Kwanini Levina Mukasa alijiua UDSM?

Kwanini Levina Mukasa alijiua UDSM?

Miaka 26 sasa baada ya kifo chake, gone but never forgotten! Pumzika kwa amani Dada Levina!
 
Huyo Omary Saloti usikute ni mtu mkubwa serikalini kwa sasa! RIP Levina, nilisikia kisa hiki mwaka huo 1990 nikiwa kidato cha kwanza.! Haikuwa inaingia akilini jinsi hao PUNCH wanavyofanya kazi!
 
Huwa nikiisoma hii story huwa naumia sana R.I.P dada yetu mpenda na ujue wote waliyokufanyia huo unyama siku moja utakutana nao mbele ya Muumba wetu.
 
R.I.P Levina.Ila huwa nayakumbuka maneno ya Mzee PUCH nacheka sana,kama meeting Mzee means death nk.Yaani ilikuwa ilikuwa ni balaa sana enzi hizo sijui siku hizi kuna nini hapo UDSM
 
So sad! Sikuwah kufikiria kma hili kundi lilisababisha majanga kma haya by the way mwaka 1990 nlikua hata sijazaliwa na nakumbuka nikiwa mwaka wa pili 2015 mwalimu wangu Mr. Charles Irigo alitudokeza kiasi kuhusu kundi la PUNCH na INSIDERS. So sad kwakweli......RIP LEVINA
 
Nakumbuka alikuwa wenyeji wa Biharamuro Kagera
. Sio ajabu akawa ndugu na aliyekuwa Mgombea ubunge kupitia CCM katika jimbo hilo.
Ni ndugu yake, na prof Masanja alikuwa mama yake mdogo, naikumbuka sana hii story japo then nilikuwa ndio namaliza form 4, lakini nilikuwa jirani na prof pale darajani
 
So sad! Sikuwah kufikiria kma hili kundi lilisababisha majanga kma haya by the way mwaka 1990 nlikua hata sijazaliwa na nakumbuka nikiwa mwaka wa pili 2015 mwalimu wangu Mr. Charles Irigo alitudokeza kiasi kuhusu kundi la PUNCH na INSIDERS. So sad kwakweli......RIP LEVINA

Aisee! JF imetuchanganya kabisa na watoto wetu!
 
Pascal Mayalla,
Pasco wewe mwanasheria, ila unajisahau!
umetengeneza conclusion ya aina ya personality ya Levina bila hata ya kujua mtazamo wake ukoje! Si kila mwanamke yuko ready kufanya mapenzi anytime! awe "macho" au "feminine" as per your definitions!

kama haja plan kwa sababu yeyote ile, then kukataa kwake si sehemu ya haiba yake iendayo na sexuality!
sababu za kidini, kimila au just standards ambazo mtu ana-set zinaweza kumfanya ajisikie vibaya kufanya mapenzi nyakati Fulani za maisha yake!

Mh! we vipi kijiti sasa hivi bado unkimbizana nacho? Inakuwaje ukiitwa kumsaidia homeboy kuelezea ulikuwa unakitoa wapi?

hivi ukistaafu kijiti, hizi kesi za kuusaidia umma zinakuwa hazikuhusu!-jokes tu
 
Back
Top Bottom