Kwanini Kuongozana na Mkeo iwe noma!?

Kwanini Kuongozana na Mkeo iwe noma!?

Anajua sana hakuna pishi asilolijua, otherwise nisile kabisa siku iyo @FP

Naona kuna kaharufu ka hujuma apa
hakuna hujuma wala nini....
mkeo namheshimu sana siwezi muhujumu, you know it.......
 
Alichaguliwa mke huyo!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwa upande wangu naona kuna tatizo pande zote.kwa wanawake tukishaolewa tunajisahau tunajiachia,tunanenepeana,ukikuta mwanamke ambaye alikuwa anajipenda sana kabla hajaolewa na baada ya kuolewa alivyojizira utatamani kulia,hapo mwanaume anaona tabu kutembea nae njiani.Kwa upande wa wanaume wengi wakishaoa na kukaa na mkewe kwa muda wa miaka michache tu wanawachoka na kutaka wake zao wawe wa nyumbani tu na linapokuja swala la mitoko wanataka wanawake wengine sasa unapokuja mtoko unaowalazimu kutoka wote ndo tatizo linapoanzia
 
majanga mbona majanga..

honey hebu ukuje huku tuongozane MMU wakuone ati... hihi hihiiiii
 
Mi nademu wangu amefungasha wowo balaa kwenye matembezi huwa namtanguliza mbele atangulie nifaidi milindimo.
 
Siyo wote maana zipo familia nyingi huongozana pamoja kila wakati na hata kufuatana pamoja kila wakati hii ni mipango inayotengenezwa na familia husika
 
Watu wa ivo hawajakomaa kwenye mahusiano ujue...

Nadhani ni zaidi ya kutokukomaa kwenye mahusiano, ukweli ni kwamba ndoa za aina hiyo zina matatizo kiasi kwamba wanandoa wanaona ni afadhali kila mmoja kudunda kivyake ili kuondoa uwezekano wa matatizo yao ya kimahusiano kufumkia huko nje na kuaibishana.
Watu wa aina hiyo wanapaswa kutafuta ushauri utakaowasaidia kuboresha mahusiano yao.
 
Back
Top Bottom