Kwanini Levina Mukasa alijiua UDSM?

Kwanini Levina Mukasa alijiua UDSM?

Mabweni yaliyokithiri kwa bangi Ilboru yalikuwa Meru na Oldonyo. Ilikuwa ukipangiwa kuishi ktk mabweni haya ni sawa na jehanam.

Exactly mkuu ila nadhani Oldonyo ilikithiri zaidi, kuna wakati zile cubics za mwishoni kabisa (kama unakumbuka Oldonyo haina partitions kama Meru, Mawenzi, Kibo au Hanang) watemi walizigeuza zikawa kama gym vile.

Huko ni mwendo wa kuwasha bangi na kupiga chuma (makopo ya zege).
 
Shivji alisema kisheria Mongela alipotoka kusema anaizika PUNCH kama hakuwa anajua kuanzishwa kwake. Kwa maana nyingine alitaka Getruda aeleze alivyoifahamu PUNCH kiasi cha kutangaza kifo chake.

PUNCH lilikuwa dude zaidi ya tunavyoiongolea sasa. Lugha iliyotumika ilionesha moja kwa moja kuwa ni jopo la wanataaluma wa fani tofauti waliounda chombo hicho. Fedha zilizotumika kutoa toleo moja, zilikuwa ni nyingi mno. Mtu alichunguzwa tangia kunyonya mpaka chuo kikuu.

Ingawa kina dada waliathirika zaidi PUCHJ ilimgusa kila mtu kuanzia viongozi wa nchi, waadhiri, wanafunzi wa kike na wa kiume, n.k. I could say it had prons and cons. Mavazi kama kata K, vitop, kuvaa kapelo cafeteria, mapenzi ya hadharani, havikuwepo enzi za PUNCH. Kiasi Fulani ilisaidia kutunza nidhamu, mbali na madhara yake.

RIP Levina.
 
Yaah! Nilishi Oldonyo O-level. Ilikuwa inaitwa wodi kwa sababu hakukuwa na partion. Cubics zilikuwa ni store za bangi na hakuna alikuwa anasuruhusiwa kuingia mle except wavutaji tu. Form one unaweza kuingia mle kama walikutuma kuwachukulia maji ya moto kwa mzee Alfayo (jikoni) short of that utaumia. Anyway, maisha ni magumu katikal evel ya ordinary. Too much bulling. Yale mavuta bangi mengi yanafeligi mitahani ya mwisho, sijui yanaendaga wapi baada ya hapo na bangi zao.
 
Shivji alisema kisheria Mongela alipotoka kusema anaizika PUNCH kama hakuwa anajua kuanzishwa kwake. Kwa maana nyingine alitaka Getruda aeleze alivyoifahamu PUNCH kiasi cha kutangaza kifo chake.

PUNCH lilikuwa dude zaidi ya tunavyoiongolea sasa. Lugha iliyotumika ilionesha moja kwa moja kuwa ni jopo la wanataaluma wa fani tofauti waliounda chombo hicho. Fedha zilizotumika kutoa toleo moja, zilikuwa ni nyingi mno. Mtu alichunguzwa tangia kunyonya mpaka chuo kikuu.

Ingawa kina dada waliathirika zaidi PUCHJ ilimgusa kila mtu kuanzia viongozi wa nchi, waadhiri, wanafunzi wa kike na wa kiume, n.k. I could say it had prons and cons. Mavazi kama kata K, vitop, kuvaa kapelo cafeteria, mapenzi ya hadharani, havikuwepo enzi za PUNCH. Kiasi Fulani ilisaidia kutunza nidhamu, mbali na madhara yake.

RIP Levina.

So ndo ilikuwa KKK ya mlimani wakati huo na ilikuwa nadhumuni lipi na kinanani walikuwa ma founder wa hii?...kati ya maswali ya kujiuliza huenda hata wakina Ulimboka na wote waliopata mateso ya kinyama pale mabwepande ni source kama sio product ya PUNCH.
 
I see . . .
Bado tuna safari ndefu sana ya kuondoa unyanyasaji wa kijinsia, tena huu wa kisaikolojia ndio mbaya sana. Kuna wanamme kazi yao ni kuwa 'degrade' wanawake, hasa wanaona wana 'strength' fulani zaidi yao.

Anyway, tukipewa fursa sawa kwa wote kuelimika itasaidia.

Can you imagine i grew up believing mwanamke kubakwa kajitakia mwenyewe na wala si kosa? Kuepusha migongano na kumpa favor mwanamke uliyembaka ni 'KUMUOA'

Na wengine mpaka sasa wanaamini wanafunzi/watoto wkipata mimba ni kiherehere chao.
 
mkuu bweni gani hilo lilikuwa la wavuta bangi? rungwe nini?

Oldonyo mmenye...Rungwe lilikuwa wodi ya njuka "Form one" ile floor ya chini, halafu ile floor ya juu walikuwa wanakaa jamaa wa Arusha Sec.
 
Mabweni yaliyokithiri kwa bangi Ilboru yalikuwa Meru na Oldonyo. Ilikuwa ukipangiwa kuishi ktk mabweni haya ni sawa na jehanam.

Kulikuwa na mtu anaitwa FRANK TEMU,hanang ndo ilikuwa EMPIRE YAKE.
 
Waliwa-Punch viongozi wengi sana wakati ule. Viongozi wa juu jabisa kutukanwa walikuwa ni Marehemu Balozi/Waziri Hassan Diria (Mzee wa Muche au Mustachi) ambaye walimchora kama Mwanamke na wakaandika HASSA SINDIRIA na akiwa kapiga nzinga wa Sindiria.

Rais Ali Hassab Mwinyi yeye walimchora na kumtukana matusi mazito kabisa ya nguoni na hadi mwenyewe kama Binadamu, alilalamika sana kwa kitendo hicho.

Pichani, Mar. Hassan Diria akiwa Waziri wa mambo ya nje akiwa na Marehemu MJ, uwanja wa ndege Dar es salaam.

michael+jackson+diria.jpg

hebu nieleze taratibu walikuwa wanafanyeje eti?
 
Kama kitu kinaweza sababisha kifo, hakina faida tena hata kama msaada wake ni mkubwa kivipi.

Tukubali tu kuwa watu tunatofautiana sana. Hayo mapenzi ya hadharani, yanaweza kuonekana hadharani kwa kundi fulani lakini si kwa watu wote. Na mara nyingi tabia lazima zitofautiane kwenye jamii.

Mara nyingi katika jamii za kiafrika, makundi ya kurekebisha tabia huwa yanakuwa so harsh kwa wanawake na wanamme wanapewa unafuu.

Anyway, historia iliandikwa na leo tunajifunza, japo ilipoteza maisha ya innocent and naive soul, na familia ilipoteza mtoto, dada, binamu, shangazi n.k.

Ila hiki kisa kilitakiwa kiwe documented vizuri kwa ajili ya jamii angalau tulikotoka, tulipofika na tunakotaka kwenda kwenye suala zima la unyanyasaji wa kijinsia. Sijui TNGP, TAMWA wala TAWLA kama wanakijua hiki.

Shivji alisema kisheria Mongela alipotoka kusema anaizika PUNCH kama hakuwa anajua kuanzishwa kwake. Kwa maana nyingine alitaka Getruda aeleze alivyoifahamu PUNCH kiasi cha kutangaza kifo chake.

PUNCH lilikuwa dude zaidi ya tunavyoiongolea sasa. Lugha iliyotumika ilionesha moja kwa moja kuwa ni jopo la wanataaluma wa fani tofauti waliounda chombo hicho. Fedha zilizotumika kutoa toleo moja, zilikuwa ni nyingi mno. Mtu alichunguzwa tangia kunyonya mpaka chuo kikuu.

Ingawa kina dada waliathirika zaidi PUCHJ ilimgusa kila mtu kuanzia viongozi wa nchi, waadhiri, wanafunzi wa kike na wa kiume, n.k. I could say it had prons and cons. Mavazi kama kata K, vitop, kuvaa kapelo cafeteria, mapenzi ya hadharani, havikuwepo enzi za PUNCH. Kiasi Fulani ilisaidia kutunza nidhamu, mbali na madhara yake.

RIP Levina.
 
Prof . shivji huyu huyu ninayemheshimu aliongea kauli dhaifu kama hiyo? Au alikuwa anamaanisha nini kuhusu saga hiyo labda sikuelewa??!!

Hata mie nimejiuliza maswali mengi sana juu ya kauli hii. Ina maana hii PUNCH was legally established kiasi cha kumzuia Mongera kuiua na kuizika? RIP Levina.
 
Waliwa-Punch viongozi wengi sana wakati ule. Viongozi wa juu jabisa kutukanwa walikuwa ni Marehemu Balozi/Waziri Hassan Diria (Mzee wa Muche au Mustachi) ambaye walimchora kama Mwanamke na wakaandika HASSA SINDIRIA na akiwa kapiga nzinga wa Sindiria.

Rais Ali Hassab Mwinyi yeye walimchora na kumtukana matusi mazito kabisa ya nguoni na hadi mwenyewe kama Binadamu, alilalamika sana kwa kitendo hicho.

Pichani, Mar. Hassan Diria akiwa Waziri wa mambo ya nje akiwa na Marehemu MJ, uwanja wa ndege Dar es salaam.

michael+jackson+diria.jpg
kwani wewe ni wa mwaka gani jamani
 
Nimekosa sababu ya ku LIKE hii mada

Nimejiuliza tu kuwa hivi niki LIKE ndo nitakuwa nimependa aliyofanyiwa huyo dada au nitakuwa nime LIKE kitu gani hasa?

Mambo haya yalikuwepo sana nyakati hizo

Siku hizi naona kama yamefifia sana!
 
Back
Top Bottom