ha haaa, hata mimi sijui wanakagua nini my dear...Mmh hawa wakaguzi bwana mimi huwa nawaogopa sana , ngoja nimuulize FP je huwa wanakagua nini hasa, najua atanisaidia kunitoa wasi wasi
Ooh asante sana kumbe haunihusu lol mbona umenisaidia manake nimeambiwa tangu jana inabidi nikaguliwe kumbe nataka kuingizwa mkenge asante nadhani kabanga , Kaizer na Asprin wameelewa kua mimi sio mbinti ni mmama. Pia Lady doctor kanishauri nisikubali kukaguliwa .ha haaa, hata mimi sijui wanakagua nini my dear...
sijawahi kukaguliwa na ninadunda tu kwa raha zangu....
nahisi ukaguzi unawahusu mabinti
usikubali wala nini......Ooh asante sana kumbe haunihusu lol mbona umenisaidia manake nimeambiwa tangu jana inabidi nikaguliwe kumbe nataka kuingizwa mkenge asante nadhani kabanga , Kaizer na Asprin wameelewa kua mimi sio mbinti ni mmama. Pia Lady doctor kanishauri nisikubali kukaguliwa .
Ooh asante sana kumbe haunihusu lol mbona umenisaidia manake nimeambiwa tangu jana inabidi nikaguliwe kumbe nataka kuingizwa mkenge asante nadhani kabanga , Kaizer na Asprin wameelewa kua mimi sio mbinti ni mmama. Pia Lady doctor kanishauri nisikubali kukaguliwa .
Acha tu waniingize hawa ndugu zangu nawajua . Kuna msemo usemao zimwi likujualo halikuli likakwisha au vipi FP na Lady doctorsasa unaingizwa mkenge...
Katika maswala yetu ya umoja wa kusaidiana na kufarijiana katika kikundi chetu likaletwa wazo la kila mtu aje na mke wake siku ya sherehe ya kikundi chetu... lakini miongoni mwa wadau tulionao katika kikundi wamepinga vikali na kudai kwamba hakuna haja ya mtu kuja na mkewe hapa.. mmoja akadai yeye ndani ya miaka mitano hajawahi kuongozana na mkewe kwenda maeneo yoyote yale... jamani kwa nini iwe noma kuongozana na mkeo kwenye shughuli mbalimbali kama harusini, msibani hata kwenye nyumba za ibada...........
Mh! Mie wangu anapenda niongozane naye
haswaaaaaa.......Acha tu waniingize hawa ndugu zangu nawajua . Kuna msemo usemao zimwi likujualo halikuli likakwisha au vipi FP na Lady doctor
haswaaaaaa.......
kama yeye atakubali kukaguliwa who am I to say otherwise?hahaah FP ujue unam;ponza Ablessed? Kule kwetu Peramiho, unajua kama mtu hajafanyiwa initiation kwenye jamii anachukuliwaje? Wacha Ablessed akaguliwe kama ilivyo desturi manake siye hatujamjua na yeye hajatujua.. Lady doctor ni daktari wangu though
Acha tu jamii iendelee kuniita mgeni . hahahahahahahahaah FP ujue unam;ponza Ablessed? Kule kwetu Peramiho, unajua kama mtu hajafanyiwa initiation kwenye jamii anachukuliwaje? Wacha Ablessed akaguliwe kama ilivyo desturi manake siye hatujamjua na yeye hajatujua.. Lady doctor ni daktari wangu though
aah sasa mbona unataka kuniacha peke yangu si unajua wewe ndio mwenyeji wangu tena . Usiniache mwenzio nikaliingia chaka ila ushari wa mwanzo unazingatiwa maana unaofuata mara nyingi huwa umechakachuliwa kama tunavyochakachua siredi ya watu.kama yeye atakubali kukaguliwa who am I to say otherwise?
Acha tu waniingize hawa ndugu zangu nawajua . Kuna msemo usemao zimwi likujualo halikuli likakwisha au vipi FP na Lady doctor
hahahahahaha kumbe nako hakuna usalama unaweza ukatoka huna cm au wallet ishakwenda eeh. Basi itabidi wawaite sungu sungu wasaidie ulinzi lol. Nami natoka nduki siangalii nyuma nisije nikageuka nguzo ya chumvi asante sana dr ndio maana ni muhimu kuwa karibu na wataalam manake unapewa angalizo mapema ukose wa kumlaumu ili ukilia umeibiwa basi ujue ni uzembe.kweli kabisa....! Achana na hao matapeli kuna walio ibiwa ujue kwenye ukaguzi! Mimi walitaka kuniingiza mkenge lakini nimesha waambia hawanipati ng'o!