Vijukuu!Aisee! JF imetuchanganya kabisa na watoto wetu!
Vijukuu!Aisee! JF imetuchanganya kabisa na watoto wetu!
Inasikitisha sana... Mkwawa sitamsahau kaka alikua anaitwa Matunda alikua mbabe hatari.Na kuna shule zilikuwa zinasikika kuwa mwanafunzi wa kike akifika anakuwa ameshachaguliwa na mwanamme, hakuna kusema hapana maana mateso yake hayavumiliki, mojawapo ilikuwa Mkwawa High School