..kijana aliyekwenda chumbani kwa marehemu na kumfanyia fujo alitakiwa kufukuzwa chuo na kupelekwa mahakamani kujibu kesi ya jinai.
..viongozi wa chuo ambao hawakuchukua hatua walipaswa kuchukuliwa hatua za kiutawala na kinidhamu.
..kwenye nchi za wenzetu Makamu Mkuu wa Chuo angelazimishwa kujiuzulu kwa kushindwa kuwasimamia waliokuwa chini yake na kulea tabia mbaya ya unyanyasaji.
NB.
..sheria zetu zinasemaje?
..Je, hakuna uwezekano wa kumfungulia kesi ya jinai Omari Salota ambaye ametajwa kwamba alimvamia na kumjeruhi marehemu?