Watu wote wanao commit suicide, hutanguliwa na msongo wa mawazo, by the time anauchukua uamuzi wa kujitoa roho, anakuwa under the state of "pseudo insanity!" vyou vya wenzetu wana ma psychoanalyst ambao wange note change of atitude ya kuwa mkiya kuliko kawaida, wange muwahi na kumuokoa!. Ila pia wanaowasababishia haya binadamu wenzao nao huwa hawabaki salama!, usually "karma" takes care of them.

Ila pia pale UDSM, watu wa Engineering ndio siku zote hujiona vidume!, mimi nimeingia chuo enzi za Prof. Luhanga, by that time, wale top management watano wa juu, 4 kati yao ndio walikuwa ma engineer, mmoja tuu ndio alikuwa fani nyingine!, sikujihusisha kabisa na siasa za Daruso, ila engineering ndio walikuwa na upper hand!. Nakumbuka kuna wakati nilimpigia kampeni dada mmoja wa Law ili awe VC, we spent much, lakini alishindwa na mtu wa engineering!.

Rip Levina Mukassa, shujaa mdogo mwanamke!.

Paskali
Levina Mukasa akumbukwa Miaka 36 ya Tamwa na Levina Mukasa - HabariLeo
P
 
I see . . . Bado tuna safari ndefu sana ya kuondoa unyanyasaji wa kijinsia, tena huu wa kisaikolojia ndio mbaya sana. Kuna wanamme kazi yao ni kuwa 'degrade' wanawake, hasa wanaona wana 'strength' fulani zaidi yao.

Anyway, tukipewa fursa sawa kwa wote kuelimika itasaidia.

Can you imagine i grew up believing mwanamke kubakwa kajitakia mwenyewe na wala si kosa? Kuepusha migongano na kumpa favor mwanamke uliyembaka ni 'KUMUOA'
Madam! Nataka kujua upo??
 
Niweke sawa kwenye huu uzi. Nimeangalia karibu comments zote. Naona wahandisi wengi waliokuwapo udsm wamekaa kimya.

Huyu mnaye mwita Omary Saloti hili jina si sahihi. Jina lake kamili llikuwa ni Omary Sarota. Mtu tokea mkoa wa Mara. Labda kabila ni mkurya, mwanafunzi mwaka wa pili Mechanical Engineering wakati huo.

Omary Sarota kwa sasa ni marehemu. Ilisemekana alifariki si muda mrefu baada ya Levina kufariki.

Kwa bahati mbaya kifo hiki cha kusikitisha cha Levina kilikuwa politicised ambapo nafasi ya kushutumiwa na wana jamii wa udsm wote ilipokwa. Bila shaka ilikuwa kutokana na ukweli huu ma nguli kama kina Prof. Shivji walitokea kama inavyoelezewa kujaribu kutenganisha 'vitivo na punch' na pia 'vitivo na uhalifu wa wanafunzi mmoja mmoja'.

Binafsi nilikuwa mlimani kipindi hiki, sikuwahi kumsikia Victor; wala Sarota; wala Levina kabla ya kifo cha kusikitisha cha Levina kutokea.

Kama tulivyokuwa wengi wengine, tuliona mengi yaki unfold baada ya kifo kile. Kwa hakika ilihitaji watu wenye busara haswa, kupisha maafa zaidi ambayo yangeweza kutokea. Katika watu hao Prof. Shivji naamini alikuwa mmoja wao.
Naweza pata wapi kisa cha Levina?
 
Huyo Omari Saloti yupo wapi sasa hivi? Hakuna uwezekano wa kushtakiwa kwa sasa haki itendeke?
 
Back
Top Bottom