Hosting 24
Member
- Aug 1, 2019
- 91
- 228
Watu kumbe wamepita!
Kama kuna picha zao zibandikwe kabisa ili tuwajue na mpk kizazi chao kijue maana hiyo laana itaenda mpk 4 generationsWamo humu mkuu waje tu watueleze yote na waombe msamaha tuwasamehe na Mungu atawasamehe.
Serikali ya Ccm ya awamu iliyokuwepo haikuliona hili? Mpaka utamani wangekuepo mpaka leo?Natamani hao Punch wangekuwepo enzi hizi za mzee baba,tuyaone maringo yao daadeki!
Asante sana mie ndie mfufuzi wa Uzi.Naam ndiyo wasomi wetu hao. Huyo Omari na mwenzake Mark laana kali zikatawale maisha yao milele. Washenzi kabisa, unless wawe wamekwenda kuiomba radhi familia yake marhum Levina ikiwa ni pamoja na kudhuru kaburi lake.
Hiki kisa nilikisoma zamani. Shukrani zimuendee aliyefufua uzi.
Hawa wajinga wako wapi siku hizi?Hao Saloti na Victor sijui wanajisikiaje sasa!!?? Hivi familia haiwezi kufungua kesi ya madai Chuo Kikuu au against these people??
Hakuna this day hata mambo ya ubabe shule za boarding au beach hayapo this day ilikuwa ni primitive eraDu pole kwa wazazi waliompoteza binti yao; huenda leo hii angekuwa na nafasi kubwa serikalini na kuisaidia jamii yake na taifa kwa ujumla.
Hivi PUNCH zipo hadi leo? Hizi punch zilikuwa shida sana na mara nyingi nakumbuka zilikuwa zikiwashambulia wanawake ijapokuwa sijui ziilikuwa na malengo gani hasa.
Du long time sana. Enzi zile mtu ukiripoti tu form one unaanza kufikiria mateso na manyanyaso. Kumbe yalikuwa mambo ya kupita tu!Hakuna this day hata mambo ya ubabe shule za boarding au beach hayapo this day ilikuwa ni primitive era
Duh, mimi ni wa 10 years back. Hiyo 1992 nimeshafanya kazi 2 years!.
Unaweza ona baadhi ni viongozi wakubwa serikaliniInasikitisha sana, hao punch nadhani nafsi inawasuta sasa
Rest in peace levina
Duh, mimi ni wa 10 years back. Hiyo 1992 nimeshafanya kazi 2 years!.
P