Kwanini Levina Mukasa alijiua UDSM?

Kwanini Levina Mukasa alijiua UDSM?

Vijana wa sasa hivi ndo maana mnasoma kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu hamjawahi kugoma wala kudai haki zenu, Punch ilikuwa inachangamsha chuo mtu unapata hamasa ya kusoma machapisho yao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kaka mwaka tisini Nilikuwa nasoma form four,Mm si kijana kama unavyofikiri.Huwezi kuunda vikundi visivyo na maslahi ya kitaifa na venye mrengo wa kuwanyanyasa wasichana kiachwe la hasha
 
Omari siloti na mark victor mmo humu najua,Naomba mkuje haraka,dunia siyo mali yenu eeenh mnasikia?Mtupatie maelezo maana kama ulikuwa mwaka wa 4 (1990) maana yake ni mzee above 50 or 50 minimum,una watoto,na mwenzako omari mwaka wa pili 90 nawe ni mzee 48 and above,watoto wenu wa kike wakijiua mtajiskiaje?

Watoto wenu wakifanyiwa exactly the way u treated Levina mtajiskiaje?Mtafurahi?Au mlidhani hamtatoka chuoni?Au mlidhani mtabaki na umri huo huo?Malipo ni hapahapa duniani kwa mungu ni hesabu tu!Mtalipwa Ujira uliostahiki yenu!
 
Naam ndiyo wasomi wetu hao. Huyo Omari na mwenzake Mark laana kali zikatawale maisha yao milele. Washenzi kabisa, unless wawe wamekwenda kuiomba radhi familia yake marhum Levina ikiwa ni pamoja na kudhuru kaburi lake.

Hiki kisa nilikisoma zamani. Shukrani zimuendee aliyefufua uzi.
 
Back
Top Bottom