Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,968
- 132,599
Mimi ni wa longi, halafu nikawa sipendi kabisa kuitwa Mzee, hadi my 1st born na 2nd born walipopata watoto, na kuitwa babu!.Ha ha umetisha Kaka....
Hata hivyo jina la babu nimelikataa, nime opt for 'pa' linapunguza kidogo kujisikia mzee.
P