Kwanini Kuongozana na Mkeo iwe noma!?

Kwanini Kuongozana na Mkeo iwe noma!?

Hee kumbe una mitala mmmh ok sasa nimekusoma. Nawajua wote mwaya.

we mwite tu mwaya!
atakuleta ulaya huyo huyo!
mi msinijue!
na ile shopping voucher nilitaka niwatumie situmi tena!
 
ha haaaa.......
Kaizer, Ablessed, snowhite sasa basi kuchakachua uzi wa watu.
Asante sana kwa ukarimu ....
ila kweli siajwahi pokea rushwa
Mwenzangu kwelli tushachakachua siredi ya watu ngoja nirudi kwenye mada. Jamani ni vema wanandoa wakawa wanaongozana si vema kuachana umbali mkubwa. Cha msingi wewe baba mpe vivazi vya nguvu mkeo na nywele atengeneze vizuri uone kama utamkwepa. Mkeo hajabadilika ni yule yule bali kwa sasa sura yake na umbo lake umelizoea wala usijutie uchaguzi wako. Na wewe baba uwe unambeba mtoto usimwachie mama peke yake pengine anapokua kabeba mtoto mgongoni unajisikia vibaya hupendi hata akusogelee.
 
we mwite tu mwaya!
atakuleta ulaya huyo huyo!
mi msinijue!
na ile shopping voucher nilitaka niwatumie situmi tena!
Usinifanyie hivyo nduguyo lol. Najua utarudisha moyo wako na mambo yatakua safi nggoja upoe kidogo. Ntaikutumia debe la karanga , kwani huko mnapata kweli karanga kama za huku. Pia nna mpango wa kukutumia sato wakavu najua utawapenda na umewamiss lol.
 
Mwenzangu kwelli tushachakachua siredi ya watu ngoja nirudi kwenye mada. Jamani ni vema wanandoa wakawa wanaongozana si vema kuachana umbali mkubwa. Cha msingi wewe baba mpe vivazi vya nguvu mkeo na nywele atengeneze vizuri uone kama utamkwepa. Mkeo hajabadilika ni yule yule bali kwa sasa sura yake na umbo lake umelizoea wala usijutie uchaguzi wako. Na wewe baba uwe unambeba mtoto usimwachie mama peke yake pengine anapokua kabeba mtoto mgongoni unajisikia vibaya hupendi hata akusogelee.
ahahhahahha nimeipendaje hii uturn hapo!yani nimekuvutia picha ujue!AHAHAHHAHA!
 
ahahhahahha nimeipendaje hii uturn hapo!yani nimekuvutia picha ujue!AHAHAHHAHA!
Hahahahahaha lol chezeya kuchakachua siredi za watu weye lazima ujistukie upige uturn iliyoenda shule kiasi kwamba uwe kama sio wewe vile.
 
haaa mdogo wangu saudari ningekuwa domo zege nisingekuwa na wake wawili hapa official, AshaDii na mdogowe gfsonwin, chezeya mimi wewe?

Mi apo natoa angalizo tu, manake unajua kwenye ile katiba yetu, lazima mtu apite mapokezi, nimsajili, akaguliwe na Asprin ndo apitishwe kama memba. sasa Ablessed naona yeye bado, atupe na hizo baraka bana. Lady doctor ameruka ruka weeee lakini mwishowe APRin kamweka sawa. Heaven on earth sina uhakika naye pia

He! hivi tunaongea kuongozana na wake zetu sio....ndo kama vileee

Asprin mwenyewe alishindwa kunikagua, aliponiona tu nguvu zote zikamwishia nikaamua nimfungie ndani nikasepa! Sijui kama yupo hai maana sikurudi kumfungulia mpaka leo.
 
Last edited by a moderator:
Ukiona kidume kinamkimbia mkewe ujue kwamba hakijui kutongoza halafu hakijiamini
 
Kuna wenza wengine whether mwanaume ama mwanamke wanatia aibu na karaha kuongozana. Mwingine ni mkorofi, kila saa mgomvi. Ila funga kazi ni anaevuta mdomo. Nimeona kwenye hadhara na hizi smartphones tena, mwenza anakaa kwenye meza watu wote wanacheka na kuongea ila yeye kainamia simu yake kimyaaaa. Si bora aachwe home tu kuliko akamkoseshe mapozi mwenzie?
 
hawa wanaovuta mdomo asilimia kubwa ni wale wenye roho ndogo.
 
acha maskhara wewe....
mume wangu Asprin ni dume la simba....
lazima ukimbie kwa mziki wake...

anyway inaonekana unakimbia sana ukaguzi inabidi kuleta ffu na kazi ya kukukagua tunampa Erickb52

Asprin mwenyewe alishindwa kunikagua, aliponiona tu nguvu zote zikamwishia nikaamua nimfungie ndani nikasepa! Sijui kama yupo hai maana sikurudi kumfungulia mpaka leo.
 
Last edited by a moderator:
Kwa upande wangu naona kuna tatizo pande zote.kwa wanawake tukishaolewa tunajisahau tunajiachia,tunanenepeana,ukikuta mwanamke ambaye alikuwa anajipenda sana kabla hajaolewa na baada ya kuolewa alivyojizira utatamani kulia,hapo mwanaume anaona tabu kutembea nae njiani.Kwa upande wa wanaume wengi wakishaoa na kukaa na mkewe kwa muda wa miaka michache tu wanawachoka na kutaka wake zao wawe wa nyumbani tu na linapokuja swala la mitoko wanataka wanawake wengine sasa unapokuja mtoko unaowalazimu kutoka wote ndo tatizo linapoanzia

Nakuabliana na wewe kwa 100%

Sasa unakuta mwanamke ameshachuja halafu ana mtoto 1 tu!! ameshanenepa haendi saluni tena hajipendezeshi!

Hata akimwambia partner wake waongozane jamaa anaona kero
 
mwalimu saudari hivi haukufanikiwa pale kwa yule uliyemwambia hadi mali ulizo nazo?
tatizo ni kazi yako tu ndo maana tunapiga chenga
siku useme umebadili kazi sasa ni injinia wa tanesko uone hiyo foleni,
ha ha haaaa - utani tu.

Hongera mwaya watu8 kwa moyo wa ujasiri na usio na chembe ya woga ila mie bado na-pepesa pepesa macho.

Si unajua nimewatupia nyavu wakina Mamndenyi, Ablessed, Heaven on earth na Paloma.

Hivyo wakioniona kila kona naongozana na mamsapu wangu watafunga ule mlango wa neema ambao nilikuwa natarajia kuupata siku chache zijazo.
 
Last edited by a moderator:
Umemuoa binti akiwa mdogo mdogo kamwili unakamudu, haijapita hata miaka 3 amefutuka kama tembo, mashavu hayo, tumbo hilo, manyonyo kama ana tenda jeshini , kufanya mazoezi hataki, diet hataki, kujiweka vizuri angalau soap soap hana time sasa kama huyo unaenda nae wapi? Unaambiwa kuna function kazini unavyojua wenzako ambao mmeoa kipindi kimoja wake zao bado wapo kwenye shape wanajipenda.

Halafu ukute ofisini unavipiga vibuti vi sista du tu huna time navyo siku ya siku kwenye tukio kukukomoa ndio wanajipanga kwenye entrance pale red carpet na vimini vyao wakuone vizuri kwenye walk of shame na huyo ambaye unawaringishia kila siku kwamba kila friday evening huna time hata ya kwenda kwenye mbili tatu unawahi home kwa wifey! unadhani wewe utakokota mamsap mkono kwa mkono muingie pale huku watu wanakukodolea? Hahaha NO WAY!!!
 
ndoa za mkeka,kuoa kwa sababu ana mimba yako au fedha zake au kuvutwa kwa ndumba inachangia sana mambo hayo yanapoenda mrama!poleni sana,mie siendi bila yeye
 
Back
Top Bottom